Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

Trump hajulikani huwezi mlinganisha hta na msanii yeyote mkubwa wa kimarekani zaidi ya vitabu vyake na majengo yake marekeni hana lolote la kumfanya ajulikane. Na inawezekana hta wewe umenjua tu baada ya tramph kuanza kuingia kwenye politics last 2015.
Its up to you km unadhani hajulikani. Sasa mbona kura zake zimepangua wasomi vichaa na wachambuzi waliofulia kila mahali. well, pia nakushauri usipende kuanza mjadala km Prof wetu wa Nishati ,huwa anaanza kwa ASSUPMTION EVERYBODY ELSE HAJUI ILA YEYE, KWA HIYO NDIO APEWE FINAL SAY. ANAANZA KM VILE ANAFUNDISHA WATU. Mwisho anamalizia km mtu asiyekwenda shule kabisa. So kumjua kujiseme kwa hoja zaidi ya utambulisho wako. Mkuu Kwa hiyo hayo majengo na vitabu vinajulikana kuliko Trump? What if ukipanga vitabu na gorofa zake ktk umaarufu na clinton, vitamzidi bi clinton? Nani atafaidika?
 
Naomba kujitoa katika malumbano. Natamani kubadilisha maoni Na watu wanaoona mbali Kama Victoire ambao hawana ushabiki. Kama mtu hajaona ni nini magu anataka kufanya, namuombea kwa mola tu. Jiulize ni Rais yupi alitamka hadharani kuwa nchi hii ni tajiri? Huyu ni mzalendo ila watu Kama wewe Na kwetu wapo
Umbali upi tena naona wakuu kiasi cha kuingia ktk hoja kujieguza kuwa nyie ndio hoja.Hembu changia hoja watu waone unaona mbali mkuu.
 
Haha...weli sitaki changia khusu Magu, kwani hadi sasa kinachoendelea ktk hii nchi ni DONT ASK DONT TALK. Ukweli ni kwamba hata mataifa ya magharibi ni tegemezi. Trump anawaambia NATO nao watoe hela, Koream Japan na wengine walipe kwa marekani kwa ulinzi wanaopata. The issue ni kwamba sasa hata akina Magu watahitaji kufungua midomo na kukiri misaada ilivyo na umuhimu na watakapoulizwa wametumiaje, wasianze visingizio kwamba misaada yenye masharti hawaitaki sijui nini na nini.
Huoni wewe kuwa ni bora kujitegemea kuliko kupewa misaada ya masharti lukuki?
 
Huoni wewe kuwa ni bora kujitegemea kuliko kupewa misaada ya masharti lukuki?
Ni habari nzuri na njema sana kujitegemea. Ila kiuhasilia inawezekana? Na kinachofanyika kitatufikisha huko na lini?Ndio Maana Radicals ni watu sahihi. Hii mizaha km ya ile DOCUMENTARY YA KAGERA SHUGA NI DALILI TOSHA HII NCHI WANAOONEKANA KUIJENGA WANAPENDA SHOO KULIKO UHALISIA?
 
Ni habari nzuri na njema sana kujitegemea. Ila kiuhasilia inawezekana? Na kinachofanyika kitatufikisha huko na lini?Ndio Maana Radicals ni watu sahihi.
Inawezekana kabisa,ndo na sisi tunakiwa kufanya kazi kwa manufaa ya nchi yetu na sio kuiba na rushwa na ufisadi kwa manufaa ya familia binafsi,mimi sijasema kuwa extremist siyo watu sahihi,ni watu sahihi kabisa kwa nchi zao.Na hapa watakaoumia ni sisi tegemezi ila tutajifunza kuwa watu wasiotegemea misaada,maana tumezoea kupewa samaki na sasa itabidi tujifunze jinsi ya kuvua samaki
 
Haha..Nadhani km unashindwa tuu kukiri kwamba you are unfairly brushing this issue. Umeamua kutokukubali ila maswalii yangu hujayagusa.Umeamua ku generalize kwa haya maelezo.Sasa sijui tuta conclude nini hapa?
 
WAO ni nationalist zaidi ,ila wenye mlengo wa kulia zaidi,huko wanachukia wahamiaji tu,Wao imani yao ni UTAIFA kwanza,ila na sisi tujifunze kuishi bila kutegemea mataifa ya magharibi,maana huko tunakokwenda kila taifa itakuwa kivyake.Angalia British wanakwenda kupiga kura ili wajitoe umoja wa Ulaya,na UK akitoka mataifa mengine yatafuata.Bora Magufuli anaona mbali na kaanza kuiwajibisha hao wafuja mali za umma,atlast wananchi watafaidika
waingereza wengi ni wanafiki suala la kupiga kura ya kujitoa EU wamelipigania muda mrefu na toka kampeni zimeanza na trend inabadilika leave wanazidi kupungua huku remain wanaongezeka, hawa jamaa hawaeleweki na siasa very old fashioned nadhani ulishudia Scotland kilichotokea na EU yanayokuja ni haya haya tu. wenzao wanatumia sarafu moja wao wameng'ang'ania pound yao. bila kujali inatoa tafsiri ipi kwa jumuia.

wale radicals wa Austria wanaweza kufanikiwa kuchukua dola hasa ukizingatia tatizo la wahamiaji haramu linaitesa ulaya na wananchi wanataka hali hiyo ikomeshwe hawataki sympathizer kama merkel, ukizingatia pia ulaya ya kati na mashariki zimeathirika sana na tatizo hilo nataraji kuwaona wakinyakuwa kiti kiulaini tu.

Umoja wa ulaya hautatetereka na kujitoa kwa Uingereza kwa sababu ya misingi iliyotumika kuujenga na ukizingatia pia katika Euro Zone Uingereza hana uchumi mkubwa kama Ujerumani na Ufaransa ambao ni brothers kwa sasa kwenye EU japokuwa anaushawishi kiasi fulani hawezi kuibomoa EU.

swali la kujiuliza je hao Nationalist wa Austria watakuwa na ushawishi kiasi gani katika siasa za Zone ya Euro, kama ulifuatilia baada ya Ujerumani kuanza kupokea wahamiaji haramu nchi nyingi zilifuata japokuwa ziko hali mbaya kiuchumi na bado mikutano uliofanyika mwezi March na April juu ya suala la wahamiaji haijazaa matunda sana kwa sababu wakubwa wa jumuia ni Sympathizers.

Changamoto nyingine ni tishio la ugaidi huko ulaya ambao limewafanya waanze kuzitazama sera zao juu ya uhamiaji kwa taharuki kubwa mpaka sasa wanateseka kuhakikisha wanatatua tatizo la ugaidi ambao umeanza kukita mizizi Ufaransa na ubelgiji je Nationalist wa ukanda huo wananafasi gani katika diplomasia ya EU kuleta mtazamo mpya juu ya sera zao ?
Siasa za Ulaya zimejengwa kwa matukio na hivyo sina shaka kwamba kuna msukumo mpya unaonyemelea siasa za ulaya katika kuleta mwelekeo mpya matatizo ya kiuchumi, uhamiaji haramu, ugaidi na mengineyo yanawapa hali ya taharuki hivyo kulazimika kutafuta mbadala.

wakati hayo yakiendelea wakosoaji wao ambao wengi ni radicals na nationalist wanaendelea kujenga base upya baada ya kupotea kwa muda mrefu hii itajidhirisha chaguzi chache zijazo katika mataifa ya ulaya ya kati.
tusubiri tuone.
 
Naomba kujitoa katika malumbano. Natamani kubadilisha maoni Na watu wanaoona mbali Kama Victoire ambao hawana ushabiki. Kama mtu hajaona ni nini magu anataka kufanya, namuombea kwa mola tu. Jiulize ni Rais yupi alitamka hadharani kuwa nchi hii ni tajiri? Huyu ni mzalendo ila watu Kama wewe Na kwetu wapo
Nimekuuliza swali hujajibu unakimbilia kusema unatamani mijadala na wengine!! Nimekupa nafasi unioneshe hicho Magufuli anataka Fanya kwa watanzania mbona unakimbia?

Kwa fikra zako unafikiri kuna kiongozi wa CCM alikua na option nyingine zaidi ya kuiga kauli za wapinzani?
Unafikiri mahali nchi ilifika kuna mtanzania alitamani kusikia zile kauli za ki CCM za miaka yote?
Je Magufuli naye si miongoni mwa watu wa CCM walioamua Ku copy na Ku paste lugha za wapinzani? Hayo si hoja hoja ni je ameweza yafanya kwa ufanisi hayo aliyojaribu copy ili kufurahisha watu?
Kwako Rais kusema nchi ni tajiri ndio kipimo chako cha ubora? Kwahiyo akili na ufahamu wako hautoshi kukuonesha ama nchi ni tajiri au masikini mpaka uambiwe na rais? Teh teh nyie ndio wale mlikua hamuelewi issues mpaka mpate ufafanuzi wa JK??

Sijui umri wako lkn kwa tulioishi miaka mingi hizi kauli za Magufuli hazina tofauti na za mjamaa Nyerere... Fagio la chuma kwa Mwinyi... Ukweli na Uwazi kwa Mkapa au Ari mpya ya Kikwete!!

Wewe unapima kauli na mbwembwe Mimi napima outcome!!!

Wakati yeye akifurahia watu kukaa kazini bila kujali wamezalisha Mimi Mimi naangalia uzalishaji!!

Mpaka sasa kuna issues nyingi tu nzito za uchumi hatuoni mwelekeo wowote zaidi ya nguvu nyingi kutumika kumjenga binafsi ili kulinda utawala wake!! Hatuoni juhudi ktk kujenga uchumi!!!

Kama kauli kwako ndio reflector ya kiongozi bora basi JK na hotuba zake za masaa matatu ni bora zaidi!!!
 
Inawezekana kabisa,ndo na sisi tunakiwa kufanya kazi kwa manufaa ya nchi yetu na sio kuiba na rushwa na ufisadi kwa manufaa ya familia binafsi,mimi sijasema kuwa extremist siyo watu sahihi,ni watu sahihi kabisa kwa nchi zao.Na hapa watakaoumia ni sisi tegemezi ila tutajifunza kuwa watu wasiotegemea misaada,maana tumezoea kupewa samaki na sasa itabidi tujifunze jinsi ya kuvua samaki
Unaposema utegemezi inabidi u specify utegemezi UPI? Usiwe kama wale waimba mashairi wanaosema nchi hii inaweza kujitegemea hata kesho!! Kujitegemea usifikiri ni ushairi!! Kujitegemea si kitu chepesi hivyo japo ni kizuri!!

Msifikiri kujitegemea ni kutopata misaada tu!! Kujitegemea ni pamoja na kuwa na elimu yenu bora mnayobuni na kuipanga wenyewe bila kutegemea utaalamu wa nje... Kuwa na teknolojia yenu inayowawezesha kufanya mambo mengi makubwa bila kumtegemea yeyote... Kuwa na soko la uhakika la bidhaa na mitaji bila kutegemea yeyote!!

Hata China ni tegemezi sana!! 70% ya bidhaa bora za China zinategemea soko la ulaya na Marekani!! Hivyo marekani na ulaya wakimpiga ban lazima atetereke!!! So kujitegemea ni dhana pana mno kuliko unavyofikiri!!

Kujitegemea hakuji kwa hotuba zenye hisia!! Kujitegemea ni kujiandaa haswa na kuwa na mipango maridhawa!
 
Nimekuuliza swali hujajibu unakimbilia kusema unatamani mijadala na wengine!! Nimekupa nafasi unioneshe hicho Magufuli anataka Fanya kwa watanzania mbona unakimbia?

Kwa fikra zako unafikiri kuna kiongozi wa CCM alikua na option nyingine zaidi ya kuiga kauli za wapinzani?
Unafikiri mahali nchi ilifika kuna mtanzania alitamani kusikia zile kauli za ki CCM za miaka yote?
Je Magufuli naye si miongoni mwa watu wa CCM walioamua Ku copy na Ku paste lugha za wapinzani? Hayo si hoja hoja ni je ameweza yafanya kwa ufanisi hayo aliyojaribu copy ili kufurahisha watu?
Kwako Rais kusema nchi ni tajiri ndio kipimo chako cha ubora? Kwahiyo akili na ufahamu wako hautoshi kukuonesha ama nchi ni tajiri au masikini mpaka uambiwe na rais? Teh teh nyie ndio wale mlikua hamuelewi issues mpaka mpate ufafanuzi wa JK??

Sijui umri wako lkn kwa tulioishi miaka mingi hizi kauli za Magufuli hazina tofauti na za mjamaa Nyerere... Fagio la chuma kwa Mwinyi... Ukweli na Uwazi kwa Mkapa au Ari mpya ya Kikwete!!

Wewe unapima kauli na mbwembwe Mimi napima outcome!!!

Wakati yeye akifurahia watu kukaa kazini bila kujali wamezalisha Mimi Mimi naangalia uzalishaji!!

Mpaka sasa kuna issues nyingi tu nzito za uchumi hatuoni mwelekeo wowote zaidi ya nguvu nyingi kutumika kumjenga binafsi ili kulinda utawala wake!! Hatuoni juhudi ktk kujenga uchumi!!!

Kama kauli kwako ndio reflector ya kiongozi bora basi JK na hotuba zake za masaa matatu ni bora zaidi!!!
Haha..kweli copy and Paste ya wabongo ipo ktk level ingine. Wabongo wengi ni km kasuku, sikiliza BBC idhaa ya kiswahili, imejaa watu fulani, wanaochagua watu fulani wa ukanda huu km wachambuzi wa masuala ya dunia. Kichekesho ni kwamba wanapigia promo tuu, hawana huo uelewa pamoja na kwamba wana PHD zao. Hawana tofauti na magazeti ya udaku wa sports bongo, habari wanachukua espnfc.com , wanapozitafsiri wanaweka shida kubwa sana. Hao ndio wachambuzi wa CCM , ni rahisi sana kujadili hoja wasizozijua, hoja wasizoziamini ila ziwe hoja tuu ktk trend...ndio maana kuna povu sana ktk sheria za mitandao, ktk ulinzi na global issues, kuna povu na papara kusign mikataba ya kimataifa ya haki na biashara, dunia inatuona tupo nao na kutupa umuhimu sana ila ukweli upo ktk bunge letu, ktk mitaa yetu, ktk magazetu yetu, ktk vyuo vyetu, ktk maofisi yetu.
 
Well said PTER ,ni kweli hili janga la wahamiaji ndo limewafanya extremist wawe popular zaidi,kumbuka suala hilo hilo la wahamiaji ndo litawafanya waingereza wengi wavote pro Briexit.Pia Angel alikosea sana kufungua mikono kwa wahamiaji maana kwa sasa kazidiwa mpaka anawaimponse nchi za EU wawagawane wahamiaji,hata Angel ndo utakuwa mwisho wake wa uchancelor.
 
Swali hili lina uhusiano gani na nilichotaka kuambiwa hapo juu?

BTW sijui vipi wataka kusema nini?
Thread inahusu maradicals kuwa ndo wanapanda chart sasa hivi kwenye nchi zao
 
Well said PTER ,ni kweli hili janga la wahamiaji ndo limewafanya extremist wawe popular zaidi,kumbuka suala hilo hilo la wahamiaji ndo litawafanya waingereza wengi wavote pro Briexit.Pia Angel alikosea sana kufungua mikono kwa wahamiaji maana kwa sasa kazidiwa mpaka anawaimponse nchi za EU wawagawane wahamiaji,hata Angel ndo utakuwa mwisho wake wa uchancelor.
Nani kakuambia ulaya hawataki wahamiaji? Radicals wanataka wahamiaji Responsible...hapo ndio shida.Trump nae anataka hivyo. SIo wahamiaji wanaofuata ustaarabu wao , halafu wakifika wanataka Nchi waliyofikia iwe km waliyokimbia. Si ubinafsi huo? Sasa vizazi vijavyo vitakimbilia wapi km ulipokimbilia umepageuza kuwa HELL. Sidhani km watu waliosoma irrational logic wanaweza ona shida kubwa kuliko kupaza sauti for sake ya sifa tuu.
 
Ni habari nzuri na njema sana kujitegemea. Ila kiuhasilia inawezekana? Na kinachofanyika kitatufikisha huko na lini?Ndio Maana Radicals ni watu sahihi. Hii mizaha km ya ile DOCUMENTARY YA KAGERA SHUGA NI DALILI TOSHA HII NCHI WANAOONEKANA KUIJENGA WANAPENDA SHOO KULIKO UHALISIA?

Hakuna ambacho kinashindikana mkuu. Tukiwa na kiongozi mzuri na wananchi wakajua umuhimu wa kufanyakazi , tukaacha ubabaishaji, ni kweli tutajitegemea. Mfano mdogo tu, nchi kama Norway walikuwa maskini kama sisi hivi baada ya kuwa kwenye muungano na Denmark kwa muda wa miaka 290 (1524 - 1814) then baada ya Denmark kuwaachia baada ya vita ya Napolean wakawa chini ya Swedeni kwa muda wa miaka 91 (1814 -1905). Baada ya Muungano na Sweden kuvunjika Nchi ya Norway ilikumbwa na umasikini sana. Ndiyo ilikuwa nchi maskini kuliko zote barani Ulaya kwa wakati huo. Waliamua kuijenga nchi yao upya. Hii ilitokana na wananchi kujua umuhimu wa kujenga nchi yao. Wananchi walifanyakazi kwa bidii sana kutokana na uhaba wa manpower, ilibidi watafute nguvu kazi kutoka Pakstani kwa ajili ya kuongeza nguvu kazi. Na haya yote yalitokea miaka ya 1970. Kwa hiyo shida ya jamii yetu hatutaki kufanyakazi ila tunataka kuishi maisha ya hali ya juu, maisha ya ujanja ujanja tu. Nchi hujengwa na wananchi wenyewe. Mimi naamini tukibadili mindset zetu tukaamua kufanyakazi na wale mafisadi wakadhibitiwa, kodi ikakusanywa ipasavyo na pesa zikaelekezwa kwenye maendeleo zisiishie mifuko kwa wajanja hakika tunauwezo mkubwa wa kujitegemea.
 
Naomba kujitoa katika malumbano. Natamani kubadilisha maoni Na watu wanaoona mbali Kama Victoire ambao hawana ushabiki. Kama mtu hajaona ni nini magu anataka kufanya, namuombea kwa mola tu. Jiulize ni Rais yupi alitamka hadharani kuwa nchi hii ni tajiri? Huyu ni mzalendo ila watu Kama wewe Na kwetu wapo

Kuongea tu bila kutenda ni aina nyingine ya ukichaa na dunia haitaki maneno matupu rudia kaangalie yaliyosemwa na yanayotendwa sasa ivi yanafanana hata kidogo tusiwaite wazalendo hawa wanaoigiza ni wakati sasa hata sisi wanainchi tuwe chachu ya kuwasukuma viongozi watenda sio maigizo na maneno kibao.
 
Haha..kweli copy and Paste ya wabongo ipo ktk level ingine. Wabongo wengi ni km kasuku, sikiliza BBC idhaa ya kiswahili, imejaa watu fulani, wanaochagua watu fulani wa ukanda huu km wachambuzi wa masuala ya dunia. Kichekesho ni kwamba wanapigia promo tuu, hawana huo uelewa pamoja na kwamba wana PHD zao. Hawana tofauti na magazeti ya udaku wa sports bongo, habari wanachukua espnfc.com , wanapozitafsiri wanaweka shida kubwa sana. Hao ndio wachambuzi wa CCM , ni rahisi sana kujadili hoja wasizozijua, hoja wasizoziamini ila ziwe hoja tuu ktk trend...ndio maana kuna povu sana ktk sheria za mitandao, ktk ulinzi na global issues, kuna povu na papara kusign mikataba ya kimataifa ya haki na biashara, dunia inatuona tupo nao na kutupa umuhimu sana ila ukweli upo ktk bunge letu, ktk mitaa yetu, ktk magazetu yetu, ktk vyuo vyetu, ktk maofisi yetu.
Huwa naçheka sana kuona wabongo wanavyokimbizana ili wawe ktk trend!!

Ni mabingwa wa kucopy bila kujali wanapatia au wanakosea!!

Utaratibu wa CCM Ku copy hoja na Sera za upinzani haukuanza Leo... Shida inakuja ktk implementation!! Haiakisi outcomes zilizotarajiwa ktk hoja za upinzani!!

Ndio maana walipoambiwa ufisadi ni mfumo wakashupaza shingo kwakua walicopy tu bila kujua wafanye nini!!!

Ndio maana wengine wamechoka mapema sana na kupotea ktk beats kwakuwa wamecopy bila uwezo wakutekeleza!!

Ndiyo yale ya kubana matumizi huku ukiita mikutano ya CCM ikulu na kuigharimia... Ukifuta gwaride la uwanjani la siku moja huku ukiacha mbio za mwenge za kila siku zinazogharimu Mali na time za watu!!

Watanzania tuko duni sana!!
 
Nani kakuambia ulaya hawataki wahamiaji? Radicals wanataka wahamiaji Responsible...hapo ndio shida.Trump nae anataka hivyo. SIo wahamiaji wanaofuata ustaarabu wao , halafu wakifika wanataka Nchi waliyofikia iwe km waliyokimbia. Si ubinafsi huo? Sasa vizazi vijavyo vitakimbilia wapi km ulipokimbilia umepageuza kuwa HELL. Sidhani km watu waliosoma irrational logic wanaweza ona shida kubwa kuliko kupaza sauti for sake ya sifa tuu.
Hujui ukiongeacho,wao wanataka immigration zero,eti wahamiaji responsible,kwa nini wasiwe responsible ndani ya nchi zao?na most of wahamiaji wanakwenda ulaya ili wapate maisha mazuri,PERIOD
 
Back
Top Bottom