Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ungejibu hoja kamandaHuu ujinga sijaulewa! Gwari ni nini? Why mada zako zote ni za Mbowe? Seems the Guy amechukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yako! He is a free man!
Kamanda weka hoja yako vizuri tukujibu usiwe na shaka! Kuwa specific tuendeleze mjadala!Ungejibu hoja kamanda
Uzi wako hauna hoja Ndugu..Ungejibu hoja kamanda
Hata Mimi namshangaa Wakudadavua. Akiwa anakula ni... Mbowe/ CDM, akilala ni Mbowe/CDM, akiamka ni Mbowe/CDM, akitembea ni Mbowe CDM!. Kama unampenda hivyo so akuoe tu!Ndugu zangu,
Kada Mbowe sasa kupitia kihunzi kingine kesho jijini Mwanza baada ya gwaride na hafla ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba 2019.
Baada ya shamrashamra hizo atakuwa kwenye usaili utakaoongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole, Matokeo ya usaili huu ndio idhini ya mwisho kabla ya kwenda kwenye kupigiwa kura za ndio au hapana.
Kwa haraka haraka maswali yatajikita kwenye maeneo yafuatayo; utekelezaji wa Chadema kwa miaka mitano iliyopita,mikakati ya Chadema miaka mitano ijayo.
Ukiangalia juu juu unaweza kufikiri ni maswali rahisi lakini vipengele vidogo vidogo huenda vikaleta vigugumizi.
Yote kwa yote tunamtakia mafanikio kwani hadi sasa yeye ndiye mwenye uchungu na chama kuliko mwingine yeyote na huenda hili likambeba.
Tusubiri matokeo ya usaili kamanda,dua zenu muhimu.Uzi wako hauna hoja Ndugu..
Hakuna la kujibu hapo.
Mkuu Wakudadavua, kipindi hiki cha kusheherekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Ingekuwa vyema ukashusha nondo nyingine zenye kuthamini waasisi wa Taifa letu, changamoto tunazozipitia kama taifa na hata "the way forward" ili kuleta mapinduzi ya kweli ya kijamii na kiuchumi. Hizi habari Mh. Mbowe kutokana na ukongwe wako ifike mahali uwe unazileta kwa uchache mno, tena pale zinapokuwa "worth enough to share at this platform"Ndugu zangu,
Kada Mbowe sasa kupitia kihunzi kingine kesho jijini Mwanza baada ya gwaride na hafla ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba 2019.
Baada ya shamrashamra hizo atakuwa kwenye usaili utakaoongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole, Matokeo ya usaili huu ndio idhini ya mwisho kabla ya kwenda kwenye kupigiwa kura za ndio au hapana.
Kwa haraka haraka maswali yatajikita kwenye maeneo yafuatayo; utekelezaji wa Chadema kwa miaka mitano iliyopita,mikakati ya Chadema miaka mitano ijayo.
Ukiangalia juu juu unaweza kufikiri ni maswali rahisi lakini vipengele vidogo vidogo huenda vikaleta vigugumizi.
Yote kwa yote tunamtakia mafanikio kwani hadi sasa yeye ndiye mwenye uchungu na chama kuliko mwingine yeyote na huenda hili likambeba.
Mkuu Wakudadavua, kipindi hiki cha kusheherekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Ingekuwa vyema ukashusha nondo nyingine zenye kuthamini waasisi wa Taifa letu, changamoto tunazozipitia kama taifa na hata "the way forward" ili kuleta mapinduzi ya kweli ya kijamii na kiuchumi. Hizi habari Mh. Mbowe kutokana na ukongwe wako ifike mahali uwe unazileta kwa uchache mno, tena pale zinapokuwa "worth enough to share at this platform"
Hii nayo inaendelea,kesho ntaleta hoja kuntu kuikidhi kiu yakoMkuu Wakudadavua, kipindi hiki cha kusheherekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Ingekuwa vyema ukashusha nondo nyingine zenye kuthamini waasisi wa Taifa letu, changamoto tunazozipitia kama taifa na hata "the way forward" ili kuleta mapinduzi ya kweli ya kijamii na kiuchumi. Hizi habari Mh. Mbowe kutokana na ukongwe wako ifike mahali uwe unazileta kwa uchache mno, tena pale zinapokuwa "worth enough to share at this platform"
Ungejibu hoja kamanda
Hivi kwanini wao Kama watanzania watangaze kuhudhuria Sherehe za maadhimisho ya kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi yao?Kwanini MaCCM roho imewauma sana Chadema kutangaza watahudhuria sherehe za Uhuru????
Jikite kwenye hojaUkiwa unakuja na hizi thread zako pale juu andika 'PUMBA' ili wengine tusisumbuke kusoma.
Huyo mtu ana matatizo ya akili unashinda siku nzima unamzungumzia mbowe ,vitu anavyozungumza pumba tu kweli ukinunuliwa simu lazima uposti utakachoambiwa na mwenye simuHuu ujinga sijaulewa! Gwari ni nini? Why mada zako zote ni za Mbowe? Seems the Guy amechukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yako! He is a free man!
Unakera mkuu hata sisi wa CCM wenzio unatukera unampa umaarufu Mbowe bila sababuAcha udikteta wa kupangia wengine hoja za kutoa, jikite kwenye hoja.