PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Abdul anaandaa "Press conference" kumjibu Gwajima
 
Naam
 
IMG-20250525-WA0020.jpg
 
Lucas Mwashambwa
😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣
 
Mbona kayatia ndimu na pilipili sasa jamani
Mimi naona amecheza na maneno
Kwani asiseme mimi kama mjumbe wa NEC, kama Mbunge wa Kawe, na Kiongozi wa dini, sikubaliani na yanayotokea ndani ya serikali ya chama changu.
 
Hata kama amesetiwa kwa uwezo wa mbio…basi amekimbia kiasi kwamba kapitiliza mpaka nyumbani kwake…hali si shwari kabisa.
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Baadhi ya media kubwa ambazo ziliopost video yake,zimefuta...maagizo yalianzia hapo
 
Back
Top Bottom