Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
^^
Waooo! Nitakuandalia kuku wa kienyeji
^^
Mkuu naomba usipotee wewe kabla yangu.
^^
Waooo! Nitakuandalia kuku wa kienyeji
^^
^^
Waooo! Nitakuandalia kuku wa kienyeji
^^
Mkuu naomba usipotee wewe kabla yangu.
Mi nadhani PM yangu ni mbovu! khaaa..!
sijawahi tumiwa message na mdada hata mmmoja!!!!!!
inaumaaa!!
Sasa utapotea lini? Basi potea kesho nije...
Wivu namwoneaga mke wangu tu. Baaas.
Mkuu naomba usipotee wewe kabla yangu.
King calm down, ngoja niunde kamati ya kuhusu PM za wadada kwaajili yako.
Acha uongo unanioneaga namimi bisha.
Mi nadhani PM yangu ni mbovu! khaaa..!
sijawahi tumiwa message na mdada hata mmmoja!!!!!!
inaumaaa!!
Mura, jaribu kupotea kidogo.
wengine hatukujua hata kama umepotea.......
karibu tena jamvin
loh! nilipotea siku tatu hivi kwa makusudi, si nikasahau nikafunga sanduku la barua!
niliporudi nilikuta nimeitwa mara 200! aisee ndo nikajua kumbe nina nyumba ndogo nyingi!
ngoja nipotee tena afu niache sanduku wazi! lol!
yala weeeee
Au una wasiwasi kuwa mkeo inaweza akawa ni mmoja wa walioni-PM?
Mura jaribu kupotea kama wiki tatu au mwezi uone.
^^
Si mpaka nipotee, hivi ukipotea unaaga ee?
^^
Nimekaribia mkuu mwenzangu.
hahah wakipotea hawaagi bana, wakipata bundle ya kurudi hewani wanarudi kwa gia kubwa.