min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,819
- 175,990
Sijawahi kuwa mpagani kamweimani ni hoja ambayo inasaidia sana kua na mijadala ya kusisimua ubongo na kuongeza ufahamu na uelewa wa wadau hususan wa JF dhidi ya uwepo wa Mungu na shetani.
ni vizuri wenye imani na wapagani kama wewe mkakubaliana kutofautiana kwa upendo na itapendeza zaidi gentleman![]()
