Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.

Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.

Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?

Maendeleo hayana vyama!
Walibadirisha standing orders zao na kuita 'minority'. Labda itakuwa nani kuwa kiongozi wa hiyo minority, ingawaje sifukuatilia kwa kina itakuwaje kuwaje hasa.
 
Igizo la uchaguzi sasa limefika tamati. Ngoja tuone yatakayojiri.

Tunategemea kuona Tanzania mpya chini ya magufuli na genge lake la uchaguzi bandia.
Unajue sie ambaye tumeacha kupiga kura toka zamani tuliwashanga sana mlivyokuwa mnampamba Tundu Lissu na mkajipa matumaini.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom