Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Unavuta shuka asubuhi?
 
Don't dare kuingia kwenye biashara, kama miaka hiyo yote hukufanya biashara achana nayo kabisa,,tumia hiyo pesa kidogo kidogo tu na tumia muda mwingi kuomba MUNGU , biashara ni complex sana kama huamini , buni biashara hata ya ten m, utapata shule nzito sana
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Invest kwenye bonds 50% ya pesa yako huna experience wala knowledge kaa china tafuta unatak kufanya biashara gan anza kidogo... Anza kujifunza daily huku hamna fixed return..
 
Don't dare kuingia kwenye biashara, kama miaka hiyo yote hukufanya biashara achana nayo kabisa,,tumia hiyo pesa kidogo kidogo tu na tumia muda mwingi kuomba MUNGU , biashara ni complex sana kama huamini , buni biashara hata ya ten m, utapata shule nzito sana
Ni kwelii anahitaji utulivu na kuwekeza kwenye usalama as bonds na kama kwel anatak kufanya biashara aanze kidogo atajua tofauti ya kaz na biashara ipoje
 
Ila serikali ni wanyonyaji sana kiinua mgongo cha 80M kwa kukutumikisha kwa miaka 32.
Halafu wabunge wanavuta kiinua mgongo cha milioni mia na ushee kwa miaka 5 tu.

Nakushauri kwa umri huo kama ulikuwa haufanyi biashara yoyote ile zaidi ya hicho kibarua chako na tayari umeshajenga na kumaliza kusomesha vijana wako achana na habari za biashara nunua gari ya kutembelea kisha kula bata.
No Reform No Election
 
Jforums kuna ma agents wa UTT kuwa makini nao mkuu hao kazi yao ni kupromote mfuko wao ili uwape pesa wakuze mitaji yao
Asipopeleka Utt ataipoteza hiyo pesa, Utt ni kwa ajili ya wastaafu.
 
Ila serikali ni wanyonyaji sana kiinua mgongo cha 80M kwa kukutumikisha kwa miaka 32.
Halafu wabunge wanavuta kiinua mgongo cha milioni mia na ushee kwa miaka 5 tu.

Nakushauri kwa umri huo kama ulikuwa haufanyi biashara yoyote ile zaidi ya hicho kibarua chako na tayari umeshajenga na kumaliza kusomesha vijana wako achana na habari za biashara nunua gari ya kutembelea kisha kula bata.
No Reform No Election
Mil 270 na ushee sio mia
 
Jamii forum ni uwanja mpana sana Kuna watu wa Kila aina, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu naendelea kusoma comments zenu, mwaka mzima nimekaa tu nyumbani sasa nataka niwe na cha kufanya asanteni sana

Ila serikali ni wanyonyaji sana kiinua mgongo cha 80M kwa kukutumikisha kwa miaka 32.
Halafu wabunge wanavuta kiinua mgongo cha milioni mia na ushee kwa miaka 5 tu.

Nakushauri kwa umri huo kama ulikuwa haufanyi biashara yoyote ile zaidi ya hicho kibarua chako na tayari umeshajenga na kumaliza kusomesha vijana wako achana na habari za biashara nunua gari ya kutembelea kisha kula bata.
No Reform No Election
Hata wafanya biashara wafanya kaz wao wanalia pia wananyonywaa kila mtu ashinde mech zake 😂😂
 
Biashara itakuua mapema ndugu.hiyo hela no ya kuinua mgongo siyo ya biashara.Nakushauri kama hujawahi kufanya biashara.basi peleka UTT.utapata angalau 8m kwa mwaka.kama 650,000 kwa mwezi.ukichanganya na pensheni yako unaweza ukawa na angalau 1.2m kwa mwezi.hizo ndiyo ufanyie kilimo kile cha kufanya mazoezi ya mwili.
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
 
Mzee wangu hongera kwa kustaafu 100 umeipata kwa miaka 36 upo tayari kuipoteza ktk biashara withini 1 yr? Kama upo tayar kutake that risk then let's us going on kukushauri. Umri wako kwa sasa hutakiwi stress utakufa mapema unatakiwa ufanye vitu soft. Gawa pesa nusu weka ktk mifuko yenye kuzalisha bila risk kubwa mfano utt,n.k then nusu tafuta eneo potential kwa kilimo na ufugaji nunua ata kama porini then anza kidgo kidgo

Kama una watoto pia wasapoti ili waeze kuinuka fasta wakopeshe.
Angalia fursa zinazokuzunguka nunua maeneo. Kama biashar haicost zaid ya 2ml invest tu ikizalisha fungua tena ingine na ingine. Enjoy life fanya mazoez kula vizuri safiri kupata hewa safi ,reflect
Mambo ya risk tuachie vijana we sasa ivi ilitakiwa uwe mtu wa kutembelea miradi yako ulio invest
 
Chukua million kumi nunua nafaka. Weka dawa. Tunza nafaka. Jifanye kama umesahau. November - angalia soko. Mwaka wa njaa huu. Tunza hii comment.
 
Navyoona makoye anataka kitu cha kuushughulisha mwili amekaa idle kwa muda mwingi baada ya kustaafu. inaelekea mwili ulishazoea mikikimikiki ya kuzunguka hapa na pale.

kifupi sio mtu wa njaa.

Kiafya kuwa idle ni hatari sana inakaribisha magonjwa na udhaifu mwingi mwili. ushauri wangu kwa kuwa hujawahi kufanya biashara yoyote basi yafaa uingie mdogomdogo tena kwa breki za punda.

Weka hela kidogo kwenye biashara unayoona utaiweza kuitazama wewe mwenyewe kwa ukaribu ila weka hela zako nyingi kwenye stocks (investment funds/bonds/hisa).

Sishauri FDR naona nyingi ni hasara tu unafaidisha wengine. unaweza kufikiria biashara ya upangishaji nyumba naona haina mambo mengi na haiitaji usimamizi sana hasa kama utawatarget middle incomes.
 
Mzee wangu hongera kwa kustaafu 100 umeipata kwa miaka 36 upo tayari kuipoteza ktk biashara withini 1 yr? Kama upo tayar kutake that risk then let's us going on kukushauri. Umri wako kwa sasa hutakiwi stress utakufa mapema unatakiwa ufanye vitu soft. Gawa pesa nusu weka ktk mifuko yenye kuzalisha bila risk kubwa mfano utt,n.k then nusu tafuta eneo potential kwa kilimo na ufugaji nunua ata kama porini then anza kidgo kidgo

Kama una watoto pia wasapoti ili waeze kuinuka fasta wakopeshe.
Angalia fursa zinazokuzunguka nunua maeneo. Kama biashar haicost zaid ya 2ml invest tu ikizalisha fungua tena ingine na ingine. Enjoy life fanya mazoez kula vizuri safiri kupata hewa safi ,reflect
Mambo ya risk tuachie vijana we sasa ivi ilitakiwa uwe mtu wa kutembelea miradi yako ulio invest
Asante kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom