Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Waziri wa kazi,ajira pia aangalie muda wa kustaafu upunguzwe,iwe miaka 50 tu,mtu apewe chake
 
CCM njooni mupeane majibu hapa,maana si Mawaziri ,Raisi ,wabunge wote hawakuchaguliwa kwa kura harari , kwa hivyo hata wakiuwana kwa kugombea ulaji lao hilo.
 
... but this is very funny! Wewe umeshaonesha nia na kutangaza hadharani kabisa utagombea yet hutaki wenzako (ambao hata kutangaza hadharani hawajafanya hivyo) nao wawe hata na wazo la kugombea!

CCM huu utaratibu wenu "uliozoeleka" kwamba rais aliyeko madarakani anaachiwa amalize miaka yake 10 (unless God intervenes) ni mbaya sana! Hii nchi ni ya wote na kila mmoja awe na haki sawa! Mambo ya kuchapisha fomu moja ni utaratibu mbaya sana.
 
Mzuka wanajamvi!

Natuma salam zangu za dhati kabisa kwako amri jeshi mkuu na Rais wetu kipenzi.

Pole na majukumu mazito uliyonayo na changamoto za hapa na pale. Pia pole kwa zigo zito uliloachiwa kulibeba na awamu iliyopita. Pia pole kwa kero ndogo ndogo za kukera za kina ndugai na sampuli kama hizo.

Katika baraza lako jipya lijalo la mawaziri mkumbuke dada Irene Uwoya kwenye uwaziri hasa kwenye wizara ya Jinsia wanawake na watoto au pia wizara ya habari na michezo.

Airinii ataleta tija na mabadiliko makubwa Sana nchini iwapo atateuliwa.

Kwanini nasema hivi? Airinii ataipaisha nchi yetu kimataifa kwasabab ni public figure kupitia umarufu wake na goodlooks urembo. Pia ni ambitious na mchapa kazi.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa!

Arovera
 
Eeeeh..hii nchi kuna vijana wa hovyo sana! Urembo wake utatumika kujadili sera za nchi na kufanyia kazi mikakati mbalimbali ya kitaifa? Blaza niwe tu muwazi, wazazi wako wangetumia condom wangetusaidia sana.
Sawa mkuu na wewe ni arbotion surviver.

Tumeona wasomi wangapi wako kwe Baraza la mawaziri mfano wizara ya afya they just look like clowns. Muangalie wa majalalani.

Nakuhakishia hata mchiz mox, joti ama mpoki wakipewa wizara ya fedha na uchumi wataiweza na kuimudu vizuri tu na mambo kwenda.
 
Back
Top Bottom