Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

huu utaratibu wa kutoa bastola misiban unaanza kukua kwa kasi bila kufatwa kwa sheria nlienda msiba mmoja tarme baada ya mazshi nljua nko somalia jamaa kama 8 walitoa bastola na kuanza kupga hewan wakijbizana kwamba nan yake inakishindo hata ambae ukumzania kama ana bastola nae anatoa anapga juu ni kama sifa sasa baada ya mazshi watu kupga rsas juu hii inapelekea watu kuazmana bastola mjin na kuja kuvimba nazo vijijin kwenye misiba hii kitu n hatar sana vyombo vnavyo husika vchukue hatua

Hakuna mwenye Akili timamu aliepata silaha yake kihalali kutoka serikalini kwa minajiri ya ulinzi binafsi wake yeye na ‘Mali’ zake anaweza kumpa mtu silaha yake (kumuazima akatambe nayo)!!!

Hebu tujitahidi kusoma Sheria na miongozo ya umiliki wa silaha hapa Tanzania ukoje kwa watu binafsi.

By the way; tukumbuke popote pale duniani zipo silaha zinazomilikiwa na pande zote za jamii (Serikali & Binafsi) zinazotoka black market! Hasa maeneo yote yenye vita ama yenye kupakana na maeneo yenye vita! Hizi hazina masharti wala miongozo ni faranga yako tu!!
 
Muhimu wote wanaomiliki silaha
Wasajiliwe upya na kupewa masharti makali ikiwepo kupimwa akili . Watumia vilevi wote wasipewe silaha.

Nchi karibu zote duniani na nusu ya marekani wanapinga raia kumiliki silaha sasa sijui kwanini hapa Ilionekana umuhimu raia kununua silaha

Hapo kwa watumia vilevi; are you sure wote watumiao wanyimwe?

Seems like you’re living in a fantasy!!
 
Back
Top Bottom