Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,325
- 5,543
Ww hapo,kwan hujion ulivyo punguan???
Mtu mweusi mjinga ni wewe?
Mtu mweusi mjinga ni wewe?
Huu upuuzi mliujua na kwa tamaa zenu za ruzuku mkahitaji muhutest.
Umewapalia mnaanza kutupigia kelele.
Tulieni NGOSHA wanyooshe na kama mlitaraji mtufanye watanzania mitaji ya damu sahauni.
JIPANGENI 2025 msitegemee post za uzushi za kimambi kuwainua dunia ipo kwa kila kiganja cha mtanzania ukiongopa watanzania wanacheka siku ya Uchaguzi ukweli unapita WAJUMBE wanafanya yao.
Kulikuwa hakuna uchaguzi bali ubakaji wa demokrasia. Shame
Uchaguzi upi?Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.
Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.
Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Maendeleo hayana vyama!
La kura za kwenye mabegi?Acha kudharau zoezi halali na la Kidemokrasia Nchini
Tupo pamojaNarudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Mkuu!Uchaguzi upi?
Kama dosari gani zilijitokezaChama kikuu cha upinzani kitakuwa ni ACT Wazalendo, kwasababu kule Zanzibar, Dr. Mwinyi atawateulia Wawakilishi 5, na huku bara, japo Watanzania wamewakataa kata kata wapinzani, bila a strong oversight committees, checks and balance ya serikali Bungeni itakosekana kabisa, hivyo, tunamuombea Zitto na Lissu, wateuliwe na JPM ili kusisimua upinzani, ZZK ndio atakuwa KUB, Lissu aendelee kuwa Mnadhimu Mkuu. Mdee ataingia viti maalum Chadema, watapata kama viti 5 hivi.
Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, na hii ndio a Tanzanian Democracy is part of African Democracy, nchi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi, halafu chama kimoja kikashinda kwa 99%, na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki, determinant ya ushindi sio votes casted but votes counted, japo kulikuwa na dosari ndogo ndogo, bado JPM na CCM walikuwa washinde tuu, and if there was anything done behind the closed doors, whatever it is, its not the factor of victory but kujazia tuu kiwango cha kishindo cha asilimia za ushindi, ila ushindi wa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi Mkuu huu, mimi niliutaja tangu ile tarehe 28 October, 2015, watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!.
Tulisema humu kila kitu!.
P
Mazoea ya kuishi kwa kukariri.Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.
Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.
Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Maendeleo hayana vyama!
Dosari ni dosari ndogo ndogo tuu, haziwezi kuathiri matokeo ya jumla.Kama dosari gani zilijitokeza
Kama zipi sasa nimeuliza,Mana yake na cc huku mtaani kilasiku tunadiscus dosari za uchaguziDosari ni dosari ndogo ndogo tuu, haziwezi kuathiri matokeo ya jumla.
p
ThibitishaLa kura za kwenye mabegi?
Siyo suala la stress, ila tu kusikitishwa. Hata ccm wenye akili sawasawa wamehuzunishwa. Chaguzi zote tangu kuanza vyama vingi, zilikuwa na mapungufu makubwa, lakini angalau zinaweza kuitwa chaguzi. Huu wa Magufuli wala siyo uchaguziPanic at your own risk. Imeisha hiyooooooooooo
Sisi wengine ni watu wa mambo makubwa, hivyo kunapotokea dosari ndogo ndogo, huwa hatuzizingatii, hapa nakutajia baadhiKama zipi sasa nimeuliza,Mana yake na cc huku mtaani kilasiku tunadiscus dosari za uchaguzi
JichetueThibitisha
Viti maalum huanzia wabunge wa 5Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.
Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.
Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Maendeleo hayana vyama!