nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
kijana ongea nameless girl akupe hali yangu! punda hatishiwi mzigo!
Thatha kama punda hatishiwi mzigo, si ukuje uongee mwenyewe???
Last edited by a moderator:
kijana ongea nameless girl akupe hali yangu! punda hatishiwi mzigo!
Hivi awa kina mura si ndo wanaopigaga wanawake hee????
Thatha kama punda hatishiwi mzigo, si ukuje uongee mwenyewe???
Hujaiona?
mkomalie sasa mura! ukishindwa niite..
Nimesham-PM mura.
who said that....? sweetness, sema kitu nikupe mara mbili yake!
usije ukam-PM na mapanga? utakosa mlo qulaleki!
Mhhhh... af ndo nyie hata kutabasamu hamjui hee?
Eti King wa mtu hapa kuna nini?
Mbona mimi nimetabasamu, au hujaniona kwenye PM?
Nawe ni muraaaaaa?
Heeeee, kumbe pale ndo umetabasamu!!!!!
umewapenda wamura eenh? hebu elekeza mashambulizi kwa Wisest man bana! he is vere vere money giving!
Si umeona mwenyewe, tena pale kidogo tu.
Mhhhhhh, Muraaaaaa na money giving!!!! na mambo mawili yasiyoendana kabisaaa
hivi unamchukuliaje Wisest man? hebu nifowadie pm yake kwanza! lol!
afu ukitaka kulala uniambie nikuambie kitu kizuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri! nakwambia utalala huku unatabasamu!!!
hahaha huyu muraaaaa hana jipya, sioni hata akiniuliza kama natumia tigo pesa ama m pesa, ye ananichosha na miswali tuuuuu aaaaaarghhhhh....
hahaha huyu muraaaaa hana jipya, sioni hata akiniuliza kama natumia tigo pesa ama m pesa, ye ananichosha na miswali tuuuuu aaaaaarghhhhh....