Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Miaka zaidi ya kumi nyuma tulishughudia kipindi cha populists wakichaguliwa kwa fujo duniani.. Hawa jamaa walichaguliwa bila hata kupimwa.Na aliyehoji uwezo wao alipata shutuma na upinzani mkubwa sana toka ktk umma. Ndio kipindi tuliwapata akina JK, Obama, na DJ kule Madagascar, David Cameron kule Uingereza etc. Ufanisi wao wao tuliuona.
Sasa wamekuja radicals ambao walizomewa km watu wenye chuki wachonganishi etc. Ila dunia inachoka unafiki km bahari inavyochoka mizoga. Radicals km Donald Trump, Diurtete kule Philippines, na wengine wengi sasa ndio wanakwenda shika dunia. Pengine dunia itaupa unafiki break kidogo ili mambo yaende kiuhalisia kidogo. Kwa Africa ni kipindi cha Neema, rais mwenye kusema na kutenda kweli inayouma kwa viongozi wetu atasukuma issue mbele kidogo.
Kwa wale walilelewa kwa philosophia za UDSM kaene mkao wa kula. Mtaambiwa mabaya mengi sana na hawa wachambuzi, kwa vile siku zao za kudanganya watu kabla ili kulinda watawala, ila siku zao zinahesabika sana.
Propaganda za kijamaa hazina tena nafasi ktk dunia huru.
Waandishi wapuuzi na wenye hila au uwezo mdogo nafasi yao inaondolewa ktk jamii. Media za magahribi na kasuku wao Africa walishambulia na kuuliza maswali yasio ya haki .Km wanavyofanya kwa wapinzani ktk hizi nchi zetu wakidhani wanaokoa roho za fikra maarufu, fikra za mkumbo, dunia nzima fikra za pamoja,fikra maarufu zimethibitika kwamba ni upuuzi na ujinga.
Hata ktk mabunge yetu, ktk jamii zetu, fikra mgando,fikra za pamoja na kulindana hazina tena mashiko. Sasa wajenga hoja,wenye kujiamini wanapiga bao.Watasema na kuoingwa kushambuliwa, ila kadiri wanashambuliwa ndivyo ukweli wa matukio unavyozidi jidhihirisha. Mwishowe inakuwa ngumu sana kwa wanafiki na wafuata mkumbo kukataa hoja