Maswali yanayoulizwa kwenye usaili wa kazi na Maana zake

thanks again and have you

JF-Expert Member
May 11, 2023
230
423
Kujiandaa kwenye usaili ni kazi nzito kwa watafutaji wengi wa ajira,Yaani unaanzia wapi?unatazamia vipi maswali anayokuuliza mwajiri?

Yafuatano ni orodha ya maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara kwenye usaili na maana yao;

1. Tupe maelezo mafupi kuhusu wewe?
Hapa,mwajiri hataki kujua kuhusu Maisha yako binafsi,familia yako au unachopenda, anataka umueleze kwa ufupi kuhusu kazi ulizofanya,ulifikaje hapa na unataka kufika wapi.kwa hili andaa maelezo ya kazi ulizofanya isiyozidi sekunde 30 na jinsi gani kazi hizi zimekuandaa kwa nafasi hii.

2. Kwanini tukuajiri?
Kama unataka kubaki kwenye fikra za mwajiri wako zaidi ya wengine, usiwape orodha ya sifa zako, mwajiri anazijua kupitia wasifu wako, badala yake waambie utawasaidiaje kutatua matatizo na changamoto zao, kutoajibu kamilifu hapa,waeleze jinsi gani utawasaidia wao badala ya jinsi gani watakusaidia wewe.

3. Sifa yako kubwa ni nini?
Hii ni nafasi yako kueleza sifa uliyonayo ambayo unajua ni muhimu kwa kampuni hiyo na nafasi hiyo unayoitaka. Lakini usifanye kosa la kusema "Mimi ni hodari kwa kuwasiliana. Badala yake toa maelezo kwa kuhadithia.

4. Upungufu wako mkubwa ni nini?
Hapa waajiri wanataka kuona Kama unajijua kama unaweza kukubali kwamba una mapungufu na zaidi ya hapo, kama uko tayari kufanya kazi, kwa hiyo fikiria pungufu ambalo halina umuhimu mkubwa kwa kazi hiyo halafu ongelea hatua ulizozichukua au utakazochukua kijiboresha hapo.usiseme kwamba huna pungufu lolote. Kila mtu ana pungufu au mapungufu.

5. Kwanini unataka kufanya kazi hapa?
Hili swali pia halihusu jinsi gani kampuni itakusaidia bali jinsi gani utakua faida kwao,utafiti utakaokuwa umeufanya ulivyokua unaandaa wasifu na barua ya kuomba kazi itakusaidia hapa.fikiria jinsi gani nafasi hiyo unayoitaka itasaidia kampuni na kwanini una nia ya kufanya kazi hapo waajiri wanatafuta watu wenye hamu ya kufanya kazi kwao na sio kwamba mtu anayetafuta ajira tu.wanatafuta watu wenye shauku na mawazo ,huu ni muda wakuonyesha mawazo yako.

6. Kwanini uliacha kazi ulipokua?
Usimseme vibaya mwajiri wala wafanyakazi wako wazamani ,Badala yake sema tu kwamba unatafuta "changamoto mpya ya kikazi"ila eleza zaidi kwa kuwaambia jinsi gani kazi hii itakupa changamoto ulizokosa kwenye kazi uliyoacha.

7. Unatarajia kupata nini kutokana na kufanya kazi hapa?

Ongelea unachotamani kutimiza ila kuwa mkweli.pia usiongee kwa ujumla.chagua kitu maalumu ambacho ni muhimu kwa kampuni halafu lenga hapohapo.lakini uwe wazi kwq kusema itachukua muda kujifunza zaidi kuhusu kampuni ili kufanikiwa zaidi.

8. Unatarajia mshahara kiasi gani?
Hakikisha unafanya utafiti juu ya viwango vya mshahara kwa nafasi hiyo na kwamba umshafikiria hili. Ingia kwenye viwango viwili, ya chini iwe unayoweza kukubali na ya juu iwe unayopenda,usipojiandaa na ukajaribu kuhisia, unaweza kuishia kujionea.

9. Baada ya miaka mitano unataka uwe umefikia wapi?
Mwajiri atakuuliza hili swali kujua kama unatafuta ajira tu kupata mshahara au kama kweli unataka hii kazi kwa sababu umeipenda na inaendana na malengo ya kazi,Kwa hiyo kwa kuwa wengi wetu hatujui kwa uhakika wapi tutakapofikia baada ya miaka mitano ,jaribu kufikiria hilo.

10. Una maswali yoyote ya kutuuliza?
Mwishoni mwa usaili ni kawaida kwa mwajiri kuuliza kama una maswali kwao.ukipewa nafasi hii usiulize mshahara na faida zingine ,Badala yake uliza maadili ya kampuni, aina ya uongozi, wafanyakazi wenzako au chochote ambacho hukuelewa kuhusu kazi hiyo.

Acknowledgemet (Jafar Juma)

Next time: Mambo ya kufanya ili kuongezewa mshahara.
 
Kujiandaa kwenye usaili ni kazi nzito kwa watafutaji wengi wa ajira,Yaani unaanzia wapi?unatazamia vipi maswali anayokuuliza mwajiri?
Yafuatano ni orodha ya maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara kwenye usaili na maana yao;

1.Tupe maelezo mafupi kuhusu wewe?
Hapa,mwajiri hataki kujua kuhusu Maisha yako binafsi,familia yako au unachopenda ,anataka umueleze kwa ufupi kuhusu kazi ulizofanya,ulifikaje hapa na unataka kufika wapi.kwa hili andaa maelezo ya kazi ulizofanya isiyozidi sekunde 30 na jinsi gani kazi hizi zimekuandaa kwa nafasi hii.

2.kwa nini tukuajiri?
Kama unataka kubaki kwenye fikra za mwajiri wako zaidi ya wengine ,usiwape orodha ya sifa Zako,mwajiri anazijua kupitia wasifu wako,Badala yake waambie utawasaidiaje kutatua matatizo na changamoto zao,kutoajibu kamilifu hapa,waeleze jinsi gani utawasaidia wao badala ya jinsi gani watakusaidia wewe.

3.Sifa yako kubwa ni nini?
Hii ni nafasi yako kueleza sifa uliyonayo ambayo unajua ni muhimu kwa kampuni hiyo na nafasi hiyo unayoitaka .Lakini usifanye kosa la kusema "Mimi ni hodari kwa kuwasiliana,Badala yake toa maelezo kwa kuhadithia.

4.upungufu wako mkubwa ni nini?
Hapa waajiri wanataka kuona Kama unajijua ,Kama unaweza kukubali kwamba una mapungufu na zaidi ya hapo,Kama uko tayari kufanya kazi ,kwa hiyo fikiria pungufu ambalo halina umuhimu mkubwa kwa kazi hiyo halafu ongelea hatua ulizozichukua au utakazochukua kijiboresha hapo.usiseme kwamba huna pungufu lolote ,Kila mtu ana pungufu au mapungufu.

5.kwa nini unataka kufanya kazi hapa?
Hili swali pia halihusu jinsi gani kampuni itakusaidia bali jinsi gani utakua faida kwao,utafiti utakaokuwa umeufanya ulivyokua unaandaa wasifu na barua ya kuomba kazi itakusaidia hapa.fikiria jinsi gani nafasi hiyo unayoitaka itasaidia kampuni na kwanini una nia ya kufanya kazi hapo ,Waajiri wanatafuta watu wenye hamu ya kufanya kazi kwao na sio kwamba mtu anayetafuta ajira tu.wanatafuta watu wenye shauku na mawazo ,huu ni muda wakuonyesha mawazo yako.

6.kwanini uliacha kazi ulipokua?
Usimseme vibaya mwajiri wala wafanyakazi wako wazamani ,Badala yake sema tu kwamba unatafuta "changamoto mpya ya kikazi"ila eleza zaidi kwa kuwaambia jinsi gani kazi hii itakupa changamoto ulizokosa kwenye kazi uliyoacha

7.unatarajia kupata nini kutokana na kufanya kazi hapa?
Ongelea unachotamani kutimiza ila kuwa mkweli.pia usiongee kwa ujumla.chagua kitu maalumu ambacho ni muhimu kwa kampuni halafu lenga hapohapo.lakini uwe wazi kwq kusema itachukua muda kujifunza zaidi kuhusu kampuni ili kufanikiwa zaidi.

8.unatarajia mshahara kiasi gani?
Hakikisha unafanya utafiti juu ya viwango vya mshahara kwa nafasi hiyo na kwamba umshafikiria hili.ingia kwenye viwango viwili ,ya chini iwe unayoweza kukubali na ya juu iwe unayopenda,usipojiandaa na ukajaribu kuhisia ,unaweza kuishia kujionea.

9.Baada ya miaka mitano unataka uwe umefikia wapi?
Mwajiri atakuuliza hili swali kujua Kama unatafuta ajira tu kupata mshahara au Kama kweli unataka hii kazi kwa sababu umeipenda na inaendana na malengo ya kazi,Kwa hiyo kwa kuwa wengi wetu hatujui kwa uhakika wapi tutakapofikia baada ya miaka mitano ,jaribu kufikiria hilo.

10.Una maswali yoyote ya kutuuliza?
Mwishoni mwa usaili,ni kawaida kwa mwajiri kuuliza Kama una maswali kwao.ukipewa nafasi hii ,usiulize mshahara na faida zingine ,Badala yake uliza maadili ya kampuni,aina ya uongozi, wafanyakazi wenzako au chochote ambacho hukuelewa kuhusu kazi hiyo.

Acknowledgemet (Jafar Juma)

Next time;Mambo ya kufanya ili kuongezewa mshahara.
Moto unawaka
 
Interview nyingi za kingereza.
 
Uzi wa mwaka, Akhsante sana
 
Mimi kwenye usaili nisingepita naona ningejibu Tu kama swali lilivo mfano wewe ni Nani Mimi ni Delly. full sto 🥱
 
Kwenye interview yeyote usiseme ukweli. Sema uongo unaotakiwa kuwa supported na documents.
Pia nobody is interested in your weakness. Don't ever mention your wekness, danganya na macho makavu huku ukiwa supported na nyaraka.
Ukiulizwa kama una swali, sema ndiyo.
"Malengo ya hii kampuni ni yapi? Long term na Short term na mimi mnataka nicheze nafasi gani?"
 
Unafatilia magazeti..?
Kipindi gani unakipenda TBC FM..?
Maswali ya kipumbavu haya. Naelewa lengo lao ni nini?
Je huyu mtu ni mfuatiliaji wa mambo yanavyoendelea duniani, au limekaa kama Boga.
But ni namna ya kipumbavu kuuliza hivyo, mitandao ya kijamii imechukua nafasi ya hivyo vitu kwa sasa.

Kama kuna watu huwa mnakuwa kwenye panel, basi acheni huu Ujinga na udwanzi.
 
Wana mambo ya hovyo sana.
Maswali ambayo hata hayana uhusiano na sehemu husika..
 
Back
Top Bottom