M TZ
Member
- Feb 16, 2013
- 35
- 7
Dr slaa hawezi kuwa amejivunjia heshima
Dr kanyoosha maelezo vizuri the kama mbowe, lisu na Luwasa. Wana lolote la kuongea waite press conference wajibu hoja kwa mantiki na sio kwa jazba
Watu wanapigwa na wake zao na inabaki kama story yakusadikika itakiwa kulala kwenye gari jibuni hoja sio kashfa