nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Poa kama vipi nipe Tigo yako, nikuwekee kitu.
Sitaki tigopesa ya local, ngoja niende kwa Excel nikachukue pounds lol....
Poa kama vipi nipe Tigo yako, nikuwekee kitu.
hivi nikikutumia kwa western union money transfer utapokea mzigo huo wa pounds na dollars kwa uharaka???
unajua siko Tanzania mamii!
sasa tuhamie chobis kabla Asprin hajaharibu mambo!
unajua i like safety and security eenh! lazima ukatoe mzigo ukiwa na msafara wa tdi kama 10 hivi!
Naona wewe ndo tunaendana sana kuliko huyu wa tigopesa....
Mi mbahili.
Ndo hilo tatizo sasa.... sijui utalisolve vipi sasa hilo tatizo...
Ndo hilo tatizo sasa.... sijui utalisolve vipi sasa hilo tatizo...
Kwa kweli hata mimi sijui nitali-solve vp.
Dah! umeamkaje mura weito?
Nimeumia jinsi Heaven on Earth alivyokudiss anyway sio kosa lake ni utashi tu
mbua nde weito!!!
umefika wapi na mtoto mzuri yule? au ulimkimbia bana?
Ndo kwanza tunavutana kwenye maswala ya ubahiri, huyu muraaaa mwenzako sijui vipi...
Njoo nikusaidie kulisolve mwaegooo
mbua nde weito!!!
umefika wapi na mtoto mzuri yule? au ulimkimbia bana?
unajua maana ya kudiss sista
aisee huyu jamaa sasa kazidi! unataka kusema kakushindisha njaa? qulaleki!
ngoja niwashe jet nije mamii!