The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Nicholas karibu tena mkubwa, ulikuwa umepotea sana.
Mjadala mzuri sana huu. Naufutilia kwa umakini wa hali ya juu.
Naona unawapiga mmoja mmoja kwa KO na wote wanaachia ngazi wenyewe taratibu.
Sina hakika kama mada ni ngumu kwao watetezi wa mapopulists au hawana hoja tu.
Kinachonifurahisha unajibu kila hoja tena kwa usahihi. Wengine kama kawaida yao wanajaribu kuleta spinning kwa kutaka kukutoa kwenye msingi wa hoja, lakini thanx, you are so intelligent bro, unawaona na kuwaziba nyuso zao!!