Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Pesa ya biashara haitaji kujaa ili uanze , biashara inapaswa kuanza kidogo na kukua , hata hizo 80 simshauri atie zote kwenye biashara
Pesa ya biashara haitaji kujaa ili uanze , biashara inapaswa kuanza kidogo na kukua , ata hizo 80 simshauri atie zote kwenye biashara
 
Achana na biashara,sijui ufugaji,achana na kilimo,mazao....
Kwa 80m wekeza kwenye nyumba ya/za wapangaji na fremu(hii ni fixed asset),lenga pato/kusanyo la 1.5m kwa mwezi,nakuhakikishia huta kuja kunisahau

Jenga Rooms 20 (15 za makazi na 5 frame),uswazi room moja kila kitu inakula 3.2-3.5m
Mkuu uswqzi utapangisha room kwa tsh ngapi!?
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Kwa bahati mbaya umekwishachelewa. Ulipaswa kujipanga miaka miwili kabla ya kustaafu. Fixed deposit hailipi, ni kama mtaji mfu. Hiyo pesa inatakiwa izunguke ili kuweza kuzaa kuliko kuiacha tu Benki ambao wanaitumia kama mtaji wao. Biashara ina mizungu yake. Shangaa una nyanya nzuri sana pale sokoni lakini hupati mnunuzi Jirani yako ana nyanya wengine huziita "masala" lakini anauza kwa watengeneza chips kama tomato source na zinakwisha asubuhi tu.
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Form 6 mmemaliza mitihani , karibuni sana uraiani.
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Una hamu ya kuwa maskini
 
Kwahiyo 80 mio ni ndogo ? Kwa biashara unajua kuna watu wana import kwa 80mio ? Na wanazungusha hiyo hela ?

ama ananunua kwa supplier hapa Tz kwa 80 mio ? Hiyo hiyo kama hujaishi kwenye industry ya biashara ni ngumu kunielewa,
Huyu ni poor brain mkuu! Anaona 80m ni kidogo eti lazima ifike milioni 100?
 
Huyu ni poor brain mkuu! Anaona 80m ni kidogo eti lazima ifike milioni 100?
Kaka nilichojifunza hela yoyote ni mtaji , ikiwa muhusika karidhia na anaona inafaa kwa ajili ya kuwa msingi wa biashara yake, unasikia mtu anasema nna mio tano utasikia mtu ety haitoshi mara nna million mia ety mtu anasema haitoshi ?

Ni kiasi kipi kinatosha kuwa mtaji ?

Me nadhani woga na kujilinganisha kunatuponza sana aseeh hata mwenye MiO mia pengine alianza na ten mio au ishrin au chini ya hapo lakini nidhamu yake na kutokukata tamaa kukamfikisha alipo.
 
..........Kama wakati ulivyoajiriwa hukuwahi kufanya biashara usithubutu kuanzisha biashara sasa hivi.........
 
tenga milion tano tu, anzisha kilimo cha mpunga au mahindi ila mahindi sikushauri sana ni gharama pia losi ipo karibu labda kama upo karibu na bonde utamwagilia.

pili hyo milion 25 iliyobaki kanunue mpunga vijijn uweke store mashine za mpunga ni bure kabxa, saiv junia sie tunanunua kwa laki moja. hapo utakuwa na junia 250.

mwez wa tatu au pili mwakan utaukoboa bei itakua imechangamka.
huenda kila junia ukawa na faida ya 50,000 na zaid endapo ukivuka 3000 kwa kilo.

50M kanunue bond au share na makampun yaliyo imara uwe unapata gawio.
 
Kaka nilichojifunza hela yoyote ni mtaji , ikiwa muhusika karidhia na anaona inafaa kwa ajili ya kuwa msingi wa biashara yake, unasikia mtu anasema nna mio tano utasikia mtu ety haitoshi mara nna million mia ety mtu anasema haitoshi ?

Ni kiasi kipi kinatosha kuwa mtaji ?

Me nadhani woga na kujilinganisha kunatuponza sana aseeh hata mwenye MiO mia pengine alianza na ten mio au ishrin au chini ya hapo lakini nidhamu yake na kutokukata tamaa kukamfikisha alipo.
kweli kabxa mkuu
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Kama hujawahi fanya biashara, usijaribu kufanya biashara uzeeni! Weka hela zako UTT uwe unaishi kwa gawio. Otherwise utakuja kujuta
 
comments za huu Uzi wa Mzee Makoye zimenichekesha sana!! Nahisi JF inatakiwa kuanza ku filter na ku block baadhi ya members. Unakuta kabisa member kazi yake ni kutoa ushauri wa kijinga!! Sasa member kama huyo kweli anahitajika hapa JF? Au basi JF ianzishe forum ya comedians ili members kama hawa wawe restricted huko tu! Sio kuleta ushauri wa kipuuzi katika mijadala ya maana kama ya huyu Mzee Mstaafu Makoye.
 
Back
Top Bottom