Kwenye kustaaafu kuna chamgamoto nyingi sana ambazo zinaweza kukuletea msongo wa mawazo
Nakushauri fanya haya kama ukiweza
1. Usianzishe biashara ambayo itahitaji mtaji mkubwa au nusu ya hela uliyonayo na hujawahi kuifanya hiyo biashara
2. Kama unaweza fungua akaunti nyingine iwe kama fixed halafu uwe kama unajilipa mshahara ili kuweza kujikimu
Mfano unaweza fanya uwe unajilipa kwa mwezi kiasi cha tsh 800k
Kama ifuatavyo
Kila tar 15 unaingiziwa tsh 300k
Kila tar 28 unaingiziwa tsh 500k
Kwa miaka mi 5 hiyo ni tsh 48m
Inayobaki unaweza angalia nini cha kufanya
3. Unaweza nunua bond za serikali za miaka 25 ambazo zinakupa interest ya mwaka ya 15% ambapo risk yake ni almost zero
Mfano,ukiweka kiasi cha tsh 60mil kwa interest ya 15% utapata faida ya tsh 9mil kwa mwaka sawa na tsh 750k kila mwezi hiyo bila kuathiri mtaji wako ulio uweka. Hii ina maana unaweza kujilipa tsh 750k kila mwezi na mil 60 iko pale pale wakati huo umetenga tsh 20mil iliyobaki kwaajili ya biashara na shughuli zingine
4. Nikupe hii ya mwisho kabisa
Maana nikisema niandike zote hapata tosha
Nenda kajisajili na utt amis na ufungue akaunti ya bond fund ambapo unanunua vipande na kupata faida ya si chini ya asilimia 12 kwa mwaka
-gawio lake la faida ni kila mwezi, kila baada ya miezi 3, 6 au 12 kwa jinsi utakavyotaka
-pia vipande vyako ni dhamana unaweza kutumia kuchukulia mkopo bank
- na ukihitaji
Subscribed threads
pesa yako unaweza uza vipande na kuipata ndani ya muda mfupi