Huna tofauti na PhD holders wa bongo walio bingwa ktk reference na comparison!! Wana juhudi ktk ulinganifu kuliko kutoa solutions!!Hakuna ambacho kinashindikana mkuu. Tukiwa na kiongozi mzuri na wananchi wakajua umuhimu wa kufanyakazi , tukaacha ubabaishaji, ni kweli tutajitegemea. Mfano mdogo tu, nchi kama Norway walikuwa maskini kama sisi hivi baada ya kuwa kwenye muungano na Denmark kwa muda wa miaka 290 (1524 - 1814) then baada ya Denmark kuwaachia baada ya vita ya Napolean wakawa chini ya Swedeni kwa muda wa miaka 91 (1814 -1905). Baada ya Muungano na Sweden kuvunjika Nchi ya Norway ilikumbwa na umasikini sana. Ndiyo ilikuwa nchi maskini kuliko zote barani Ulaya kwa wakati huo. Waliamua kuijenga nchi yao upya. Hii ilitokana na wananchi kujua umuhimu wa kujenga nchi yao. Wananchi walifanyakazi kwa bidii sana kutokana na uhaba wa manpower, ilibidi watafute nguvu kazi kutoka Pakstani kwa ajili ya kuongeza nguvu kazi. Na haya yote yalitokea miaka ya 1970. Kwa hiyo shida ya jamii yetu hatutaki kufanyakazi ila tunataka kuishi maisha ya hali ya juu, maisha ya ujanja ujanja tu. Nchi hujengwa na wananchi wenyewe. Mimi naamini tukibadili mindset zetu tukaamua kufanyakazi na wale mafisadi wakadhibitiwa, kodi ikakusanywa ipasavyo na pesa zikaelekezwa kwenye maendeleo zisiishie mifuko kwa wajanja hakika tunauwezo mkubwa wa kujitegemea.
Kiongozi wako mkuu Zitto atakua na jibu zuri kwako... Kamuulize maana ndiye mkuu wako ktk yote ikiwemo kufikiri.Hivi lowasa ni populist au radical ,msaada please
Shida ndivyo mlivyokm Mhongo kaulizwa swali jingine kaanza kwa kujidai kuwa anajua wengine hawajui. mwisho kamalizia kipuuzi. Mhongo alimjibu mbunge wa kiti maalumu akalinde umeme mererani ndipo aje uliza umeme. Km alikuwa hajui kwamba mererani sio arusha, na kulinda umeme ni suala la polisi na tanesco,pia mhongo hakuwa na eveidence kwamba mererani ndio wanaiba umeme kuliko arusha achilia mbali sehemu ingine nchini.Hujui ukiongeacho,wao wanataka immigration zero,eti wahamiaji responsible,kwa nini wasiwe responsible ndani ya nchi zao?na most of wahamiaji wanakwenda ulaya ili wapate maisha mazuri,PERIOD
Itakusaidia nini ktk hii hoja?Hapa kuna kitu "Reality" nimeweka hapa. Km hutamuona km ni radical basi akiwa realistic hatopingana au kuwenda kinyume na radicalsHivi lowasa ni populist au radical ,msaada please
Hivi hao waliokwama huko mecodia ni best brains?hao ndo wanaofanya extremist washine,maana Ulaya hawataki wahamiaji wanaokuja kufaidi social system yao,hawataki yatokee tena yaliyotea Molenbeek,eti smart brains,one out of millions?Hawataki wahamiaji ndo maana Trump anataka kujenga ukuta maana wahamiaji wameleta drugs tu hakuna cha maana.Shida ndivyo mlivyokm Mhongo kaulizwa swali jingine kaanza kwa kujidai kuwa anajua wengine hawajui. mwisho kamalizia kipuuzi. Mhongo alimjibu mbunge wa kiti maalumu akalinde umeme mererani ndipo aje uliza umeme. Km alikuwa hajui kwamba mererani sio arusha, na kulinda umeme ni suala la polisi na tanesco,pia mhongo hakuwa na eveidence kwamba mererani ndio wanaiba umeme kuliko arusha achilia mbali sehemu ingine nchini.
Wewe unadhani nipo ktk mabishano na wewe ya nani anaweza ongea vitu wengine hawawezi pima kwa haraka na hivyo nipate nafasi ya kudanganya. Magahribu siku zote wanajitahidi kuvuta BEST BRAINS/SMART MINDS ili waendelee ongoza ktk nyanja mbalimbali zinazowapa advantage duniani dhidi ya wengine. Sasa hiyo zero yako sijui unaipata wapi.Ni kawaida yenu kuchagua habari zinazowafaa ndio manchukua na kuaminisha wengine uongo.Ndio akili za wajamaa.Ni wapuuzi sana. Wanaposhindwa JIBU SUALA LA AJIRA WAPO TAYARI KUAJIRI WATU KTK KIWANDA AU KAMPUNI ISIYOZALISHA AU KUINGIZA FAIDA. Hata hoja zakp zipo hivyo.
mkuu tunahitaji parameters nyingi sana ziwe right na kwa muda mrefu sana.Something very impossible kwetu.Hakuna ambacho kinashindikana mkuu. Tukiwa na kiongozi mzuri na wananchi wakajua umuhimu wa kufanyakazi , tukaacha ubabaishaji, ni kweli tutajitegemea. Mfano mdogo tu, nchi kama Norway walikuwa maskini kama sisi hivi baada ya kuwa kwenye muungano na Denmark kwa muda wa miaka 290 (1524 - 1814) then baada ya Denmark kuwaachia baada ya vita ya Napolean wakawa chini ya Swedeni kwa muda wa miaka 91 (1814 -1905). Baada ya Muungano na Sweden kuvunjika Nchi ya Norway ilikumbwa na umasikini sana. Ndiyo ilikuwa nchi maskini kuliko zote barani Ulaya kwa wakati huo. Waliamua kuijenga nchi yao upya. Hii ilitokana na wananchi kujua umuhimu wa kujenga nchi yao. Wananchi walifanyakazi kwa bidii sana kutokana na uhaba wa manpower, ilibidi watafute nguvu kazi kutoka Pakstani kwa ajili ya kuongeza nguvu kazi. Na haya yote yalitokea miaka ya 1970. Kwa hiyo shida ya jamii yetu hatutaki kufanyakazi ila tunataka kuishi maisha ya hali ya juu, maisha ya ujanja ujanja tu. Nchi hujengwa na wananchi wenyewe. Mimi naamini tukibadili mindset zetu tukaamua kufanyakazi na wale mafisadi wakadhibitiwa, kodi ikakusanywa ipasavyo na pesa zikaelekezwa kwenye maendeleo zisiishie mifuko kwa wajanja hakika tunauwezo mkubwa wa kujitegemea.
Dada unaonekana una shida!! Exposure kwako ni zero!! Bahati mbaya sana watu wa aina yako huwa mko mbele sana ktk kudhalilisha na kuonesha wengine kuwa hawawezi au hawajui ila ktk hoja zenu za Ku prove kutojua kwa wengine ndio huwadhalilisha nyingi zaidi na mnaonekana hopeless!!Hujui ukiongeacho,wao wanataka immigration zero,eti wahamiaji responsible,kwa nini wasiwe responsible ndani ya nchi zao?na most of wahamiaji wanakwenda ulaya ili wapate maisha mazuri,PERIOD
Ndioo maana nakuambia uachane na njia uliyochagua. Best brains wanchukua ktk Ubiversities, ktk refugee waliokwenda na kuchujwa wakiwa na vipawa na kukubali kuishi ustaarabu wa kimagharibi. Nadhani umeshaanza ona wapi hiyo Zero yako ni opotofu.Hivi hao waliokwama huko mecodia ni best brains?hao ndo wanaofanya extremist washine,maana Ulaya hawataki wahamiaji wanaokuja kufaidi social system yao,hawataki yatokee tena yaliyotea Molenbeek,eti smart brains,one out of millions?Hawataki wahamiaji ndo maana Trump anataka kujenga ukuta maana wahamiaji wameleta drugs tu hakuna cha maana.
Anatia huruma!! Yupo busy ktk kuonesha wengine hawajui kuliko kuitendea haki jamii yake ipate mwanga!! Ndio maana wengi wao huishia kuaibika kama yeye!!!Shida ndivyo mlivyokm Mhongo kaulizwa swali jingine kaanza kwa kujidai kuwa anajua wengine hawajui. mwisho kamalizia kipuuzi. Mhongo alimjibu mbunge wa kiti maalumu akalinde umeme mererani ndipo aje uliza umeme. Km alikuwa hajui kwamba mererani sio arusha, na kulinda umeme ni suala la polisi na tanesco,pia mhongo hakuwa na eveidence kwamba mererani ndio wanaiba umeme kuliko arusha achilia mbali sehemu ingine nchini.
Wewe unadhani nipo ktk mabishano na wewe ya nani anaweza ongea vitu wengine hawawezi pima kwa haraka na hivyo nipate nafasi ya kudanganya. Magahribu siku zote wanajitahidi kuvuta BEST BRAINS/SMART MINDS ili waendelee ongoza ktk nyanja mbalimbali zinazowapa advantage duniani dhidi ya wengine. Sasa hiyo zero yako sijui unaipata wapi.Ni kawaida yenu kuchagua habari zinazowafaa ndio manchukua na kuaminisha wengine uongo.Ndio akili za wajamaa.Ni wapuuzi sana. Wanaposhindwa JIBU SUALA LA AJIRA WAPO TAYARI KUAJIRI WATU KTK KIWANDA AU KAMPUNI ISIYOZALISHA AU KUINGIZA FAIDA. Hata hoja zako zipo hivyo. Radicals na capitalist hawafanyi huo upuuzi. Ndio maana kwa fikra za populist kila kitu useless wamefanya bila aibu au huruma.Kwa vile si wao wanakandamizwa na hizo hasara.
Pengine hujui jinsi unatia huruma.Sitaki ingia ktk hoja ya Lowasa kwa vile nchi " IPO KTK DONT ASK DONT TALK" ktk issue ya uchaguzi. Na hiyo ni kuanzia bara hadi visiwani. Au tuseme bado shauri lipo mahakamani. Ili kukudokeza tuu "Lowasa kuna vitu vingi sana anaamini ni real na hajawa mwepesi kujaribu hata vibadili kubadili ,sidhani km huo upande una clue hata kidogo "mwekundu Lowasa yeye ni fisadi ,na hafit upande wowote hapo
Bahati yake mbaya sijui nzuri, anaongea na watu ni real radicals na kitu kisicho na uhasilia. Hatuna muda wa kukitafutia jina zuri kishikaji.Anatia huruma!! Yupo busy ktk kuonesha wengine hawajui kuliko kuitendea haki jamii yake ipate mwanga!! Ndio maana wengi wao huishia kuaibika kama yeye!!!
Siku akili zako zikirudi utagundua mnafiki na msaliti namba moja ni mbowe kibaya zaidi ni kuwafanya ninyi misukule.Kwa hoja ipi unaweza tetea kuwa Magu si mnafiki?
Au ndio nyie mliotuambia ukweli hauna upande ila mkaishia kuwa na upande ktk kueleza ukweli wenu?
Si mnafiki ktk lipi?
Inaonesha ni kwa kiwango kikubwa Mbowe yupo akilini mwako kiasi cha kuona yeyote asiye upande wako basi ni mfuasi wa mbowe....Siku akili zako zikirudi utagundua mnafiki na msaliti namba moja ni mbowe kibaya zaidi ni kuwafanya ninyi misukule.
Haha..kwanini usiondoke huko ahlafu ukaanzisha thread yako ya mhusika. Mfano mimi personally sidhani km unaweza nibadili hasira zangu dhidi maigizo ya waziri wa wizara ya miundo mbinu sijui na ujenzi kipindi kile. Alipoapiga kelele na viapo kwamba wachina na wengine wameshalipwa na walitakiwa kumalizia ujenzi haraka.Ila mwisho wa mwaka ktk kikao na wakandarasi alionekana akiwaomba wavumilie na kuendelea na kazi watalipwa tuu. Ktk wakandarasi wazawa walikuwa wakilia deni lao kutolipwa hadi wamefilisika. Sidhani km una maelezo maauri hapa.Siku akili zako zikirudi utagundua mnafiki na msaliti namba moja ni mbowe kibaya zaidi ni kuwafanya ninyi misukule.
haha..the problem Zitto, mkumbo na watu wengine wanapewa unfair room for jokes ktk serious issues. Nchi za wenye akili hawa jamaa wangekuwa hawapo ktk public spheres.Dada unaonekana una shida!! Exposure kwako ni zero!! Bahati mbaya sana watu wa aina yako huwa mko mbele sana ktk kudhalilisha na kuonesha wengine kuwa hawawezi au hawajui ila ktk hoja zenu za Ku prove kutojua kwa wengine ndio huwadhalilisha nyingi zaidi na mnaonekana hopeless!!
Hakuna nchibiliyoendelea ambayo haitaki wahamiaji responsible!! Nchi nyingi tu duniani zilizoendelea zinaalika mamilioni ya wahamiaji iwe ktk utalii.... Kazi...uwekezaji....biashara ambapo uhamiaji huo utakua na faida kwao ...
Huoni nchi kama Canada na Australia hualika maombi ya kazi kwa wataalamu wahamiaji kwa maelfu kila mwaka? Haha ama kweli unaishi ktk chungu!!
Au ndo walewale kama kiongozi wenu Zitto alipopost kujisifu FB baada ya Magufuli kupiga stop uagizaji wa Sukari na kujisifu ati Rais katekeleza ushauri wake? Vipi Leo amesimama pande IPI? Kwa wanaolia na uhaba wa sukari au wanaohangaika kuuondoa? Mbona yupo muted?
Mwenzako aliposema wanataka wahamiaji responsible hakukurupuka!! Wakati hohehae wakinyimwa visa za marekani na Australia kuna watanzania wanabembelezwa waende kucheki fursa huko!!
Pole sana dada halafu wewe ndio role model wa wachangiaji wengi hapa JF? Haha kiama!!!!
haha..nachelea kukuambia unahitaji somo , sitaki fanana na wewe na wengine ambao huwa ni wepesi kuona wanaotofautiana nao ni kwamba hawajui. Ila ktk hili hujui. Hembu rudia ulichosoma na kujaribu jibu upya pengine unaweza kuwa na jibu zuri zaidi .Hujui ukiongeacho,wao wanataka immigration zero,eti wahamiaji responsible,kwa nini wasiwe responsible ndani ya nchi zao?na most of wahamiaji wanakwenda ulaya ili wapate maisha mazuri,PERIOD
Inaonyesha una mihemko. Kila Kiongozi hufanya makosa ila Ni muhimu KWA mchambuzi kupima makosa hayo ni bahati mbaya au makusudi. Nadhani nitakuwa Na uelewa WA nchi hii kukuzidi. Achana Na watu wanaotumia ccm kwa manufaa yao wenyewe. I know magu and is the person that can help tanzania. Forget about sentiments MkuuNimekuuliza swali hujajibu unakimbilia kusema unatamani mijadala na wengine!! Nimekupa nafasi unioneshe hicho Magufuli anataka Fanya kwa watanzania mbona unakimbia?
Kwa fikra zako unafikiri kuna kiongozi wa CCM alikua na option nyingine zaidi ya kuiga kauli za wapinzani?
Unafikiri mahali nchi ilifika kuna mtanzania alitamani kusikia zile kauli za ki CCM za miaka yote?
Je Magufuli naye si miongoni mwa watu wa CCM walioamua Ku copy na Ku paste lugha za wapinzani? Hayo si hoja hoja ni je ameweza yafanya kwa ufanisi hayo aliyojaribu copy ili kufurahisha watu?
Kwako Rais kusema nchi ni tajiri ndio kipimo chako cha ubora? Kwahiyo akili na ufahamu wako hautoshi kukuonesha ama nchi ni tajiri au masikini mpaka uambiwe na rais? Teh teh nyie ndio wale mlikua hamuelewi issues mpaka mpate ufafanuzi wa JK??
Sijui umri wako lkn kwa tulioishi miaka mingi hizi kauli za Magufuli hazina tofauti na za mjamaa Nyerere... Fagio la chuma kwa Mwinyi... Ukweli na Uwazi kwa Mkapa au Ari mpya ya Kikwete!!
Wewe unapima kauli na mbwembwe Mimi napima outcome!!!
Wakati yeye akifurahia watu kukaa kazini bila kujali wamezalisha Mimi Mimi naangalia uzalishaji!!
Mpaka sasa kuna issues nyingi tu nzito za uchumi hatuoni mwelekeo wowote zaidi ya nguvu nyingi kutumika kumjenga binafsi ili kulinda utawala wake!! Hatuoni juhudi ktk kujenga uchumi!!!
Kama kauli kwako ndio reflector ya kiongozi bora basi JK na hotuba zake za masaa matatu ni bora zaidi!!!
Inahitaji karama ya pekee kuifikisha Tanzania inapotakiwa. Lazima tuwe Na subira tumpe muda Rais Na kila mtu ajaribu kumsaidia baadala ya kulalmika tu.Kuongea tu bila kutenda ni aina nyingine ya ukichaa na dunia haitaki maneno matupu rudia kaangalie yaliyosemwa na yanayotendwa sasa ivi yanafanana hata kidogo tusiwaite wazalendo hawa wanaoigiza ni wakati sasa hata sisi wanainchi tuwe chachu ya kuwasukuma viongozi watenda sio maigizo na maneno kibao.