Baada ya kupotea mwanampotevu nimerudi tena MMU

Baada ya kupotea mwanampotevu nimerudi tena MMU

weee!! naona una mpango wa kumiliki possessions zangu humu! mimi ni king mswati ujue! sasa familia ikae na nani? lol!

Mswati tena! mimi ni mfalme suleman a.k.a wisest man, nani zaidi hapo?
 
Mswati tena! mimi ni mfalme suleman a.k.a wisest man, nani zaidi hapo?

kila mtu ana upande wake.. huwezi fananisha MAN U aliyepigwa sita na Man city, ukasema iko sawa na YANGA! LOH!
 
Back
Top Bottom