Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,256
- 13,556
Au Mama atawatuma wale jamaa waliomvamia Father Kitima ili wakamshambulie Gwajima? Halafu ajifanye ameshtushwa na tukio.
Au Mama atawatuma wale jamaa waliomvamia Father Kitima ili wakamshambulie Gwajima? Halafu ajifanye ameshtushwa na tukio.
ATA WARIOBA NAYE ALIKEMEAGwajima amekemea maovu. Sizani kama kuna Mtanzania anaweza kutetea Maovu.
Alli Kibao ametekwa ameuawa, Mdude na Soka hawajulikani walipo Lisu yupo Gerezani, Bandar imeuzwa, Mapori yanauzwa, Watumishi wa umma wanakopa Mabilioni kwa mshahara wa 8Milion.
Leo atokee mtu kujibu nini sasa!
Uenda,lkn ujasiri huo wautoe wapi!!Tujiandae na VIJANA UVCCM watatoa tamko muda si mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23]Vyovyote iwavyo, nahitaj Gwajima aendelee kumpasua pasua huyu Mama na Genge lake
Samia kichwan ni SIFURI, Elimu yake Iko wazi, Hana Uwezo wa akili, ndio Sababu kaegemea kwenye matumizi ya nguvu
Sheikh MwaipopoMafufu
Mangele
Saa100Kumjibu kwa maana ya Ku balance story
Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact
Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina
Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme
Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi
Taasisi ya chawa
Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk
Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..
Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Trust me wapo na watakuja kwakuwa tumewaona mitandaoni wakifanyq hivyo huku tukiambiwa kifo ni kifo tuuGwajima amekemea maovu. Sizani kama kuna Mtanzania anaweza kutetea Maovu.
Alli Kibao ametekwa ameuawa, Mdude na Soka hawajulikani walipo Lisu yupo Gerezani, Bandar imeuzwa, Mapori yanauzwa, Watumishi wa umma wanakopa Mabilioni kwa mshahara wa 8Milion.
Leo atokee mtu kujibu nini sasa!
Kuna lile lililoondolewa kwenye executive cabinet linaniwinda linivunje taya 🤣Itag yote ije hapa
Haina shaka kuwa unawa - refer hawa Tlaatlaah chiembe, Shotocan, Lucas Mwashambwa, Pascal Mayalla, Mtoto wa Shule, Dr wa Manesi, Dr Akili na chawa wengine wadogo wadogo...Hata ile michawa ya JF nayo huu uzi inauona wa moto
mangele akijibu ataongea vituko, hana uwezo wa kupangua hojaMafufu
Mangele