Naunga mkono hojaMpeni uspika Mh Stephen Maselle
. U PM urudishe huko huko kusini somewhere. .good politics.
Kisa alikuwa CRDB??
Kasulu tunasimama nae. Mambo yatakaa sawaDada Joi aondolewe kabisaaa naombea dada Joi aondoke
Sifa kuu ya Mkopo Ni riba. Huu usio na Riba umetoka Saudia?Hapo Chacha , Nchemba anaupiga mwingi tunapata Mikopo bila riba
Mama tuachie Nchemba
Hahaha yani wee acha tu mkaldayo Yani tozo hazituachi salama hata sisi wabeba boksi. Million moja wanakukata lakiAmka kafanye kazi utume remittance nyumbani..C'mooon Maghayo
Sawa mkuu na wewe ni arbotion surviver.Eeeeh..hii nchi kuna vijana wa hovyo sana! Urembo wake utatumika kujadili sera za nchi na kufanyia kazi mikakati mbalimbali ya kitaifa? Blaza niwe tu muwazi, wazazi wako wangetumia condom wangetusaidia sana.