Baada ya kupotea mwanampotevu nimerudi tena MMU

Baada ya kupotea mwanampotevu nimerudi tena MMU

Mkuu unaongoza kwa kukaribisha asee. Nimejaribu kukufuata ila umeniacha mbalii. Unastahili tuzo rep power haitoshi.

Hahah...mkuu usikate tamaa mbona kukaribisha rahisi sana
 
Mkuu ni sehemu ya kusalimiana tu, kuna njia nyingi sana za kusalimiana, kifupi alikuwa anawasalimia wanaJF wote kwa ujumla na kwa bahati nzuri/mbaya jukwaa aliloangukia ni hili

Kwahiyo asikustue mkuu

So wise.Umemjibu vyema mkuu.Big Up
 
Mkuu ni sehemu ya kusalimiana tu, kuna njia nyingi sana za kusalimiana, kifupi alikuwa anawasalimia wanaJF wote kwa ujumla na kwa bahati nzuri/mbaya jukwaa aliloangukia ni hili

Kwahiyo asikustue mkuu

You are a wise man.
 
Back
Top Bottom