Baada ya gwaride na hafla 9 Disemba, 2019 Mbowe kufanyiwa usaili na viongozi wa CCM

Natamani swari hili angeulizwa pia mbowe. Je chadema nichama cha biashara au cha siasa. 2. Je ndani yachadema ninani mwenye hisa nyingi? Na 3. Nikuhusu msemo anaopenda kuutumia ya kuwa sumu haionjwi kwa ulimi maana yake ni nini?

Then majibu yake yanakupa barabara, siasa bora, haki na demokrasia au
 
A
Huyo mtu ana matatizo ya akili unashinda siku nzima unamzungumzia mbowe ,vitu anavyozungumza pumba tu kweli ukinunuliwa simu lazima uposti utakachoambiwa na mwenye simu
tatizo la kulala nje kusubiria sherehe za uhuru hapo furahisha ndizo zimemvuruga zaidi bongo... huenda ile homa ipandayo kwenye ubongo imeanza kazi yake...
 
Ndugu zangu,

Kada Mbowe sasa kupitia kihunzi kingine kesho jijini Mwanza baada ya gwaride na hafla ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba 2019.

Baada ya shamrashamra hizo atakuwa kwenye usaili utakaoongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole, Matokeo ya usaili huu ndio idhini ya mwisho kabla ya kwenda kwenye kupigiwa kura za ndio au hapana.

Kwa haraka haraka maswali yatajikita kwenye maeneo yafuatayo; utekelezaji wa Chadema kwa miaka mitano iliyopita,mikakati ya Chadema miaka mitano ijayo.

Ukiangalia juu juu unaweza kufikiri ni maswali rahisi lakini vipengele vidogo vidogo huenda vikaleta vigugumizi.

Yote kwa yote tunamtakia mafanikio kwani hadi sasa yeye ndiye mwenye uchungu na chama kuliko mwingine yeyote na huenda hili likambeba.
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, nimekuvulia kofia!. Kumbe ni kweli, maana amepangwa pale pale kwa ajili ya usaili.

Happy Independence Day 58View attachment 1286194
P
 
Kwanini MaCCM roho imewauma sana Chadema kutangaza watahudhuria sherehe za Uhuru????
hahahaa jomba umevurugwa..wwnaolia ni ccm au chadema wenyewe wale.wafia chama na wengine wa upinzani kama cuf , act wazalendo..umechunguza au umekurupuka.tu kama mwizi
 
Back
Top Bottom