lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,468
- 21,904
Another Indian movie, tumezizoea
Waache wapige kelele sisi tunaijenga nchi
Another Indian movie, tumezizoea
Narudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Ujinga ni ule unaouandika humu
Mmetaka uthibitisho huo hapo Semen sasa mmeiba hamjaibaAnother Indian movie, tumezizoea
Waache wapige kelele sisi tunaijenga nchi
Hizo picha za kutengeneza kwa adobe heeeMmetaka uthibitisho huo hapo Semen sasa mmeiba hamjaiba
Walibadirisha standing orders zao na kuita 'minority'. Labda itakuwa nani kuwa kiongozi wa hiyo minority, ingawaje sifukuatilia kwa kina itakuwaje kuwaje hasa.Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.
Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.
Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Maendeleo hayana vyama!
Makalio wwHizo picha za kutengeneza kwa adobe heee
Unajue sie ambaye tumeacha kupiga kura toka zamani tuliwashanga sana mlivyokuwa mnampamba Tundu Lissu na mkajipa matumaini.Igizo la uchaguzi sasa limefika tamati. Ngoja tuone yatakayojiri.
Tunategemea kuona Tanzania mpya chini ya magufuli na genge lake la uchaguzi bandia.
Achana na hawa wapuuzi wanashangilia wezi..Sawa sheikh wa bakwata.
Ahsante mkuu elimuHao wawakilishi 5, wanaingia Baraza la Wawakilishi, kutimiza idadi ya wawakilishi 6 wanaohitajika kuunda GNU.
ACT imepata mmoja.
P