Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

Asante sana mkuu , nimeridhishwa sana na uzi huu , hakika waamerika hawababaishwi na propaganda za kishamba kama za TWAWEZA .
Hivi yule jamaa ni mnyarwanda? hivi ile sautiyake ni pause au ni nini? Hayo maigozo yao yananitia kichefuchefu. Hawajui data ni zaidi ya gold km ni za kweli?
 
Sidhani km tunaongelea mambo mepesi km unayofanya hapa. Trend Bongo haikuwa nzuri kwa vile UCHAGUZI WENYEWE NI DONT ASK DONT TALK. Plus watanzania wengi hamna intellectual culture, wala social culture. Ndio maana ni ngumu sana kuona mambo kiuhasilia.
Yah na wengi ni watu wa kupokea na kumeza kama hao vijakazi wa Lumumba,uwezo wa kuchambua pumba na mchele hawana kabisa
 
Ulikuwa jela? Naona mzimu wa JK unakutafuna JF hagombei tena urais unaogopa kumtaja Dr.Magufuli na fisadi wenu Lowassa.
Ivi huyu ndio alikuwa na kile kibwagizo cha mtoto wa fundi seremala?
 
..TZ na nchi nyingi africa bado tuna bahati mbaya sana...pale wananchi wanapoamua haki zao hupokwa...hili ndilo gonjwa la TZ.....lazima ifike mahali wa TZ waamue liwalo na liwe waondoe lichama la kinafiki la ccm....bila hapo tutakuwa tunashangilia chaguzi za kidemokrasia za wenzetu wakati kwetu kumeoza...
 
Huwa naçheka sana kuona wabongo wanavyokimbizana ili wawe ktk trend!!

Ni mabingwa wa kucopy bila kujali wanapatia au wanakosea!!

Utaratibu wa CCM Ku copy hoja na Sera za upinzani haukuanza Leo... Shida inakuja ktk implementation!! Haiakisi outcomes zilizotarajiwa ktk hoja za upinzani!!

Ndio maana walipoambiwa ufisadi ni mfumo wakashupaza shingo kwakua walicopy tu bila kujua wafanye nini!!!

Ndio maana wengine wamechoka mapema sana na kupotea ktk beats kwakuwa wamecopy bila uwezo wakutekeleza!!

Ndiyo yale ya kubana matumizi huku ukiita mikutano ya CCM ikulu na kuigharimia... Ukifuta gwaride la uwanjani la siku moja huku ukiacha mbio za mwenge za kila siku zinazogharimu Mali na time za watu!!

Watanzania tuko duni sana!!

Yani!!
 
Ni kipindi cha watu walio straight ..akina Mugabbe, Kagame JPM n.k kwa Afrika. Ni hawamu mpya ya ukweli na vitendo vingi huku siasa za midomo midomo zikiwekwa kando
 
Naona kwa Tanzania umemtaja JK....je kwa mwaka 2015 kati ya Magufuli na Lowassa nani populist?radicals?...kweli watanzania awamu hii waliepuka unafki wa populist,CCM walichinja populist....ha ha ha.Leo umetoa mawazo kuntu.
Ccm walimteua radical bila hata wao kujua madhara yake,matokeo yake,Leo radical yule ananga'ata zaidi upande uliomteua na kusababisha waisome Namba zaidi.
 
Ccm walimteua radical bila hata wao kujua madhara yake,matokeo yake,Leo radical yule ananga'ata zaidi upande uliomteua na kusababisha waisome Namba zaidi.
CCM hakuna radical hapa, hii ya kwenda mpigia magoti mkwepa kodi? Acheni kufungua midomo na kukufuru fikra.
 
Ulikuwa jela? Naona mzimu wa JK unakutafuna JK hagombei tena urais unaogopa kumtaja Dr.Magufuli na fisadi wenu Lowassa.
Pole sana. Tunafikiri tofauti sana. Mbaya zaidi fikra zenu ni km kutu. Ni km noise, ktk mkusanyiko wa mindsets
 
Inahitaji karama ya pekee kuifikisha Tanzania inapotakiwa. Lazima tuwe Na subira tumpe muda Rais Na kila mtu ajaribu kumsaidia baadala ya kulalmika tu.
Haha..subira ya nini mnaomba wakati mnajisu mnaweza?Mnatudharau, na mnafany akazi mliyoichukua kwa ubavu?Urais ni kazi inayoweza pata watu ila ina upinzani mkubwa ndio maana nchi km japan,itali ,Israel,(waziri mkuu),south Korea unaondoka tuu fasta. huku ndio mnakomaa huku mnaomba subira,huku mnaringa, huku mnapika sheria ili msiambiwe kitu. Rais kapea kila kitu,uwezoo wa kuchagua timu ya ushindi, km yeye kachagua time ya kushindwa km Mourinho pamoja n akupewa kila kitu cha kufanya kazi ili alete matokeo aliyoahidi bado anachemsha.Visingizio kibao km vile ni mgeni ktk serikali ya hii nchi.
 
Inaonyesha una mihemko. Kila Kiongozi hufanya makosa ila Ni muhimu KWA mchambuzi kupima makosa hayo ni bahati mbaya au makusudi. Nadhani nitakuwa Na uelewa WA nchi hii kukuzidi. Achana Na watu wanaotumia ccm kwa manufaa yao wenyewe. I know magu and is the person that can help tanzania. Forget about sentiments Mkuu
Hivi hizo excuse mnazotoka misuli kumsemea kiongozi ambaye hata yeye mwenyewe haoni km zinaweza msaidia,mnakuwa mnafikri nini?Watz ni mabingwa wa kuapa kwa jina la mwenyezi Mungu ktk mambo ya mtu mwingine km vile wanawajua hadi ndani ya roho zao,au wana guarantee hao watu ni miungu hawakosei tena kwa makusudi.

CCM km wao wanaitumia ccm kwa manufaa yao nani awasaidie?Au nani aisaidie CCM km ina watu km hao na haina uwezo wala nia ya kudeal nao?Hizi sababu zinatudhalilisha sana watu weusi .Ndio maana wazungu wametoka kwa fujo haji kura za watu wanaoharibu kila mifumo zisitoshe.
 
Ni kipindi cha watu walio straight ..akina Mugabbe, Kagame JPM n.k kwa Afrika. Ni hawamu mpya ya ukweli na vitendo vingi huku siasa za midomo midomo zikiwekwa kando
Mugabe sio straight ndio ana ushindi wa konakona, Kagame nae, JPM tunamwona. NI aibu sana Kagame dictator kuwa mfano bora kwa Africa.Yaani viwango vyetu vipo chini sana kuliko watumwa walijiuza wenyewe.
 
Inabidi cheap politician ktk siasa za bongo, wanaojipa promo kuliko uwezo. Wanaokimbilia taja terminologies.game yao imekata..TRUMP ALIMWAMBIA MAMA WESE LIMEKATA JUZI NA JANA..KM CCM WALIVYOAMBIWA NA MZEE KINGUNGE WAMEKATA PUMZI. NA KWELI mama kaamini wese lilishakata. Naona hadi leo hawakuon ahaja ya kumpiga sindano ya kumboost hata akatoe hotuba ya kukubali kushindwa, kaishia piga simu tuu. Ktk midahalo alipewa majibu wapi, alipigwa booster ila dkk za mwisho alikuwa anapata wenge.
Mama katoa hotuba ya kukubali kushindwa
 
Mkuu unadhani hata viongozi wako wanaodai kwamba ni wao wote hawana unazi.Bahati unazi wao unawafumba sana mancho na kuchafua kitumbua walichokishika wakishani wanaporwa. PIA MKUU USIHOFU,MIMI NI RADICAL TANGU MWANZO, SINA WASIWASI NA SIPENDI JIDANGANYA WALA DANGANYA WENGINE.NI nyie tuu mna shida.PIA SIFAGILII UNIKUBALI AU LAH.NDIO MAANA THREAD ZANGU HUKU ZOTE HUWA ZINAKUJA ONEKANA NI KWELI BAADAE SANA.

Mkuu kwasababu hausemi uongo kwenye data, hauko delusional... Mimi like, like sana huu uzi wako
 
Mama katoa hotuba ya kukubali kushindwa
Sijaangalia, ila Muda ule alimpigia jamaa simu(kwa taarifa za media) na kuwaambia watu watawanyike tuu. Nadhani hata wanaompiga booster walimwambia asiongeze kuchosha mwili uliokwsiha chakaa shida.Trump alimpongeza kwa kazi kubwa..Trump kashindwa malizia tuu mama kafanya kazi kubwa ya Bure bila kuchoka. Ila ktk mdahalo aliwahi mwambia kt mdahalo kwamba mama ana Experience kubwa ila mbaya sana.
 
Mugabe sio straight ndio ana ushindi wa konakona, Kagame nae, JPM tunamwona. NI aibu sana Kagame dictator kuwa mfano bora kwa Africa.Yaani viwango vyetu vipo chini sana kuliko watumwa walijiuza wenyewe.
Ukiwauliza mashabiki wa Clinton kwanini wanamuhofu Trump watakwambia pamoja na mengine jamaa ni dictator
 
Now we are back to squire one. Wabishi na akili zao za wachambuzi wa UDSM waje kubisha hili. Wachambuzi wa bongo ni km waandishi wa magazeti ya michezo na udaku bongo. Kudanganya watz. Kuna prof mmoja wa ubashiri bongo leo anasema walibishana kwa ustaarabu bila matusi wala kukashfiana. Juzi tuu walikuwa wanasema trump alikuwa anatukana na kukashfu watu, mara ana ubaguzi. Bila hawa wasomi
Wale wanawake mmoja alisema,,Trump aliingiza mkono kwenye sket akamshika vagina.Je hilo siyo tusi wala kashfa?
 
Back
Top Bottom