singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Slaa tutakukumbuka kwa uadulifu wakoSlaa katumwa. Slaa ana jazba. Slaa ana wivu baada ya kuona wenzie wanachanja mbuga. Slaa alitaka mawazo take tu ndo yaheshimiwe
Slaa tutakukumbuka kwa uadulifu wakoSlaa katumwa. Slaa ana jazba. Slaa ana wivu baada ya kuona wenzie wanachanja mbuga. Slaa alitaka mawazo take tu ndo yaheshimiwe
Ndio tunataka Magufuri na yeye achambuliwe kwa hoja zenye ushahidi ili watu wenye akili timamu tusioongozwa na mihemko tuwapime kwa madhambi yao na mazuri yao.
Tuletewe maasi ya Magufuri na ya Lowassa ili tuone wapi uzito umezidi
Mkuu hilo haliwezekani kwa sababu hoja yao kuu ni kuhakikisha Lowasa anachafuliwa na si vinginevyo,huta sikia hata siKu moja mgombea Wa CCM akichambuliwa,Slaa ameonyesha roho yake ya ubinafsi na chuki kwa Lowasa maana ufisadi unaijadiliwa ni RICHMOND tu mengine yoote si ufisadi
Slaa bora akaimbe taarabu huko atajibizana na kina hadija kopa na mzee yusufu
Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!
Mzee Slaa aachwe apumzike kwa Amani mpaka mauti yatakapomkuta! Atatupotezea muda tu!
Tundu Lisu kapiga porojo tu
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!
Siasa mchezo mchafu.
Ebu tafakari kwann afunguke sasa baada ya mambo kupamba moto chadema .
Mtu kujiamini kiasi kile sio issue ndogo .tuwe makin huku tuendapo.#@!
Mi nimemsikia Dokt Slaa akimtaja Lowasa kwenye makampuni kama MEREMETA,DOWANS,RICHMOND,Wizi alioufanya wa zaidi ya billion 147 za mradi wa maji Monduli,kubadilisha mpaka wa Monduli na Karatu hali ambayo mpaka sasa karatu watu wanamgogoro wa ardhi na,Suala la Manunuzi ya serikali pia kuna kashfa nzito pia inamuhusu,na mengine mengi.
Lissu,Mbowe,Sumaye na wengineo wa Ukawa tunataka watolee majibu yenye ushahidi unaoeleweka kuhusu tuhuma hizi ili watu waelewe,Magufuri aanikwe kwa ufisadi kama upo ili watu tupime madhambi yake na wizi wake.
Tunataka majibu nakama hayapo basi watu tunaendelea kuamini tunavyovisikia
Mzee Slaa aachwe apumzike kwa Amani mpaka mauti yatakapomkuta! Atatupotezea muda tu!
dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
mmevurugwa wachumia tumbo nyie