Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

Mademu wa TZ wameandaliwa na njaa za majumbani kwao kuwa wezi

Mtu ana mume anamuubia.! Kweli.!?

Achilia mbali wapenzi na wapuuzi wengine

'Wanawake' narudia 'wanawake' Acheni kuwa Majambazi majumbani mwenu huna kwengine huo ndio mji wako.! Mbwa nyie Kuweni na akili
 
Ningetoa ushauri,

Lakini ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Wewe tayari kichwani huchomoi kwa huyo bidada umeandika uzi ili tukujaze upepo wa kumkubali.

Unajua tone ya uandishi wako tu inaonesha wazi unahitaji kurudiana naye
 
Sasa kama wewe mwenyewe umeshindwa kufanya maamuzi unategemea ushauri wa humu ndani si inaonesha dhahiri bado unampenda na muda si mrefu utamrudia
 
Kamwe mwanaume usiwe bwege wa kumuonea huruma changudoa mmoja asiye na mapenzi kwako ,maadili ,heshima na anayetumia mahusiano Kama kitega uchumi , acheni kuwa mazoba .Ninyi ndio mnaoendeleza circle ya uharibifu katika Jamii kwa kuwafaya hawa Malaya kuendelea kufanya upuuzi wakijua hakuna consequences wakijua kuna dume bwege LA kumuangushia jumba bovu akisha chakazwa huko na kuwa dumped na mahuni .Ni upuuzi .
Natamani niwazike masimps wote na wanaume mabwege hai ,kwa sababu ni cancer ndani ya jamii
Natafuta Ajira would be proud of you. 😊
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
Katika usomi wako umevumbua nini, kwa nini ufanye biashara ata mtu wa chekechea anaweza kufanya(kuuza mashamba)?

Kichwa chako kina mashina mangapi ya nywele?​
 
Mademu wa TZ wameandaliwa na njaa za majumbani kwao kuwa wezi

Mtu ana mume anamuubia.! Kweli.!?

Achilia mbali wapenzi na wapuuzi wengine

'Wanawake' narudia 'wanawake' Acheni kuwa Majambazi majumbani mwenu huna kwengine huo ndio mji wako.! Mbwa nyie Kuweni na akili
Dunia ina matapeli wengi
 
Ningetoa ushauri,

Lakini ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Wewe tayari kichwani huchomoi kwa huyo bidada umeandika uzi ili tukujaze upepo wa kumkubali.

Unajua tone ya uandishi wako tu inaonesha wazi unahitaji kurudiana naye
Nifanyieni maombi ya ukombozi nisije kutapeliwa.
 
Sasa kama wewe mwenyewe umeshindwa kufanya maamuzi unategemea ushauri wa humu ndani si inaonesha dhahiri bado unampenda na muda si mrefu utamrudia
Humu kuna magreti thinka, tutapata ushauri wa busara
 
Back
Top Bottom