Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao.
Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa bastola kwa nia ya kupiga hewaani ili kuwaandaa mababu kumpokea marehemu huko aendako lakini kwa bahati mbaya alimpiga muombelezaji mwingine na kumsababishia kifo, ambapo wananchi wenye hasira walimshambulia naye hadi kumsababishia kifo. Wakati purukushani zikiendelea mtoto mmoja alipata majeraha ambayo yalimsababishia kifo.
Mwenyekiti wa mtaa huo ametoa wito kuwaomba wananchi kuepuka kula hadharani wakati wa kipindi hiki cha mfungo.
Hivi mpiga bastola naye alikufa ?
 
Jambo ambalo umiliki wa pistol hautaki kabisa ni unywaji wa pombe uliopitiliza hasa pombe Kali.
Maamuzi ya utumizi wake hata ukikasirishwa kidogo tu huwa ni hatari.
Remember: A slight squeeze of a trigger, means ........!
 
Poleni sana kwa misiba hiyo. Swali langu ni je huyo wa bastola ni utaratibu wao kupiga bastola kwenye mazishi? Je ilikuwa ni sifa? Mana yeye ndo amekuwa chanzo cha hayo mengine. Ni Jambo kiukweli linaacha maswali mengi Ila kama yupo humu mtu wa maeneo hayo atupe kidogo insight ya jambo hili.
 
Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao.
Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa bastola kwa nia ya kupiga hewaani ili kuwaandaa mababu kumpokea marehemu huko aendako lakini kwa bahati mbaya alimpiga muombelezaji mwingine na kumsababishia kifo, ambapo wananchi wenye hasira walimshambulia naye hadi kumsababishia kifo. Wakati purukushani zikiendelea mtoto mmoja alipata majeraha ambayo yalimsababishia kifo.
Mwenyekiti wa mtaa huo ametoa wito kuwaomba wananchi kuepuka kula hadharani wakati wa kipindi hiki cha mfungo.
Mambo ya Akwilina haya, risasi hewani inaua mtu ardhini!
 
Mababu na mizimu waliijua bastola!!!? Waiachhe mizimu ikasirike
 
huu utaratibu wa kutoa bastola misiban unaanza kukua kwa kasi bila kufatwa kwa sheria nlienda msiba mmoja tarme baada ya mazshi nljua nko somalia jamaa kama 8 walitoa bastola na kuanza kupga hewan wakijbizana kwamba nan yake inakishindo hata ambae ukumzania kama ana bastola nae anatoa anapga juu ni kama sifa sasa baada ya mazshi watu kupga rsas juu hii inapelekea watu kuazmana bastola mjin na kuja kuvimba nazo vijijin kwenye misiba hii kitu n hatar sana vyombo vnavyo husika vchukue hatua
 
Nina bastola eti wananchi wanishambulie, nitahakikisha nakufa na 9
Utaua Wangapi?

Kiongozi wa CCM mwanza mkazi wa kisesa yalilmkuta haya alikua nayo na alimpiga mtu shaba kwa mgogoro wa shamba, wananchi walimuweka kati alipigika mpaka akapoteza maisha,.
 
Muhimu wote wanaomiliki silaha
Wasajiliwe upya na kupewa masharti makali ikiwepo kupimwa akili . Watumia vilevi wote wasipewe silaha.

Nchi karibu zote duniani na nusu ya marekani wanapinga raia kumiliki silaha sasa sijui kwanini hapa Ilionekana umuhimu raia kununua silaha
 
huu utaratibu wa kutoa bastola misiban unaanza kukua kwa kasi bila kufatwa kwa sheria nlienda msiba mmoja tarme baada ya mazshi nljua nko somalia jamaa kama 8 walitoa bastola na kuanza kupga hewan wakijbizana kwamba nan yake inakishindo hata ambae ukumzania kama ana bastola nae anatoa anapga juu ni kama sifa sasa baada ya mazshi watu kupga rsas juu hii inapelekea watu kuazmana bastola mjin na kuja kuvimba nazo vijijin kwenye misiba hii kitu n hatar sana vyombo vnavyo husika vchukue hatua
Kumbe ni utaratibu wa siku nyingi kwenda na bastora msibani🙁
 
Back
Top Bottom