Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

Uko sahihi, alafu amepanda hewani, akigeuka huku na kule miluzi ni mingi
Wa kwangu juzi kuniambia BushDokta Mimi ni mzuri Sana, na ninajijua Mimi ni mzuri, Nikipita njiani kama kuna Wanaume 10, Kati Yao 9 lazima wageuke au wote 10 kabisa.

Akaonhgeza kwa kusema hata ukiniacha sijali, unarudi tu na hata usiporudi watakuja wengine. Ukinifumania I don't care nawaacha nyote mnarumbana naenda kulala kwa Mwingine.
Haya maneno yalikuwa ni ya dharau na majivuno ya hali ya juu, kwa sasa ana miaka 23, ni mzuri Sana. Nampa miaka 5 mbele maneno yake nimeyaandika kwa wino wa Moto.

Kwa uzoefu wangu wa miaka 30, wote walioniletea jeuri walirudi tena kwangu baada ya miaka 2 hadi 5 nilichowafanya na ambacho naendelea kuwafanya hadi Leo hii, na sasa hivi nimetoka kwa mmoja wao na kesho napokea Mwingine Mungu ndiye anajua
 
Kuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.

Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti.

Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali.

Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale ninapokuwa namuhitaji.

Baada ya muda akawa amebeba ujauzito, ingawa simuamini sana kama yule mtoto ni wa kwangu, ingawa yeye anasema ni wa kwangu.

Mahusiano yetu yakawa ni ya migogoro hasa pale ninaposhindwa kumtumia visalio. Na nilikuwa nafanya makusudi ili niweze kupima upendo wa kweli.

Baada ya muda kupita, kila mmoja akaendelea na maisha yake; ingawa mara moja moja tulikuwa tunawasiliana pale ambapo hasira zinakuwa zimeisha.

Hivi karibuni, alipata ajali iliyopelekea kuvunjika mguu, na kusababisha tembea yake kuwa ya kuchechemea.

Tangu ajali itokee mpaka leo hii, imepita kama miezi sita hivi; sasa leo amenipigia simu na kulalamika watu aliokuwa akiwaamini wamemtelekeza na wamepunguza ukaribu naye.

Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.

Hapa nilipo natafakari, baadaya kuona anachechemea na watu kutokuwa karibu naye, ndio ameona umuhimu wangu?

Wakuu, ebu nishaurini.​
SImple kapime dna ya mtoto kama ni wako basi mchukue huyo mwanamke mfanye mkewako alee mtoto maisha yaende ukimuweka ndani atakuheshimu sana na hatakuwa na uwezo wa kukutoroka tena kwa maana ya mapito aliyopitia.
 
Wa kwangu juzi kuniambia BushDokta Mimi ni mzuri Sana, na ninajijua Mimi ni mzuri, Nikipita njiani kama kuna Wanaume 10, Kati Yao 9 lazima wageuke au wote 10 kabisa.

Akaonhgeza kwa kusema hata ukiniacha sijali, unarudi tu na hata usiporudi watakuja wengine. Ukinifumania I don't care nawaacha nyote mnarumbana naenda kulala kwa Mwingine.
Haya maneno yalikuwa ni ya dharau na majivuno ya hali ya juu, kwa sasa ana miaka 23, ni mzuri Sana. Nampa miaka 5 mbele maneno yake nimeyaandika kwa wino wa Moto.

Kwa uzoefu wangu wa miaka 30, wote walioniletea jeuri walirudi tena kwangu baada ya miaka 2 hadi 5 nilichowafanya na ambacho naendelea kuwafanya hadi Leo hii, na sasa hivi nimetoka kwa mmoja wao na kesho napokea Mwingine Mungu ndiye anajua
Uwapi tena mahusiano ya kudumu?
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Kuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.

Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti.

Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali.

Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale ninapokuwa namuhitaji.

Baada ya muda akawa amebeba ujauzito, ingawa simuamini sana kama yule mtoto ni wa kwangu, ingawa yeye anasema ni wa kwangu.

Mahusiano yetu yakawa ni ya migogoro hasa pale ninaposhindwa kumtumia visalio. Na nilikuwa nafanya makusudi ili niweze kupima upendo wa kweli.

Baada ya muda kupita, kila mmoja akaendelea na maisha yake; ingawa mara moja moja tulikuwa tunawasiliana pale ambapo hasira zinakuwa zimeisha.

Hivi karibuni, alipata ajali iliyopelekea kuvunjika mguu, na kusababisha tembea yake kuwa ya kuchechemea.

Tangu ajali itokee mpaka leo hii, imepita kama miezi sita hivi; sasa leo amenipigia simu na kulalamika watu aliokuwa akiwaamini wamemtelekeza na wamepunguza ukaribu naye.

Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.

Hapa nilipo natafakari, baadaya kuona anachechemea na watu kutokuwa karibu naye, ndio ameona umuhimu wangu?

Wakuu, ebu nishaurini.​
Haihitaji uwe na degree ili ugundue kama hii ni CHAI.
 
Back
Top Bottom