Baada ya gwaride na hafla 9 Disemba, 2019 Mbowe kufanyiwa usaili na viongozi wa CCM

Unakera mkuu hata sisi wa CCM wenzio unatukera unampa umaarufu Mbowe bila sababu
Si unajua hawara Hana talaka! Anajirudisha kiaina cdm baada ya kupiga ramli na juona hakuna uwezekano wa kupewa ubunge wa viti maalum! Hii ndio tunaitaga kumtukana mamba ukiwa hujamaliza kuuvuka mto! Anaumia kwa uhakika!
 
Si unajua hawara Hana talaka! Anajirudisha kiaina cdm baada ya kupiga ramli na juona hakuna uwezekano wa kupewa ubunge wa viti maalum! Hii ndio tunaitaga kumtukana mamba ukiwa hujamaliza kuuvuka mto! Anaumia kwa uhakika!
Jenga hoja bila matusi
 
Ndugu zangu,

Kada Mbowe sasa kupitia kihunzi kingine kesho jijini Mwanza baada ya gwaride na hafla ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba 2019.

Baada ya shamrashamra hizo atakuwa kwenye usaili utakaoongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole, Matokeo ya usaili huu ndio idhini ya mwisho kabla ya kwenda kwenye kupigiwa kura za ndio au hapana.

Kwa haraka haraka maswali yatajikita kwenye maeneo yafuatayo; utekelezaji wa Chadema kwa miaka mitano iliyopita,mikakati ya Chadema miaka mitano ijayo.

Ukiangalia juu juu unaweza kufikiri ni maswali rahisi lakini vipengele vidogo vidogo huenda vikaleta vigugumizi.

Yote kwa yote tunamtakia mafanikio kwani hadi sasa yeye ndiye mwenye uchungu na chama kuliko mwingine yeyote na huenda hili likambeba.
Unatimalizia MB zetu kwa ujinga wako
 
Back
Top Bottom