Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

Inaonyesha una mihemko. Kila Kiongozi hufanya makosa ila Ni muhimu KWA mchambuzi kupima makosa hayo ni bahati mbaya au makusudi. Nadhani nitakuwa Na uelewa WA nchi hii kukuzidi. Achana Na watu wanaotumia ccm kwa manufaa yao wenyewe. I know magu and is the person that can help tanzania. Forget about sentiments Mkuu
Nataka facts sihitaji hisia.
 
MKuu mbona uanchangia chini ya kiwango halafu una ujasiri hivyo. Ulichoanza hapo juu, umemaliza too general .Umeanza kwa kupunguza hoja uzito, kwa assumption km kila anakosea kwa hiyo makosa ni halali. Halafu unajifagilia kuelewa sana nchi(ila sijui km unachoelewa ni sahihi na una uwezo wa kujua usahihi wake). My experience shows that watu wanaodeal na data ktk hii nchi hawana uwezo wa kujua au makosa ya data kwa haraka. Na wengine hawana hata muamko wa kupambana ku improve quality of data. Mwisho wake wao wenyewe kuwa wahanga wa hizo wrong information. Kitu ambacho ni kawaida kabisa kwa hii nchi. Mwisho unamshutumu mwenzio kwa sifa unazozionyesha hapa.
 
mwekundu Lowasa yeye ni fisadi ,na hafit upande wowote hapo
Kati ya makosa ambayo tungeyajutia Watanzania ni kumchagua Lowasa. Lowasa hana watu wasafi.. team yake yote hiyo ya wapigaji, kuanzia mwenyekiti wa chama na wengine wengi. Machoni kama watu, na wanapokuwa wanaongoea usipokuwa makini unaweza kuingia king ukidhani wanamaanisha. Kumbe zuga tu
 
Makosa yapi hayajuitiwi mkuu? pengine tungeanzia hapo.
 
hahahaha sitaki kukumbuka jinsi ulivyokuwa unamnanga Lowasa enzi zile,bendera fuata upepo.Ukitaka kupata jibu ya swali lako refer posts zako ulivyokuwa unamnanga Lowasa
 
Inahitaji karama ya pekee kuifikisha Tanzania inapotakiwa. Lazima tuwe Na subira tumpe muda Rais Na kila mtu ajaribu kumsaidia baadala ya kulalmika tu.
Ndio umesema nini mkuu..mbona umeongea vitu viwili na kuvichanganya kirahisi na haraka sana? Tunahitajia karama, hujasema km hiyo karama tunahitaji sisi au rais? km ni Rais tukisubiri ndio itakuja au?
Usemaje tumsaidie? ktk kampeni aliomba kura kwa kusema ushirikiano wa watanzania angeuhitaji?Je mlifikiria km asingepata huo ushirikiano na msaada nini njia mbadala?

Huwa napata shida wasomi wa tz wakiongea maneno kirahisi rahisi bila uangalifu halafu wanataka wengine wayasikilize tuu na kuyakubali. Ulichoandika hapa ni dhambi kubwa sana. Na hii ndio michango yenu ktk neema na ktk dharura. Subiri hiyo karama, sidhani km una uwezo wa kuiona ikija kwa hizi fikra.
 
hahahaha sitaki kukumbuka jinsi ulivyokuwa unamnanga Lowasa enzi zile,bendera fuata upepo.Ukitaka kupata jibu ya swali lako refer posts zako ulivyokuwa unamnanga Lowasa
Mbona hukumbuki thread iliyoondlewa hapa...niliyoandika MAWAZIRI AINA YA MREMA NA MAGUFULI NI KAMA NYAPARA HAWAFAI KUWA VIONGOZI WAKUU WA NCHI? Pengine utaanza ona kwamba radicals wanakwenda na uhasilia.

For the moment nadhani walikuwa na haraka sana kuchagua exit plan ya huyu waziri km walivyofanya. Wamepigwa double score. Sasa watz wanajua nani ni wanywa viroba, sasa utaifishaji umerudi, na fikra nyepesi za demand and supply imewashindwa wote. Wakaamua punguza kabisa supply kwa kubakisha supplier mmoja tuu serikali.
 
Kwa akili zako finyu za ki CCM utamwita Magufuli radical!! Haha Magufuli anaigiza tu kuwa radical ili kununua akili za wabongo waliovutiwa sana na upinzani!!

Radicals si wanafiki!! Magufuli ameishi ktk serikali miaka nenda rudi na yale alokua akiyatetea kama safari za JK Leo kageuka mpinzani kwazo!! Magufuli katetea sana CCM kiasi cha kutumia uwaziri igunga kuahidi wapiga kura kama hongo!! Huyu huwezi mfananisha na kina Trump ambao mpaka chamani siku zote misimamo yake inajulikana!! Huwezi MPA sifa ya u radical MTU ambaye anaibeba na kuilea system ya kima CCM huku akiwapa maneno ya kuigiza nyie bila kuwa na impact chanya!!

Pili huwezi mlinganisha Lowassa na Magufuli coz Lowassa ni jamii ya watu waliofanikiwa sana kimaisha!! Si wavivu.. Si wapiga domo na wala si wenye wivu!! Hata Trump si Mpiga domo au mvivu!! Trump ni jamii ya watu waliofanikiwa kimaisha.... Anajua strategies za biashara na uchumi!!

Huwezi mlinganisha Trump... Lowassa na watu wanaotoka kwenye jamii chovu zilizoshindwa kama kina JK n.k

Ili uwe kiongozi bora unahitaji uwe bora wewe binafsi ili kuridhisha umma kuwa unaweza kuwa bora kwa wengine!!

Jiulize kama Magufuli ni radical amebadili nini ktk misimamo ya ki CCM?

U radical ukitoka moyoni unatenda kwa ari ila ukiwa wa kudandia tu kufurahisha watu hauna Tija!!!
Are you out of your mind?? Unapata wapi platform na ujasiri kutwambia Lowasa amefanikiwa katika maisha? He is probably richer than the president, lakini nani hajui kwamba kawaibia watanzania tangu enzi za Nyerere. Only idiots like you unaweza kuja hapa JF kudhani kwamba wizi ni ujanja. Hicho kipindi hakipo tena.
 
Are you out of your mind?? Unapata wapi platform na ujasiri kutwambia Lowasa amefanikiwa katika maisha? He is probably richer than the president, lakini nani hajui kwamba kawaibia watanzania tangu enzi za Nyerere. Only idiots like you unaweza kuja hapa JF kudhani kwamva wizi ni ujanja. Hicho kipindi hakipo tena.
utakuwa umeamka asubuhi na hoja za kumeza za kijamaa. Sijui km unao ushahidi kaiba na kaiba sh ngapi na wapi? Pili nani ahatuibii sisi watanzania kwa ujinga huu? Kipi bora aibe mtu tunayeweza mshtaki na kuzipata hela au waipe tusioweza wapata? Kumwita Lowasa ni mwizi ni kusema CCM chama cha kipuuzi hakina uwezo wa lolote zaidi ya upuuzi.

NIKUAMSHE TUU KIAKILI.PALE UDSM KUNA KIPINDI WALIPEWA MSAADA WA LECTURER WA HESABU , KAZI YAKE ILIKUWA KUFUNDISHA LOGIC. UTAJIULIZA NI KWANINI ? ILA MAJIBU UTAYAPATA UNAPOKUTANA NA MSOMI WA KITANZANIA.
 
Ndio umesema nini mkuu..mbona umeongea vitu viwili na kuvichanganya kirahisi na haraka sana? Tunahitajia karama, hujasema km hiyo karama tunahitaji sisi au rais? km ni Rais tukisubiri ndio itakuja au?
Usemaje tumsaidie? ktk kampeni aliomba kura kwa kusema ushirikiano wa watanzania angeuhitaji?Je mlifikiria km asingepata huo ushirikiano na msaada nini njia mbadala?

Huwa napata shida wasomi wa tz wakiongea maneno kirahisi rahisi bila uangalifu halafu wanataka wengine wayasikilize tuu na kuyakubali. Ulichoandika hapa ni dhambi kubwa sana. Na hii ndio michango yenu ktk neema na ktk dharura. Subiri hiyo karama, sidhani km una uwezo wa kuiona ikija kwa hizi fikra.
Tatizo kubwa mnajifanya nyie ni wachambuzi mahiri. Msomi ni mtu ambaye anakubali kutokubaliana. I can tell you kuongoza ni kugumu ila kukosoa ni rahisi. Kama ni mkristo utakumbuka papa retzinger alivyompa wakati mgumu boss wake. Lakini alipopewa hatamu akaona uongozi ulivyo mgumu kiasi akakubali ajiweke jela. Unapokuwa siyo kiongozi Ni rahisi kuona makosa ila ukiwa wewe hayo mang'ana mkuu. Nakusaidia kukueleza kuwa ni bora kuwa Na subira mwaka mmoja WA uongozi ni mdogo kumhukumu mtu. Hivyo Kama upo mature utanielewa ila ukiwa ni minor hutaweza
 
Kwa akili zako finyu za ki CCM utamwita Magufuli radical!! Haha Magufuli anaigiza tu kuwa radical ili kununua akili za wabongo waliovutiwa sana na upinzani!!

Radicals si wanafiki!! Magufuli ameishi ktk serikali miaka nenda rudi na yale alokua akiyatetea kama safari za JK Leo kageuka mpinzani kwazo!! Magufuli katetea sana CCM kiasi cha kutumia uwaziri igunga kuahidi wapiga kura kama hongo!! Huyu huwezi mfananisha na kina Trump ambao mpaka chamani siku zote misimamo yake inajulikana!! Huwezi MPA sifa ya u radical MTU ambaye anaibeba na kuilea system ya kima CCM huku akiwapa maneno ya kuigiza nyie bila kuwa na impact chanya!!

Pili huwezi mlinganisha Lowassa na Magufuli coz Lowassa ni jamii ya watu waliofanikiwa sana kimaisha!! Si wavivu.. Si wapiga domo na wala si wenye wivu!! Hata Trump si Mpiga domo au mvivu!! Trump ni jamii ya watu waliofanikiwa kimaisha.... Anajua strategies za biashara na uchumi!!

Huwezi mlinganisha Trump... Lowassa na watu wanaotoka kwenye jamii chovu zilizoshindwa kama kina JK n.k

Ili uwe kiongozi bora unahitaji uwe bora wewe binafsi ili kuridhisha umma kuwa unaweza kuwa bora kwa wengine!!

Jiulize kama Magufuli ni radical amebadili nini ktk misimamo ya ki CCM?

U radical ukitoka moyoni unatenda kwa ari ila ukiwa wa kudandia tu kufurahisha watu hauna Tija!!!

Acha porojo Lowassa ni fisadi.
 
Tatizo kubwa mnajifanya nyie ni wachambuzi mahiri. Msomi ni mtu ambaye anakubali kutokubaliana. I can tell you kuongoza ni kugumu ila kukosoa ni rahisi. Kama ni mkristo utakumbuka papa retzinger alivyompa wakati mgumu boss wake. Lakini alipopewa hatamu akaona uongozi ulivyo mgumu kiasi akakubali ajiweke jela. Unapokuwa siyo kiongozi Ni rahisi kuona makosa ila ukiwa wewe hayo mang'ana mkuu. Nakusaidia kukueleza kuwa ni bora kuwa Na subira mwaka mmoja WA uongozi ni mdogo kumhukumu mtu. Hivyo Kama upo mature utanielewa ila ukiwa ni minor hutaweza
lOGIC SIO RAHISI KWA WATZ HASWA WANAOJIITA WASOMI, SIJUI INTELLECTUALS ETC. NDIO MAANA TULIPEWA MSAADA PALE UDSM LECTURER WA LOGIC. BAHATI HAMKUJUA LENGO MNGEKURUPUKA KUSEMA NI MATUSI.

Ratzinger hakutoka kwa kushindawa. Alitoka kwa vile Vatican ilikuwa too soft ukilinganisha na misimamo yake ktk catholic doctines and theology. So akaona kuliko kufanya maamuzi yatakayogawa kambi za kushindana nani mshindi.Bora kuondoa mechi mezani kuliko kuleta msuguano kwa wakatolikii zaidi ya 1Bn. Sijui kwako hapa unamaanisha nini? Hapa kazi tuu nae akiona maamuzi yake yanaua nchi atakuwa mzalendo kujitoa kuliko kuangusha nchi?

MWISHO NAKUAMBIA TUU KWA FAIDA YAKO NILICHOANDIKA HAPA SIO NAJIFANYA KUJUA. NAKIJUA NDIO MAANA NIMEWEKA HII THREAD NA NYINGINE YA KAGERA SUGAR NA KUIFANANISHA NA BIRTHDAY YA RONALDO NA KUPOTEZA UBINGWA PAMOJA NA KILA KITU KWA MADRID.
 
Acha porojo Lowassa ni fisadi.
Donald trump nae aliambiwa kakwepa kodi kwa kutangaza kufilisika mara nyingi kabla hajatoboa kwa kuwa bilionea. Lowasa kawapa changamoto ccm waende mahakamani na ushahidi wakiweza shida afungwe.Sijui km wameweza, wajamaa ni wapuuzi always huwa wawezi meza ukweli ndio maana ,kudhibidi vyombo vya habari ndio mwisho wa akili zao .
 
Huwa naçheka sana kuona wabongo wanavyokimbizana ili wawe ktk trend!!

Ni mabingwa wa kucopy bila kujali wanapatia au wanakosea!!

Utaratibu wa CCM Ku copy hoja na Sera za upinzani haukuanza Leo... Shida inakuja ktk implementation!! Haiakisi outcomes zilizotarajiwa ktk hoja za upinzani!!

Ndio maana walipoambiwa ufisadi ni mfumo wakashupaza shingo kwakua walicopy tu bila kujua wafanye nini!!!

Ndio maana wengine wamechoka mapema sana na kupotea ktk beats kwakuwa wamecopy bila uwezo wakutekeleza!!

Ndiyo yale ya kubana matumizi huku ukiita mikutano ya CCM ikulu na kuigharimia... Ukifuta gwaride la uwanjani la siku moja huku ukiacha mbio za mwenge za kila siku zinazogharimu Mali na time za watu!!

Watanzania tuko duni sana!!
Hapana shaka wewe unadhani lugha ya upinzani ni copy and paste. I mean, una hoja nyingine kwa wana JF zaidi ya kutuaminisha kwamba the only smart people nchi nzima ni wapinzani!
 
UNGEWEKA SAWA KIDOGO, UKISEMA "THE ONLY SMART NI MAKOSA" , MASWALI MABOVU YA WATANZANIA NDIO HUWAPA MAJIBU MABAYA ,HUWA HAYAJIBIKI. Huwa inaanza hivi kwa watanzania kushindwa jiuliza maswali halisi mwishowe hulazimisha majibu . UPINZANIA NDIPO UTAPATA "THE SMARTEST POLITICIANS"
 
MKuu mbona uanchangia chini ya kiwango halafu una ujasiri hivyo. Ulichoanza hapo juu, umemaliza too general .Umeanza kwa kupunguza hoja uzito, kwa assumption km kila anakosea kwa hiyo makosa ni halali. Halafu unajifagilia kuelewa sana nchi(ila sijui km unachoelewa ni sahihi na una uwezo wa kujua usahihi wake). My experience shows that watu wanaodeal na data ktk hii nchi hawana uwezo wa kujua au makosa ya data kwa haraka. Na wengine hawana hata muamko wa kupambana ku improve quality of data. Mwisho wake wao wenyewe kuwa wahanga wa hizo wrong information. Kitu ambacho ni kawaida kabisa kwa hii nchi. Mwisho unamshutumu mwenzio kwa sifa unazozionyesha hapa.
Umeandika katika kiwango ambacho hata mbumbumbu wa kiwango chochote ni lazima aelewe , asante sana .
 
mkuu hawa jamaa wanachosha. Halafu hawana maadili sana, ndio maana ukishawajibu hoja zao kwa kiwango cha kusafisha mashambulizi yao huwa hawana uaminifu wa kukubali kwamba upo sahihi, na waendelee jadili hoja kwa namna mpya mliyokubalia kuwa sahihi. Wakishaingia na mashambulizi na baadae kujikuta wameenda vibaya huwa hawana tena hamu na kuendelea changia kwa wema.

Ndio maana misaada wanayotupa wazungu ni ktk ku boresha namna tunafikiri. Hii ndio shida kwetu kuliko hata kitu kingine.
 
Back
Top Bottom