Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,787
- 125,073
Unaonaje ukaniokoa na mm 😎Nataka kuanza na mwanafunzi wangu huyo
Unaonaje ukaniokoa na mm 😎Nataka kuanza na mwanafunzi wangu huyo
Nitunzie goli langu, lisichakachuliwe na jiraniJomoni.......pole
Kuhudumia kiumbe kinachopumua si kazi rahisiHao wadandiaji watakushukuru kwa wema wako uliotoa kwa mtoto wao, fanya n sadaka 😎
Msyuùuu😙Nitunzie goli langu, lisichakachuliwe na jirani
Twende tukalewe muda umefikaMsyuùuu😙
Njoo hapa Chinangali Park miaka 30 ya uzee wetu...mambo ya kina 20perce...Twende tukalewe muda umefika
Ndo mana mm kama boda mtaani, namuwinda Seran ila akinipa napiga nakimbia naacha ndala 😎Wasameheni tu mkuu, wanawake wazuri wanawindwa na kila mtu kuanzia boda mtaani, maboss na wafanyakazi wenzao maofisini, kwenye biashara , huduma za umma mpaka mabilionea wa kuchovya wenye visenti vyao.
Mi nataka nije nioshe macho tu, mambo ya tamaa mbaya akaimbie ndugu zake.Njoo hapa Chinangali Park miaka 30 ya uzee wetu...mambo ya kina 20perce...
Tamaa mbaya anaimba muda huu
Tena ujumbe unakufaa huu
Hutaki ujumbe wa maana kabisa huo??Mi nataka nije nioshe macho tu, mambo ya tamaa mbaya akaimbie ndugu zake.
😂😂😂Ntamtandika vibaya mno huyu chokoraa
Jambo pekee ambalo nna uhakika nalo n ukinipa hutojutia 😎Ntamtandika vibaya mno huyu chokoraa
Hizo ndio nzuri sana, zinapunguza kisukari na presha.Hutaki ujumbe wa maana kabisa huo??
Unapenda zile nyimbo za weka mate iteleze kama nyoka pangoni?
Huku hazipo sasa kaa huko huko kitambaa cheupe Dar...Hizo ndio nzuri sana, zinapunguza kisukari na presha.
Hii huwa inawakuta wadangaji wote duniani, akishapigwa Mimba moja mbili au umri umefika at 30+ akina Uwoya , Wema ndio wanakimbiwa na Mapedejeee wote chaguo Lao linabaki kwa vijana Masimp Hohe hahe kama akina wuzo na ina janja Dogo.Kuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.
Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti.
Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali.
Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale ninapokuwa namuhitaji.
Baada ya muda akawa amebeba ujauzito, ingawa simuamini sana kama yule mtoto ni wa kwangu, ingawa yeye anasema ni wa kwangu.
Mahusiano yetu yakawa ni ya migogoro hasa pale ninaposhindwa kumtumia visalio. Na nilikuwa nafanya makusudi ili niweze kupima upendo wa kweli.
Baada ya muda kupita, kila mmoja akaendelea na maisha yake; ingawa mara moja moja tulikuwa tunawasiliana pale ambapo hasira zinakuwa zimeisha.
Hivi karibuni, alipata ajali iliyopelekea kuvunjika mguu, na kusababisha tembea yake kuwa ya kuchechemea.
Tangu ajali itokee mpaka leo hii, imepita kama miezi sita hivi; sasa leo amenipigia simu na kulalamika watu aliokuwa akiwaamini wamemtelekeza na wamepunguza ukaribu naye.
Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.
Hapa nilipo natafakari, baadaya kuona anachechemea na watu kutokuwa karibu naye, ndio ameona umuhimu wangu?
Wakuu, ebu nishaurini.
Umepiga pigo zipi kwanza? Mi nakuja kama undertakerHuku hazipo sasa kaa huko huko kitambaa cheupe Dar...