PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Gwaji boy has made my night softly and swiftly while has made it to somebody long and deliberately complicated😆😆
 
Najibu kichwa cha mada.

"Gari Bovu, a.k.a. Tyson"; kama si huyo, basi atakuwa Makala.

Wote ni vikaratasi tu vya kufutia uchafu chooni.
 
Au Mama atawatuma wale jamaa waliomvamia Father Kitima ili wakamshambulie Gwajima? Halafu ajifanye ameshtushwa na tukio.
Hivi alistushwa na tukio la huyo padri, mimi sikusikia alichosema.
Ninachojuwa, bado nasubiri majibu ya "uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao", aliyo agizya wafanyike haraka.

Wewe ulisha sikia matokeo ya uchunguzi huo, mkuu 'imho'?
 
Amelizungumzia
 
kuna msanii mmoja aliwahi kuimba akisema hana imani, na wawakilishi bungeni matatizo yenu mpeni. ni wimbo wa muda mrefu, nafikiri ni Caz t, yule.

sasa zaidi ya miaka 20, imepita. wimbo huu. umeendelea kubeba dhana ile ile. sijui ni kwanini nimeukumbuka huu wimbo, ila nashukuru.kwa wote wanaopaza sauti zao maana, wawakilishi bungeni wamelala usingizi wa pono
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Gwajima katumwa na ccm wenyewe ili kuuhadaa ulimwengu kuwa ccm nao ni wahanga wanalalamika
 
Gwajima amekemea maovu. Sizani kama kuna Mtanzania anaweza kutetea Maovu.
Alli Kibao ametekwa ameuawa, Mdude na Soka hawajulikani walipo Lisu yupo Gerezani, Bandar imeuzwa, Mapori yanauzwa, Watumishi wa umma wanakopa Mabilioni kwa mshahara wa 8Milion.
Leo atokee mtu kujibu nini sasa!
Gwajima katumwa na mama kupoza moto wa wakenya na pia kuwahadaa watanzania kuwa ccm inapiga vita utekaji
 
Kelele za Uganda kenya zimemkosesha mama usingizi ndipo akabuni mbinu chap chap za kuwahadaa watanzania wasahau machungu
 
TAFAKURI YA KIJASUSI YA KAULI YA ASKOFU GWAJIMA MEI 24, 2025

Na: Steven Mmbogo
Mei 24, 2025

(Soma kwa umakini mkubwa)

1. Utangulizi wa Kiintelijensia (Intelligence Framing)

Kauli ya Askofu Josephat Gwajima inapobebwa kwa darubini ya kijasusi, haipaswi kutazamwa tu kama maoni ya mtu binafsi au ya kisiasa, bali kama signal (ishara) yenye strategic messaging, manipulative potential, na psy-op dimension. Katika muktadha wa Tanzania ya kisiasa mwaka 2025, ambapo mazingira yamejaa ushindani mkali wa madaraka na hofu ya usalama wa kitaifa, kauli kama hizi huchukuliwa kama active measures—kati ya propaganda, psychological conditioning, na disinformation au controlled dissent.

2. Je, ni mpango wa Serikali (Government-Engineered Dissent)?

Kulingana na modeli za kijasusi (counterintelligence framework):

* Controlled Opposition Strategy: Inawezekana Gwajima amepewa nafasi ya kuonekana kama mpinzani ndani ya mfumo ili kuvuta makundi yasioridhika, kujenga "trust pool", na kisha kutumiwa kuelekeza hasira ya umma kwenye mkondo wa mfumo mpya uliopangwa (e.g. chama kipya, movement, au mgombea urais mpya wa CCM au affiliate).

* Signal Conditioning: Kauli kama hizi zinaunda narrative-controlled dissent, ambapo mwanasiasa anapinga jambo ambalo kwa kweli mfumo unataka liangaliwe au litumike kama chombo cha kusafisha sura ya mfumo, bila kuathiri "core strategic assets" za dola.

Lakini pia kuna uwezekano wa pili:

Independent Actor with Personal Agenda: Gwajima anaweza kuwa anacheza karata ya kisiasa binafsi, akiitumia nafasi hii kama exit strategy ya kiitikadi kutoka CCM, akihamia kwenye chama au muungano mpya wa kisiasa kama mgombea wa Urais. Hii ni Positioning Stage, ambapo anajenga ushawishi miongoni mwa makundi ya waumini, vijana, na waliokatishwa tamaa.

3. Je, anaongea Heart Truth? (Tathmini ya Ukweli)

Kwa kiwango cha intelligence-based truth, Gwajima anasema kweli yenye value ya kiuchochezi na mobilization potential, kwa kuwa ametumia mfano wa Father Kitime, katekista, na viashiria vya ukatili dhidi ya viongozi wa kiroho—ambavyo vinatoa emotive leverage kwa jamii ya kidini na wananchi.

Ukweli wake hauko katika "factual completeness", bali uko katika emotional resonance na public sentiment—ambapo watu wengi tayari wanahisi taasisi za usalama zimekuwa passive au selective.

Kwa kijasusi, hii ni aina ya "narrative-embedded truth", yaani ukweli uliopangwa vizuri kuingia akilini mwa watu wengi kwa njia ya kihisia, si hoja kali za kisheria au kiusalama.

4. Faida kwa Umma (Public Reception Benefits)

Demystification of State Security: Umma unapata nafasi ya kuhoji uwezo na msimamo wa taasisi za ulinzi, jambo ambalo linaongeza public vigilance na uwajibikaji wa kisekta.

Mianya ya kijamii na kidini kuelewa mifumo ya utekaji: Kuweka hadharani mifano ya viongozi wa dini waliodhulumiwa kunaibua majadiliano mapya kuhusu state vs religious freedom.

Kuchochea harakati mpya: Maneno haya ni call to consciousness kwa vijana na wananchi wanaotafuta mabadiliko yasiyo ya kimapinduzi lakini ya kimfumo.

5. Madhara kwa Taasisi ya Urais na Serikali

Delegitimization ya Urais: Kauli hii, kwa muktadha wake, inapeleka ujumbe wa "rais ameshindwa kuhimiza accountability kwa vyombo vya usalama", hivyo kupunguza mamlaka ya kimaadili (moral authority) ya taasisi ya Urais.

Damage to Institutional Trust: Inapotamkwa na mbunge wa chama tawala, kauli hii inashusha credibility ya mfumo mzima wa usalama, kwani inajenga taswira ya taasisi zenye hofu au zenye kuendeshwa na "orders from shadows."

Counter-Surveillance Blowback: Vyombo vya usalama vinaweza kuonekana kama vya kufumbia macho maovu, na hivyo kuzalisha public paranoia na mashaka kwa raia kuhusu ustawi wao.

6. Mbinu za kijasusi zinazotumika katika kauli

Echo Chamber Creation: Anatumia media kuanzisha wimbi la kurudiarudia kwa hoja, linalozalisha "truth by repetition".

Use of Religious Reference for Psychological Weight: Anatumia mifano ya viongozi wa dini ili kuongeza emotional payload ya ujumbe wake.

Perception Management: Analenga kudhibiti jinsi umma unavyotazama vyombo vya usalama na serikali bila kutamka moja kwa moja kuwa serikali ndiyo muhusika mkuu.

Strategic Ambiguity: Hajataja wazi nani alihusika, lakini ameacha blank spaces zinazojazwa na tafsiri za umma (ambayo ni silaha ya propaganda ya kisasa).

7. Hitimisho la Kijasusi:

Kauli ya Askofu Gwajima si ya kupuuzwa. Inaweza kuwa:

* Controlled dissent, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kisiasa unaotungwa na mfumo wa ndani kuandaa uhalali wa wagombea wapya au kuendesha mabadiliko kwa namna ya soft landing.

* Organic dissent, ikiwa anajenga nafasi ya kisiasa kama mgombea mbadala, akitegemea public disillusionment na CCM.

Kwa vyovyote vile, ni act of political intelligence signaling yenye gharama na faida. Serikali ikiwa na mfumo wa "early warning and psychological monitoring" wa kisasa, kauli kama hii lazima ishughulikiwe kwa mbinu za "strategic containment", bila kumpa nafasi ya kuonekana shujaa au mteswa wa mfumo.

Ndaga Fijo!
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Atajibiwa na mafufu
 
Kundi la Intarahamwe hapa nchini laingia matatani​

Wataanza kutumwa viongozi wa wilaya na mikoa. Nina wasiwasi huenda asimalize ubunge wake. Huenda hata chamani asibaki. Kaongea mambo makubwa sana na yanamlenga mtu mmoja hata kama hajamtaja. Kumbuka sasa hivi watu wameamua kulinda nafasi zao kuliko kitu kingine chochote. Aliposema naibu waziri mkuu watu wasilinde vyeo, alisema kwa mafumbo sana.
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Labda chakandumuz

Lakini wenye akili wanatambua kwamba ile hotuba haijobiwi na haistahili kujibiwa
 
Kwa hili la gwajima ni bora hawa watu wakajistir kwa kukaa kimya kabisaa kulinda utu wao
 
Back
Top Bottom