Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,030
- 103,430
Kule Namanyele CHADEMA imeshinda!
Sio huko tu, bali ni sehemu kibao. Ila maagizo ilikuwa sio kuwatangaza wabunge wengi.
Kule Namanyele CHADEMA imeshinda!
Nauunga mkono hoja! kazia tena kadiri unavyowezaNarudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Watafanya coalition! labda tamaa za madaraka ndizo ziwazuieMatokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1...
Sijaelewa, yaani ye atapata kupitia viti maalum au?Mdee amesema ataongoza kambi ya CHADEMA bungeni!
Kafanye uchaguzi nyumbani kwako!Narudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Chama kikuu cha upinzani kitakuwa ni ACT Wazalendo, kwasababu kule Zanzibar, Dr. Mwinyi atawateulia Wawakilishi 5, na huku bara, japo Watanzania wamewakataa kata kata wapinzani, bila a strong oversight committees, checks and balance ya serikali Bungeni itakosekana kabisa, hivyo, tunamuombea Zitto na Lissu, wateuliwe na JPM ili kusisimua upinzani, ZZK ndio atakuwa KUB, Lissu aendelee kuwa Mnadhimu Mkuu. Mdee ataingia viti maalum Chadema, watapata kama viti 5 hivi.Matokeo yameonyesha kuwa ACT wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1...
Linaviziwa gari la KUB!Watafanya coalition! labda tamaa za madaraka ndizo ziwazuie
Zoezi la aibu.Acha kudharau zoezi halali na la kidemokrasia nchini
Ndio!sijaelewa, yaani ye atapata kupitia viti maalum au?
Stress za wanasaccos kupata mbunge 1.Sio baada ya uchaguzi, sema baada ya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Urafiki wa mashaka kweli kweli, Muungano kati ya msaliti na mzandiki.Ili Upinzani kutambulika na kurhusiwa kuunda Kambi rasmi ya Upinzani bungeni kuna idadi ya viti lazima ifikishe
Changamoto iliyopo ni ya Urafiki wa Mashaka kati ya Chadema na ACT, wote hawaaminiani, Chadema wanaweza wakasusia kwenda Bungeni, ACT waka take advantage na kinyume chake
ACT inaweza ikatangaza kususia Chadema wakaona watumie fursa hiyo!
Wacha ujinga mwamba! Kichwa kama makalio ya nyanda yako! Kwa taarifa yako na awamu hii unauma bench hapati uteyuzi hata kama utaenda kutambika huko kwenu Gamboshi!Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, na hii ndio a Tanzanian Democracy is part of African Democracy, nchi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi, halafu chama kimoja kikashinda kwa 99%, na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki, determinant ya ushindi sio votes casted but votes counted, japo kulikuwa na dosari ndogo ndogo, bado JPM na CCM walikuwa washinde tuu, and if there was anything done behind the closed doors, whatever it is, its not the factor of victory but kujazia tuu kiwango cha kishindo cha asilimia za ushindi, ila ushindi wa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi Mkuu huu, mimi niliutaja tangu ile tarehe 28 October, 2015, watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!.
Tulisema humu kila kitu!.
P
Hakujawahi kuwa na uchaguzi. Kilichofanyika ni ushenzi. Hivyo hakuna chama kikuu cha upinzani maana hao waliopita kutoka upinzani hawataenda kuapishwa. Kwenda kuapishwa ni kubariki ushenziMatokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.
Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.
Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Maendeleo hayana vyama!
Lazima uwe mwendawazimu kukubali uchafu uliofanyika kuwa eti lilikuwa ni zoezi la kidemokrasia.Acha kudharau zoezi halali na la Kidemokrasia Nchini