Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 621
We sio mzima Paskali....Pamoja na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu, bandiko hili bado linasimama.
Paskali
Bandiko hili limeshakufa, ni kumaanisha kuongozwa na Rais alie na jinai?? Kosa la kugushi, minimum sentensi ni miaka 7, ukijumlisha na hii, tayari ni 2024....plus, kunakipindi ambacho ukitoka jela ndio unaruhusiwa kugombea, sio hapo hapo...kimsingi...nenda katafute mganga wa kienyeji wa kihindi, japo kuhisi hizi fikra zinaweza kuwa +ve