YASINI MRUTU
Member
- Apr 4, 2015
- 96
- 30
Kwa taarifa yako lowasa hawi Rais Dr. Slaa kamaliza ubishi na kamwe hawezipumsika kwa amani kwa sababu ya wajinga.
bora ujinga usio na hasara kuliko elimu isiyo na faida.
Kwa taarifa yako lowasa hawi Rais Dr. Slaa kamaliza ubishi na kamwe hawezipumsika kwa amani kwa sababu ya wajinga.
Kutoka useja mpaka katerero huwezi baki mzima, lazima utachanganyikiwa tu! Babu mzima ovyo.
Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
Maaskofu wakane tuhuma ili Dr aje na ushahidi wake. Bora alivyoongea sababu watanzania tulitaka kumsikia
Aje na facts kama Dr. Slaa, sio propaganda za kipumbavu!!
Naona sasa watu chali, huku sisiemu B inapiga kampeni na viongozi waandamizi wa chadema wako bize kijaribu kuzima moto wa gesi kwa kuufunika na shuka!!
Chadema maslahi, MKUKI HAUZUIWI KWA PAZIA!
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
mmevurugwa wachumia tumbo nyie
Huijui Chadema zaidi yetu. Nakwambia kuwa hakuna cha umakini hapo. Tundu Lissu kafokafoka tu hajaongea kitu cha maana jana. Tunamsubiri huyo Mwenyekiti aende na ajibu hoja.
Bora tone la mavi kwenye litre 20 za maji safi kuliko tone la maji safi kwenye litre 20 za kinyesi. If u kno what i mean.
ENL 2015 the next..............
Hate it or Love it, the underdogs get to the top.
Porojo kulazwa nje kwenye gari? Ndugu mke wa kwanza ndio mke wengine wanaofuata huwa ni matatizo.
Aje na facts kama Dr. Slaa, sio propaganda za kipumbavu!!
Naona sasa watu chali, huku sisiemu B inapiga kampeni na viongozi waandamizi wa chadema wako bize kijaribu kuzima moto wa gesi kwa kuufunika na shuka!!
Chadema maslahi, MKUKI HAUZUIWI KWA PAZIA!
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.
Unasemaje CCM imemtapika Lowassa wakati haikumfukuza uanachama?
Lowassa kaondoka CCM kwa dhamira na utashi wake binafsi...
Ningekuelewa katika hayo uliyoyaandika iwapo tu Lowassa angelikuwa kavuliwa uanachama na vikao vya CCM...
CCM hamna ujanja wa kuchokonoa zaidi, Lowassa ni tatizo mlilolifuga na kadiri mnavyochokonoa zaidi ndio hatari inakikaribia chama...
Hayo makabrasha ya Slaa hayana umuhimu wowote maana Slaa kajibainisha kabisa yu mtu wa ndimi mbili...
Mwanzoni yeye mwenyewe kampeleka Lowassa Chadema kwa masharti ya kuongeza mtaji kwa Ukawa na upinzani...
Baada ya hilo kushindikana Slaa tena anamgeuka Lowassa na kumkandia kuwa ni mchafu...
Huo uchafu hakuuona mwanzoni alipoanza naye mawasiliano?
Je, Lowassa angetimiliza masharti ya Slaa, Dr Slaa bado angeliacha siasa?
. Umenena vyema mkuu tukitaka jua umuhimu wa kampeini safi tujikumbushie kupiti libya-binadamu hatosheki leo wako wap?....imekuwa nchi ya vita kali hakuna tena mikate wala umeme wa bure....Lowas anatumika.... nimeanza kumbuka maneneno ya steve nyerere kwamba kabla hatujaanza maamuzi ya kipi cha kufanya juu ya taifa letu tujitafakali.Vijana waliomgoa gadhafi leo ndo wanagolewa na jeshi.....hacheni ujinga vija tusiwe mtaji wa vita na machafuko kwa taifa letu.Mtakosa hata pahala pa kuendeshea hizo boda zenu.Mafisadi hawafai na tuwakatae.
Yaani watu wa type yako mnanifurahisha sana,wakati Magufuli unayesema hana kashfa yupo ktk chama chenye 99% waliobakia kwenye list of shame na watu hao wamerelax ndani ya chama na wengine wapo ktk kampeni zake,wewe umelala usingizi wa pono!!Nani katuroga watz?
Sijui...
Huyo Magufuli aliyehusika ktk uuzwaji wa nyumba za serikali kipuuzi kabisa lakini wewe huoni tatizo...Mungu wangu!!!!!!!!!!
Haya nikuache.....Mabadiliko ni lazima.