Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Sasa mtu wa kukaa ananunanuna,hilo zoezi lenyewe litakuwepo kweli? Na huenda baada ya kuona hivyo,jama ameamua tu ajue yuko mwenyewe.
Mwanamke hata anune mchana kutwa, akishavua nguo kununa kote kunaisha. Ukiwahi kukojoa kabla yake ndio ataanza kukusemesha, lkn ukimuwahisha kukojoa, fasta tu akishamaliza kukufanyia usafi utamsikia anakoroma tartiiibu na mkiamka kesho bifu limeisha
 
Ni kuvumilia mkuu. Mimi tangu jana nina homa kali, asubuhi nimeamka nipo hovyo nikaomba wife anitengenezee tangawizi aise akaanza kurap huoni nafanya usafi! Yaani nyumba hii Kila kitu Mimi! Mtoto akaomba maji akaambiwa Kwa kufoka kanywe bombani!

Unajua usipokua mvumilivu ni unavunja mtoto wa watu.

Nikainuka nimempa mtoto maji nikajitengenezea tangawizi yangu, jioni hii yupo kawaida anaongea vizuri
Huyo mkeo ana matatizo. Hajui afya ya mtu ni kitu muhimu kuliko chochote. Khaaa, kazi unayo. Wengine tuko proud kuwahudumia wapenzi wetu especially wakiwa wanapitia changamoto.
 
Mwanamke hata anune mchana kutwa, akishavua nguo kununa kote kunaisha. Ukiwahi kukojoa kabla yake ndio ataanza kukusemesha, lkn ukimuwahisha kukojoa, fasta tu akishamaliza kukufanyia usafi utamsikia anakoroma tartiiibu na mkiamka kesho bifu limeisha
Sasa hapo si unalea uvundo?! Ukibahatika kajifanya anajua kununa na kukupanda kichwani? Unatafuta hata kigest cha bei poa,unakua unaenda kulala huko. Kama mna watoto,unakuja unawasalimia,tena unawazidishia mapenzi kabisa. Unachukua begi lako, linabaki kujiuliza hapa kuna nini. Mashoga wakiita au kupiga simu,linaanza kuimba "Nimeachwa mimi sitaki maswali". Likiomba msamaha,mara njaa,mara bili ya umeme,unafanya mpango linarudisha gharama zako,unahamia chumba cha wageni,na unafunga.
 
Sasa hapo si unalea uvundo?! Ukibahatika kajifanya anajua kununa na kukupanda kichwani? Unatafuta hata kigest cha bei poa,unakua unenda kulala huko. Kama mna watoto,unakuja unawasalimia,tena unawazidishia mapenzi kabisa. Unachukua begi lako, linabaki kujiuliza hapa kuna nini. Mashoga wakiita au kupiga simu,linaanza kuimba "Nimeachwa mimi sitaki maswali". Likiomba msamaha,mara njaa,mara bili ya umeme,unafanya mpango linarudisha gharama zako,unahamia chumba cha wageni,na unafunga.
Huo Ni ukatili. Hawa viumbe mbona rahisi tu kuwatuliza...
 
Ni kuvumilia mkuu. Mimi tangu jana nina homa kali, asubuhi nimeamka nipo hovyo nikaomba wife anitengenezee tangawizi aise akaanza kurap huoni nafanya usafi! Yaani nyumba hii Kila kitu Mimi! Mtoto akaomba maji akaambiwa Kwa kufoka kanywe bombani!

Unajua usipokua mvumilivu ni unavunja mtoto wa watu.

Nikainuka nimempa mtoto maji nikajitengenezea tangawizi yangu, jioni hii yupo kawaida anaongea vizuri
huenda na yeye akiugua humthamini...wanawake tuna asili ya visasi...pole sana
 
kama kaka mkubwa Mshana Jr kasena na katoa link mimi ni nani nitie neno badala ya kusoma Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano. shukran mkuu
 
Umuofia kwenu!!

Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;

1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.

"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."

"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah

2. Nimepumzika kushuhudia mabega na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.

3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.

4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.

5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.

6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.

Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?

Ndoa..........mh!
Mbna Kama umemrudisha kwa ishu ndogo sana
 
Wanawake wana mambo sana, kuna siku kwenye daladala mama mmoja akapiga simu alikuwa anaongea na house girl nadhani, akamuuliza baba kakupata sh ngapi ya matumizi....akaendelea basi sawa tumia elfu saba tu hyo elfu tatu weka pale tunapowekaga. Nilichoka na kuchoka mke anashirikiana na house girl kula ganchi kwa mumewe.
Mama Yuko sahih yule Ni vzr kuweka akiba kwa gharama yoyote
 
Huyo akirudi jiandae kupinduliwa, hakika huko alipoenda ameenda kujanzwa sumu kali na hatari sana kuhusu wewe.

Lazima watamuambia ulimuondoa ili uwe huru na may..laaYaa zako
 
Malezi mabovu , mmomonyoko wa maadili na utovu wa nidhamu hasa kwa wanawake ni chanzo kikubwa cha ndoa kuvunjika na kuharibu mahusiano .
Zamani ndoa zilidumu kwa sababu moja tu : Nidhamu ,maadili na malezi thabiti , mwanamke alifunzwa na kuelewa namna ya kuishi kama mwanamke na mama ndani ya familia .
 
Siku hizi huwezi hata tofautisha mwanamke chokoraa au changudoa wa mtaani na mwanamke ambaye sio
Na hii inaanzia kwenye familia , mabinti wanalelewa kwa njia za kipuuzi sana na kujengewa msingi mbovu ambao ndio huo huo unakuja kuwa tatizo kubwa katika ndoa na kuendeleza tatizo ndani ya jamii
 
Back
Top Bottom