Baada ya kupotea mwanampotevu nimerudi tena MMU

Mie naona amefail tu labda kama anataka kurudia mtihani dadiiiii...

mamii mpe muda! naona yuko kainamisha kichwa, hii ni dalili ya kuwaza jinsi ya ku-restart system zake!

mpe muda...! this time akiboronga, namtwangilia mbali!
 
Sasa huo mtihani wake waisha muda gani mana nipo kwenye wakati mgumu King?
 
Back
Top Bottom