DR. WA AFYA YA MAMA NA WATOTO WA HOSPITALI KUBWA MJINI HAPA AMEVUNJA NDOA YANGU BAADA YA KUMJAZA MIMBA MKE WANGU

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,992
10,497
nilimpeleka mke wangu kwenye hospitali moja kubwa hapa mjini kwa ajili ya kujifungua.
bahati mbaya dr. aliemtibia aliongezea ufundi kwa kumtamani mke wangu na hatimae alifanikiwa kumrubuni na kufanya nae tendo la ndoa. kilichofatia ni kumjaza mimba nyingine baada ya miezi minane.
nimefatilia kwa ukaribu ni baada ya kuona hali ya mtoto wetu aliyemzaa miezi 8 iliyopita ikidhoofika na baafa ya uchunguzi nikagundua mke wangu amepata ujauzito ambao mpaka nimegundua ni zaid ya miezi mi4 imeshapita. nilipom'bana aligoma kunieleza ukweli. lkn niliendelea kuchunguza kiundani zaidi hatimae nikagundua mazito hayo.
je kiafya hii mimba haina madhara kwa kadri anavoendelea kumnyonyesha mtoto wetu.?
Je huyu Dr. aliyefanya unyama huu anastahili kuendelea kuwa dr. maana nimegundua amemwambia mke wangu asishiriki tendo la ndoa mimi mume wake kwa kisingizio ntamuharibu kiumbe chao kijacho. wakati yeye huyohyo dr. alisababisha mtoto wetu kuugua kwa muda baada ya kuathirika kutokana na hali ya mama kubeba mimba nyingine.
mpaka naongea hapa bado siku chache mke wangu ajifungue mtoto wa dr. mharibifu.
nini nifanye juu ya Dr. huyu aliyenivunjia ndoa na familia yangu kwa mana hivi navoongea nimesha mtaliki mke wangu kutokana na mke wangu kukiri kuwa na mahusiano na Dr.
NDOA YETU KWA MPAKA MUDA HUU NDIO INGEKUWA INAINGIA MWAKA WA TATU.
NAOMBA USHAURI WENU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole sana kwa unayoyapitia.. kiukweli ni mazito sana na yanaweza yakaharibu mustakali wa Maisha yako, mkeo, daktari na familia zenu kwa ujumla.. Binafsi nashauri yafuatayo
1. Mkeo huna sababu ya kumrudia, believe me, ile trust uliyokuwa nayo kabla hutaipata tena… HIVYO ANAWEZA AKAFANYA JAMBO DOGO TU, AU AKAKUJIBU JAMBO FULANI (mfano, wewe siyo lijali ndo maana nikaamua kuza na daktari)… HAPO UTAUWA NA MWISHO UISHIE JELA
2. Kama unaweza ukakusanya ushahidi wa daktari kuyafanya hayo, mshitaki tu. Usikute keshafanya hayo kwa wengine wengi
3. Tafuta namna ya kulea watoto wako.
 
Inaonekana Ulikua mzembe sana kuwajibika kwake dat so umechapiwa lkn na wewe tafuta mkewe hata kwa Ndagu umchapie kulalamika humu hakuwezi kukusaidia chochote zaid ya kutupasha tu habari kwamba ulichapiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilimpeleka mke wangu kwenye hospitali moja kubwa hapa mjini kwa ajili ya kujifungua.
bahati mbaya dr. aliemtibia aliongezea ufundi kwa kumtamani mke wangu na hatimae alifanikiwa kumrubuni na kufanya nae tendo la ndoa. kilichofatia ni kumjaza mimba nyingine baada ya miezi minane.
nimefatilia kwa ukaribu ni baada ya kuona hali ya mtoto wetu aliyemzaa miezi 8 iliyopita ikidhoofika na baafa ya uchunguzi nikagundua mke wangu amepata ujauzito ambao mpaka nimegundua ni zaid ya miezi mi4 imeshapita. nilipom'bana aligoma kunieleza ukweli. lkn niliendelea kuchunguza kiundani zaidi hatimae nikagundua mazito hayo.
je kiafya hii mimba haina madhara kwa kadri anavoendelea kumnyonyesha mtoto wetu.?
Je huyu Dr. aliyefanya unyama huu anastahili kuendelea kuwa dr. maana nimegundua amemwambia mke wangu asishiriki tendo la ndoa mimi mume wake kwa kisingizio ntamuharibu kiumbe chao kijacho. wakati yeye huyohyo dr. alisababisha mtoto wetu kuugua kwa muda baada ya kuathirika kutokana na hali ya mama kubeba mimba nyingine.
mpaka naongea hapa bado siku chache mke wangu ajifungue mtoto wa dr. mharibifu.
nini nifanye juu ya Dr. huyu aliyenivunjia ndoa na familia yangu kwa mana hivi navoongea nimesha mtaliki mke wangu kutokana na mke wangu kukiri kuwa na mahusiano na Dr.
NDOA YETU KWA MPAKA MUDA HUU NDIO INGEKUWA INAINGIA MWAKA WA TATU.
NAOMBA USHAURI WENU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya maisha ukiwa fala sana hadi mafala watakuonea..

Ingekua ni mimi ningemalizana na huyo doctor kwa namna yoyote ya ukatiri
 
mkuu yani haya mawazo yako yapo kichwani mwangu sana tu ila staki kukurupuka kama jiwe ntaharibu mambo nahitaji ushauri uliyosahihi utakao weza kunipatiasuluhisho.
huyu Dr. sina shida nae najua wapi pa kumshughulikia maana utam aliokuwa anaupata kwa mke wangu ndio utakuwa uchungu wake mara 1000.
nauhakika asilimia100. labda ajinyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile umeishampatia talaka, ya nini tena kutafuta ushauri huku? Huo uamuzi wako ndio sahihi na naamini ulifunga ndoa ya wake wengi pia!
 
Na kama Dr unajua pa kumpata iweje usijue alipo ex-mkeo? na Zaidi unataka nini kwa mtalaka wako? Afya ya mwanao una wasiwasi gani nao? yupo kwa Dr na *****, tulia kaka
 
mkuu yani haya mawazo yako yapo kichwani mwangu sana tu ila staki kukurupuka kama jiwe ntaharibu mambo nahitaji ushauri uliyosahihi utakao weza kunipatiasuluhisho.
huyu Dr. sina shida nae najua wapi pa kumshughulikia maana utam aliokuwa anaupata kwa mke wangu ndio utakuwa uchungu wake mara 1000.
nauhakika asilimia100. labda ajinyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tafuta namna ya kuhakikisha watoto wako wanaishi sehemu salama iwe kwa mama.
Au oa mwanamke mwingine unayezani anaweza kuishi na watoto wako pasipo kuwanyanyasa..
Mke wako hata ukimuachia mtoto hawezi kumnyonyesha maana ana mimba nyingine atazidi kumharibu mtoto.

Watoto wakiwa sehemu salama,hakikisha unapata mwanamke mwingine ataekuwa tulizo la moyo wako.

Moyo wako ukisha tulia rudi kwa huyo daktari mfanyie kitu murua kabisa ili iwe fundisho kwa wanaume waseeeeeeeenge kama huyo daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa wakati umeshatoa taraka, unataka ushauri gani sasa!! We piga kimya mh dr aendelee kula vyombo, ukisusa.....
 
Back
Top Bottom