Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

Kiubinadamu hii ni ngumu, ila kiimani unaweza kujitwisha majukumu yasiyo ya lazima.
Mkuu yeye alisahau imani aliweka hisia zake za kibinaadamu, ukiweka imani sana kwenye maisha utajiona wewe upo chini tu huwezi kwenda juu.

Kuna viongozi wa dini hutumia njia ya imani za wafuasi wao ili wao waishi maisha mazuri na waumini wao wakiwa na maisha duni sana.
 
Waumini wakiwa na maisha mazuri, hawatakuwa na mapepo na sadaka (mapato) yatakosekana.
 
Ata kama hakuna mahusiano tena?
Naam, kama rafiki tu. Matatizo anayopitia ni magumu kimwili na kiakili. Anahitaji sapot kifedha na hata kufarijiwa tu. Ningekushauri kwamba hiki sio kipindi cha kumuonyesha makucha.

Sio kwamba nashauri urudiane nae kimahusiano lakini, hilo ni la kwako binafsi kuamua
 
Ila ke wakiwa kwenye peak yao huwa hawaelewi ni kwa muda tu vinapita. Kuna dada mmoja nilimpenda sana kwa miaka mingi nikajaribu kila njia kuwa nae ila ananiweka karibu baada ya muda anabadilika mbaya zaidi nilifahamika hadi kwao wakijua ndio mkwe ila binti hakuwa siriaz hata kidogo kisa ex wake. Nikampotezea umepita mwaka majuzi kanicheki anasema ananipenda sana nikabaki hoi.
 
Amekufanya kuwa chaguo la pili
 
Back
Top Bottom