Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

Acha roho ya kishetani,kafungue kesi mahakamani maana utakuwa na ushahidi wa kujitosheleza hizo pole za hao zinatuhisu nini sisi? Kama una ushahidi wa kutosha nenda mahakamani ukafungue mashitaki usilazimishe matakwa yako yafanyiwe kazi!
 
Aliyoyafanya Ole Sabaya ambaye leo hii Watanzania mnamshangaa Paul Christian Makonda kafanya mara 100 yake na nashangaa kuona ' akitetewa ' na ' kulindwa ' wa Wapumbavu wa Kimamlaka nchini.
Nadhani wanaweka mambo sawa, akipandishwa kisutu ni mwanzo mwisho mpaka hukumu
 
@Iboya2021 watu wakisema huna akili , uelewe ! Miaka minne ya u RC magorofa matatu Mwz. Ina maana akina Mtaka, Malima , Mongela etc hawakuwa viongozi ?!
unamsema huyo makonda hivyo mbona sijawahi kuona ukimsema mbowe miaka 20 anakula ruzuku na kunyanyapaa wana wake? wabunge hawana say juu yake uenyekiti wa kudumu imeshakuwa taasisi yake huyo unaona hali hela ya uma siyo?
 
Dua la kuku siku zote halimpati mwewe.

Wasaga Sumu na Wafitinishi wa Taifa, mnataka Nchi hii iwe ya visasi.

Kila aliekataa au alieshiriki kuhakikisha hamuingii IKULU leo mnataka kumkomoa kwa Mambo yasiyo na USHAHIDI.

Kama wewe ni GENTAMYCINE mpenda haki mbona hatusikii mkitaka TUME HURU kuchunguza na kutoa ukweli wa kifo cha #JPM na badala yake mnazidi kupambana na mfu.?
Mmetajiwa mpaka Sumu ililetwa na nani.....

Lakini nyinyi mmekazania Makonda mara DIAMOND yaani full Visasi!

Hivi mnajua gharama ya VISASI inavyoweza kutafuna VIZAZI?
 
We mbwa umeambiwa kama ushahidi unao wa unayoyaongea peleka sahemu husika vyombo vya dola vifanyie kazi, sio kubweka bweka humu hovyo mshenzi wewe.
 
Jinai haina limitation ya muda, haifutiki, criminals lazima watafikiwa na mkono wa sheria tu hata iwe 10 to 20 yrs from now.. Jinai haifutiki iko pale pale haijalishi muda hadi court iseme vinginevyo..
 
Dua la kuku siku zote halimpati mwewe.

Wasaga Sumu na Wafitinishi wa Taifa, mnataka Nchi hii iwe ya visasi.

Kila aliekataa au alieshiriki kuhakikisha hamuingii IKULU leo mnataka kumkomoa kwa Mambo yasiyo na USHAHIDI.

Kama wewe ni GENTAMYCINE mpenda haki mbona hatusikii mkitaka TUME HURU kuchunguza na kutoa ukweli wa kifo cha #JPM na badala yake mnazidi kupambana na mfu.?
Mmetajiwa mpaka Sumu ililetwa na nani.....

Lakini nyinyi mmekazania Makonda mara DIAMOND yaani full Visasi!

Hivi mnajua gharama ya VISASI inavyoweza kutafuna VIZAZI?
hapo ndiyo ujue kwanini saloon za kike hazina redio ndo watu kama hawa ni wivu tu na majungu
 
Alichokisahau ni kuwa dunia inazunguuka haijulikani muda wala saa ambapo aliye juu huja chini ama kinyume chake...
Wahenga walinena "...dunia tambara bovu, umakini watakiwa kuiishi.."
Mkuu huu uzi umenikumbusha jinsi alivyokuwa anajikomba kwa Ridhwan wakati Kikwete akiwa Rais kisha wakati wa dhalimu kumchoma kwamba ni muuza unga.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kabla ajaondoka duniani ni lzm atakinywea kikombe chake hii ni laws of nature
 
Back
Top Bottom