Baada ya gwaride na hafla 9 Disemba, 2019 Mbowe kufanyiwa usaili na viongozi wa CCM

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Kada Mbowe sasa kupitia kihunzi kingine kesho jijini Mwanza baada ya gwaride na hafla ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba 2019.

Baada ya shamrashamra hizo atakuwa kwenye usaili utakaoongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole, Matokeo ya usaili huu ndio idhini ya mwisho kabla ya kwenda kwenye kupigiwa kura za ndio au hapana.

Kwa haraka haraka maswali yatajikita kwenye maeneo yafuatayo; utekelezaji wa Chadema kwa miaka mitano iliyopita,mikakati ya Chadema miaka mitano ijayo.

Ukiangalia juu juu unaweza kufikiri ni maswali rahisi lakini vipengele vidogo vidogo huenda vikaleta vigugumizi.

Yote kwa yote tunamtakia mafanikio kwani hadi sasa yeye ndiye mwenye uchungu na chama kuliko mwingine yeyote na huenda hili likambeba.
 
Hata

Hata Mimi namshangaa Wakudadavua. Akiwa anakula ni... Mbowe/ CDM, akilala ni Mbowe/CDM, akiamka ni Mbowe/CDM, akitembea ni Mbowe CDM!. Kama unampenda hivyo so akuoe tu!
 
Ndugu zangu,

Kada Mbowe sasa kupitia kihunzi kingine kesho jijini Mwanza baada ya gwaride na hafla ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba 2019.

Baada ya shamrashamra hizo atakuwa kwenye usaili utakaoongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole, Matokeo ya usaili huu ndio idhini ya mwisho kabla ya kwenda kwenye kupigiwa kura za ndio au hapana.

Kwa haraka haraka maswali yatajikita kwenye maeneo yafuatayo; utekelezaji wa Chadema kwa miaka mitano iliyopita,mikakati ya Chadema miaka mitano ijayo.

Ukiangalia juu juu unaweza kufikiri ni maswali rahisi lakini vipengele vidogo vidogo huenda vikaleta vigugumizi.

Yote kwa yote tunamtakia mafanikio kwani hadi sasa yeye ndiye mwenye uchungu na chama kuliko mwingine yeyote na huenda hili likambeba.
Mkuu Wakudadavua, kipindi hiki cha kusheherekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Ingekuwa vyema ukashusha nondo nyingine zenye kuthamini waasisi wa Taifa letu, changamoto tunazozipitia kama taifa na hata "the way forward" ili kuleta mapinduzi ya kweli ya kijamii na kiuchumi. Hizi habari Mh. Mbowe kutokana na ukongwe wako ifike mahali uwe unazileta kwa uchache mno, tena pale zinapokuwa "worth enough to share at this platform"
 
Asipoelewa hapa atakua hana akili timamu
 
Hii nayo inaendelea,kesho ntaleta hoja kuntu kuikidhi kiu yako
 
Nakushauri umpokee bwana Yesu uokoke! Unaomzigo mzito wa chuki moyoni mwako, kila siku porojo kuhusu CDM na Mbowe.
 
Nakipenda kizazi hiki cha .com yaani ninyi mtu kama anaandika kitu Mara kwa mara mnaikuza thread hadi KUFIKIA comment 100 (not specific to this thread) asilimia kubwa zikimueleza Ni namna gani Hana hoja nyingine isipokua Mbowe na CHADEMA.

CHAKUFANYA NI NINI?
Acheni kuchangia la sivyo tutajua hoja zake hazijibiki ndio maana mnajikita kwenye kumnyamazisha.
 
Back
Top Bottom