excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
Ndioooooo, wamfananisha?
ana bunduki eenh?
niambie mapema aisee!!
Ndioooooo, wamfananisha?
ana bunduki eenh?
niambie mapema aisee!!
Hana shida mzee wa watu...
niambie bana kama anayo! mi nataka nikija kwenu kwa raha zangu staki shida! mambo ya kukimbizwa na gobole!
yuko peace sana hata usijaliiii...
yuko peace sana hata usijaliiii...
ennhee!! tufanye conklushen!
Hebu muulize huyo excel anaogopa nimi wakati yeye ni mkurya?
ennhee!! tufanye conklushen!
Em toa hiyo conclusheni nimpe mzee aicheki kwanza.
kijana ongea nameless girl akupe hali yangu! punda hatishiwi mzigo!
Labda hajajua kuwa wewe ndio kiongozi wa akina mura hapa MMU, ngoja nim-PM.
mwambie mzee atupishe vijana tufanye yetu. na yeye si alipitia hii steji?
hahaaa!! nameless girl wherever you are sweetness, this man has sent an empty message in your box!
kuja hapa muongee vizuri!!............ hadharani qudadadadeki!
Labda hajajua kuwa wewe ndio kiongozi wa akina mura hapa MMU, ngoja nim-PM.
Nimerudi sasa, wapi hiyo kijana iko send me empty message!!!!
Nimerudi sasa, wapi hiyo kijana iko send me empty message!!!!