Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Unless unapenda kufanya biashara, kama pesa hio (pensheni) inakutosheleza au unaishi according to your means wewe kula bata; Kustaafu ndio huko ni kupumzika na kufanya unachopenda sio kubadilisha kazi....

Hapo ndio linakuja suala la investmets ambazo ni low risk mfano kuweka pesa zako kwenye High Yield Savings Accounts
 
Hichi ndio kinawakuta wastaafu wengi. Nguvu zimeisha, akili imechoka alafu uanze moja na biashara. Sector ambayo imejaa kila aina ya horror unayoifikiria. Kama ni biashara basi ilitakiwa ufanye wakati uko kazini ili hata ukistaafu ni kitendo cha kuendelea tu. Sababu mara nyingi kuanza biashara yoyote ile kupoteza kila kitu ni lazima ili kujifunza na wastaafu wengi huishia wakavu namna hiyo.

Nisikutishe bure mzee, kama una mwanao mkubwa anayejitambua na unayemuamini, mpe robo ya hizo pesa afanye biashara physical(kununua na kuuza) wewe uwe msimamizi au watakuchanganya wakuibie, pesa nyingine iweke kama backup. Alafu kuwa makini na kuomba ushauri mitandaoni, wengi wanaandika tu bila kufikiria na wala sio wafanya biashara, wengi matapeli, ushauri wa biashara omba wafanya biashara unaowajua. Pia kuwa makini na biashara za kuwekeza, mitaani na hasa mitandaoni, matapeli wamejaa kila kona.

Kuna daktari amestaafu kutoka muhimbili nilimkuta anauza mayai kwenye kiduka-genge. Hivyo usitegemee vikubwa sana.
 
Chonde chonde ziache huko huko mzee wangu au kama ukizitoa huko benki kaziwekeze UTT kwani nafikiri riba yao ni nzuri,around 15%.

Kama wakati ulivyoajiriwa hukuwahi kufanya biashara usithubutu kuanzisha biashara sasa hivi.
Ukweli Sina uzoefu na biashara nilmudu kujenga nyumba ya kuishi na nyingine ya kupangisha ndo inanisaidia pamoja na pensheni ya Kila mwezi, asante Kwa ushauri
 
Hichi ndio kinawakuta wastaafu wengi. Nguvu zimeisha, akili imechoka alafu uanze moja na biashara. Sector ambayo imejaa kila aina ya horror unayoifikiria. Kama ni biashara basi ilitakiwa ufanye wakati uko kazini ili hata ukistaafu ni kitendo cha kuendelea tu. Sababu mara nyingi kuanza biashara yoyote ile kupoteza kila kitu ni lazima ili kujifunza na wastaafu wengi huishia wakavu namna hiyo.

Nisikutishe bure mzee, kama una mwanao mkubwa anayejitambua na unayemuamini, mpe robo ya hizo pesa afanye biashara physical wewe uwe msimamizi, pesa nyingine iweke kama backup. Alafu kuwa makini na kuomba ushauri mitandaoni, wengi wanaandika tu bila kufikiria na wala sio wafanya biashara, ushauri wa biashara omba wafanya biashara unaowajua. Pia kuwa makini na biashara za kuwekeza, mitaani na hasa mitandaoni, matapeli wamejaa kila kona.

Kuna daktari amestaafu kutoka muhimbili nilimkuta anauza mayai kwenye kiduka-genge. Hivyo usitegemee vikubwa sana.
Asante sana
 
Chonde chonde ziache huko huko mzee wangu au kama ukizitoa huko benki kaziwekeze UTT kwani nafikiri riba yao ni nzuri,around 15%.

Kama wakati ulivyoajiriwa hukuwahi kufanya biashara usithubutu kuanzisha biashara sasa hivi.
Nasikia kama UTT wako vizuri, ila sasa tayari ameshaweka mwaka mzima huko benki! Amefanya vizuri kuzifungia kwanza huko ili achekeche kichwa!
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Ulikuwa fani Gani mkuu,ili Tuanzie hapo,eg Afisa mauzo,kilimo,TRA,Dr nk ili nikushauri,uendane na fani yake Usije kwamba njiani,!
 
Unless unapenda kufanya biashara, kama pesa hio (pensheni) inakutosheleza au unaishi according to your means wewe kula bata; Kustaafu ndio huko ni kupumzika na kufanya unachopenda sio kubadilisha kazi....

Hapo ndio linakuja suala la investmets ambazo ni low risk mfano kuweka pesa zako kwenye High Yield Savings Accounts
Ki-sayansi tunaweza kusema, kustaafu ni sawa na ku-expire, ikiwa na maana ya kuwa nguvu yako ya uzalishaji ilishaisha, kwa hiyo ni muda wa kutumia kile ulicho kikusanya huku ukingojea mwisho wa maisha yako hapa duniani.

Kama ni mtu wa kula bata, ndio muda wa kwenda kushangaa tumbili mbugani n.k​
 
Sasa mzee makoye umeishi zaidi ya miaka 45 alafu una kitita cha zaidi ya 80M, katika mizunguko yako ya duniani mpaka leo hujaona au hujafikiria idea ya biashara ya kufanya ?? Watu si wajinga bwana unataka kutuibia idea zetu bure 😒😃😃😃
 
Back
Top Bottom