Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

Unavyoshupalia thread yako utafikiri uumegundua mgodi wa almasi!
Huwezi penda hii kitu.Ndio maana nashupalia kwa vile ni multiple blow kwa wapuuzi wengi sana. wanaojificha nyuma ya vyeti na propaganda. Pole sana najua inauma ila nikusaidiaje?
 
Kwa maana hiyo lowassa ndo basi tena, zama zake za populism zimepita. Bye bye mzee lowassa, ikulu imeshakuovateki.
 
Miaka zaidi ya kumi nyuma tulishughudia kipindi cha populists wakichaguliwa kwa fujo duniani.. Hawa jamaa walichaguliwa bila hata kupimwa.Na aliyehoji uwezo wao alipata shutuma na upinzani mkubwa sana toka ktk umma. Ndio kipindi tuliwapata akina JK, Obama, na DJ kule Madagascar, David Cameron kule Uingereza etc. Ufanisi wao wao tuliuona.

Sasa wamekuja radicals ambao walizomewa km watu wenye chuki wachonganishi etc. Ila dunia inachoka unafiki km bahari inavyochoka mizoga. Radicals km Donald Trump, Diurtete kule Philippines, na wengine wengi sasa ndio wanakwenda shika dunia. Pengine dunia itaupa unafiki break kidogo ili mambo yaende kiuhalisia kidogo. Kwa Africa ni kipindi cha Neema, rais mwenye kusema na kutenda kweli inayouma kwa viongozi wetu atasukuma issue mbele kidogo.

Kwa wale walilelewa kwa philosophia za UDSM kaene mkao wa kula. Mtaambiwa mabaya mengi sana na hawa wachambuzi, kwa vile siku zao za kudanganya watu kabla ili kulinda watawala, ila siku zao zinahesabika sana.
Propaganda za kijamaa hazina tena nafasi ktk dunia huru.

Waandishi wapuuzi na wenye hila au uwezo mdogo nafasi yao inaondolewa ktk jamii. Media za magahribi na kasuku wao Africa walishambulia na kuuliza maswali yasio ya haki .Km wanavyofanya kwa wapinzani ktk hizi nchi zetu wakidhani wanaokoa roho za fikra maarufu, fikra za mkumbo, dunia nzima fikra za pamoja,fikra maarufu zimethibitika kwamba ni upuuzi na ujinga.

Hata ktk mabunge yetu, ktk jamii zetu, fikra mgando,fikra za pamoja na kulindana hazina tena mashiko. Sasa wajenga hoja,wenye kujiamini wanapiga bao.Watasema na kuoingwa kushambuliwa, ila kadiri wanashambuliwa ndivyo ukweli wa matukio unavyozidi jidhihirisha. Mwishowe inakuwa ngumu sana kwa wanafiki na wafuata mkumbo kukataa hoja
Wanasema WOGA ukizidi mtu unakuwa mnafiki. Na WOGA ndio chanzo kikuu cha umasikini achilia mbali UJINGA.
 
Kwa maana hiyo lowassa ndo basi tena, zama zake za populism zimepita. Bye bye mzee lowassa, ikulu imeshakuovateki.
Sidhani km tunaongelea mambo mepesi km unayofanya hapa. Trend Bongo haikuwa nzuri kwa vile UCHAGUZI WENYEWE NI DONT ASK DONT TALK. Plus watanzania wengi hamna intellectual culture, wala social culture. Ndio maana ni ngumu sana kuona mambo kiuhasilia.
 
Miaka zaidi ya kumi nyuma tulishughudia kipindi cha populists wakichaguliwa kwa fujo duniani.. Hawa jamaa walichaguliwa bila hata kupimwa.Na aliyehoji uwezo wao alipata shutuma na upinzani mkubwa sana toka ktk umma. Ndio kipindi tuliwapata akina JK, Obama, na DJ kule Madagascar, David Cameron kule Uingereza etc. Ufanisi wao wao tuliuona.

Sasa wamekuja radicals ambao walizomewa km watu wenye chuki wachonganishi etc. Ila dunia inachoka unafiki km bahari inavyochoka mizoga. Radicals km Donald Trump, Diurtete kule Philippines, na wengine wengi sasa ndio wanakwenda shika dunia. Pengine dunia itaupa unafiki break kidogo ili mambo yaende kiuhalisia kidogo. Kwa Africa ni kipindi cha Neema, rais mwenye kusema na kutenda kweli inayouma kwa viongozi wetu atasukuma issue mbele kidogo.

Kwa wale walilelewa kwa philosophia za UDSM kaene mkao wa kula. Mtaambiwa mabaya mengi sana na hawa wachambuzi, kwa vile siku zao za kudanganya watu kabla ili kulinda watawala, ila siku zao zinahesabika sana.
Propaganda za kijamaa hazina tena nafasi ktk dunia huru.

Waandishi wapuuzi na wenye hila au uwezo mdogo nafasi yao inaondolewa ktk jamii. Media za magahribi na kasuku wao Africa walishambulia na kuuliza maswali yasio ya haki .Km wanavyofanya kwa wapinzani ktk hizi nchi zetu wakidhani wanaokoa roho za fikra maarufu, fikra za mkumbo, dunia nzima fikra za pamoja,fikra maarufu zimethibitika kwamba ni upuuzi na ujinga.

Hata ktk mabunge yetu, ktk jamii zetu, fikra mgando,fikra za pamoja na kulindana hazina tena mashiko. Sasa wajenga hoja,wenye kujiamini wanapiga bao.Watasema na kuoingwa kushambuliwa, ila kadiri wanashambuliwa ndivyo ukweli wa matukio unavyozidi jidhihirisha. Mwishowe inakuwa ngumu sana kwa wanafiki na wafuata mkumbo kukataa hoja
Mkuu Mimi huwa nakukubali Sana hoja zako,huwa zinakuaga zimeshiba Sana, big up mkuu
 
Ila maradicals ndo hao wakati mwingine wanaingiza dunia kwenye machafuko kama kipindi cha Mussolini nk
 
Mussolini was a dictator. Ndio wanaoweza linda uongo kwa gharama yoyote, ndio wanaoogopa kuchukiwa na kufany amaigizo kuliko kufanya kazi. Ndio wanaotunga sheria kuwafunga midomo waandishi, kutaka kusifiwa tuu kwa vile wanaogopa sana kusikia ukweli.
 
Heshima kwako Nicholas....binadam wana chukia msemaukweli....

hii ndio hoja kubwa juu ya DTrump baadhi tena weusi sis wengi wetu wapuuz sana.

Kama DTrump hafai hizi Kura amepewa ma Jecha?
 
Wee leukocyte, habari ndo hiyo, populism is dead and gone.
Inabidi cheap politician ktk siasa za bongo, wanaojipa promo kuliko uwezo. Wanaokimbilia taja terminologies.game yao imekata..TRUMP ALIMWAMBIA MAMA WESE LIMEKATA JUZI NA JANA..KM CCM WALIVYOAMBIWA NA MZEE KINGUNGE WAMEKATA PUMZI. NA KWELI mama kaamini wese lilishakata. Naona hadi leo hawakuon ahaja ya kumpiga sindano ya kumboost hata akatoe hotuba ya kukubali kushindwa, kaishia piga simu tuu. Ktk midahalo alipewa majibu wapi, alipigwa booster ila dkk za mwisho alikuwa anapata wenge.
 
Asante sana mkuu , nimeridhishwa sana na uzi huu , hakika waamerika hawababaishwi na propaganda za kishamba kama za TWAWEZA .
Tena za kinafiki na kizandiki njaa zao zilizopanda kwenye ubongo zimewafanya wajidharirishe hata kwa familia zao
 
Mussolini was a dictator. Ndio wanaoweza linda uongo kwa gharama yoyote, ndio wanaoogopa kuchukiwa na kufany amaigizo kuliko kufanya kazi. Ndio wanaotunga sheria kuwafunga midomo waandishi, kutaka kusifiwa tuu kwa vile wanaogopa sana kusikia ukweli.
Hahahah, mkuu wangu ningekua karibu ningekupa heineken 10, hawa kenge unawaponda kisawa sawa!! Wapuuzi wamegeuza kibao wanataka fananisha dikiteta uchwara na Trump!! Kama tulivyowaambia jamaa si Radical!! Is simply dictator anayependa kusikia upande mmoja tuu, si caliber ya akina Trump waliovumilia matusi na kejeli nyingi, licha ya ulimwengu kuwa kinyume naye bado alishika agenda yake mpaka mwisho!
 
unachoongeaga sikipagi uzito kutokana na bendera hiyo uliyojifunga kiunoni, inaathiri sana hata namna unavyowaza
Mkuu unadhani hata viongozi wako wanaodai kwamba ni wao wote hawana unazi.Bahati unazi wao unawafumba sana mancho na kuchafua kitumbua walichokishika wakishani wanaporwa. PIA MKUU USIHOFU,MIMI NI RADICAL TANGU MWANZO, SINA WASIWASI NA SIPENDI JIDANGANYA WALA DANGANYA WENGINE.NI nyie tuu mna shida.PIA SIFAGILII UNIKUBALI AU LAH.NDIO MAANA THREAD ZANGU HUKU ZOTE HUWA ZINAKUJA ONEKANA NI KWELI BAADAE SANA.
 
Back
Top Bottom