Tunawashauri nini Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA baada ya CCM kushinda Viti vyote vya Udiwani jana?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Je, wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara

Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥
 
Act wazalendo na ccm ni ndugu moya, hivyo wanandugu wakipigana sisi chadema hatuwezi kuingilia ugomvi wao kwn Act wazalendo kupitia kiongozi wao Zitto zubery kabwe wao katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio kipaumbele chao, wao kipaumbele chao ni kushinda chaguzi kupitia katiba hii hii na tume ya uchaguzi hii hii...kwahiyo yanayowatokea kwenye hz chaguzi ni makubaliano yao kuhakikisha ccm inaendelea kuwepo madarakani kwa ushindi wa kimchongo mchongo, chadema kipaumbele chao ni katiba mpya yenye maoni ya watanzania na tume huru ya uchaguzi...Act wazalendo na ccm wote ni wale wale tu
 
Je wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

CHADEMA wakiweka silaha zao tayari Lissu, Msigwa, Sugu, Lema, Mnyika, Heche, Mbowe, Mwambusi, Bony yai n.k lazima CCM waombe poa sn na kitawaka moto.
 
Act wazalendo na ccm ni ndugu moya, hivyo wanandugu wakipigana sisi chadema hatuwezi kuingilia ugomvi wao kwn Act wazalendo kupitia kiongozi wao Zitto zubery kabwe wao katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio kipaumbele chao, wao kipaumbele chao ni kushinda chaguzi kupitia katiba hii hii na tume ya uchaguzi hii hii...kwahiyo yanayowatokea kwenye hz chaguzi ni makubaliano yao kuhakikisha ccm inaendelea kuwepo madarakani kwa ushindi wa kimchongo mchongo, chadema kipaumbele chao ni katiba mpya yenye maoni ya watanzania na tume huru ya uchaguzi...Act wazalendo na ccm wote ni wale wale tu
Wanajuana watakaa mezani wayamalize
 
Je wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara

Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥
watumie mbinu ile ile ya kususa na kuzira ili kuepuka aibu na fedheha ya kushindwa vibaya kwa kishindo 🐒
 
Je wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara

Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥
Ndugu muunga juhudi Jo,kwani ushauriwako hasa ni upi nasii tuunge juhudi,tuendeleee kuwasemaeeni watz kwa manufaa ya wote autuisemeee chama lako chakavu🤣
 
Je wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara

Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥
chamsingi waongeze nguvu ya kupambana na mwendazake ndio suluhu la ushindi sio katiba mpya au tume huru ya uchaguzi
 
Ndiyo nakwambia sasa utaona CCM nao ni waoga CHADEMA wakikomaa lazima mwafaka utapatikana
Hakuna cha muafaka hao EU wenyewe wana maslahi yao huku, CCM anawaonjesha kidogo asali wanazuga wanapotea,,wangekua na lakufanya wangefanya kipindi cha JPM ila na wao wanapimaga upepo wa maslahi yao ishu ni kwamba wawakomalie CHADEMA wao wata gain nini? Mkono mtupu haulambwi
 
Lililo jema ni kutafuta mali kwa bidii kwaajili ya kurithisha wajukuu waje wakute maisha bora ya babu mwema haya mengine ni kwaajili Yao
 
No haki bila damu kumwagikaaa.......tulipofikia lazima needs blood bleeder
 
Back
Top Bottom