Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Kituo cha television channel 5(east africa television) kimepost katika twittwer page yake"Baada ya dr slaa kuzungumza leo,mwenyekiti mbowe amefunguka sikiliza EA breakfast ya ea radio kesho saa 12 asbuhi"
 
Attachments

  • Screenshot_2015-09-01-22-14-29.png
    Screenshot_2015-09-01-22-14-29.png
    50.8 KB · Views: 11,178
Kituo cha television channel 5(east africa television) kimepost katika twittwer page yake"Baada ya dr slaa kuzungumza leo,mwenyekiti mbowe amefunguka sikiliza EA breakfast ya ea radio kesho saa 12 asbuhi"
vita imehamia upinzani kwa wapinzani
 
Kituo cha television channel 5(east africa television) kimepost katika twittwer page yake"Baada ya dr slaa kuzungumza leo,mwenyekiti mbowe amefunguka sikiliza EA breakfast ya ea radio kesho saa 12 asbuhi"

Aje na facts kama Dr. Slaa, sio propaganda za kipumbavu!!
Naona sasa watu chali, huku sisiemu B inapiga kampeni na viongozi waandamizi wa chadema wako bize kijaribu kuzima moto wa gesi kwa kuufunika na shuka!!
Chadema maslahi, MKUKI HAUZUIWI KWA PAZIA!
 
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
 
Kama kweli ishu ni kashfa hata huyo magufuli mwnyewe sio msafi mbona vyama viko vingi tu na vinawaadilifu wazuri tu!! Bora hao kuliko ccm
 
Siasa mchezo mchafu.
Ebu tafakari kwann afunguke sasa baada ya mambo kupamba moto chadema .
Mtu kujiamini kiasi kile sio issue ndogo .tuwe makin huku tuendapo.#@!
 
Kama kweli ishu ni kashfa hata huyo magufuli mwnyewe sio msafi mbona vyama viko vingi tu na vinawaadilifu wazuri tu!! Bora hao kuliko ccm

Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

it is already too late, we have decided to vote for ukawa.
 
Kama Lowassa ana utetezi madhubuti basi tambua CCM ndio iliyo kwenye wakati mgumu kuliko Slaa au CDM...

Madude yote ya Richmond, EPA etc kwa vyovyote vile yana msururu wa watu wanene waliohusika...

Haya madude yatazama na wengi kama wakiyatibua sasa...

Na wakithubutu kujibizana na Dr. Slaa ataweka mambo yote hadhalani na issue itaingia mchanga huku ccm ikipeta ki ulaini kabisa.
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Hatuipi kura ccm ng'oooo miaka 1000 sisi ni UKAWA na UKAWA ni sisi,LOWASSA nitampigia kura pamoja na diwani na mbunge anayetokana na ushirika wa UKAWA na wengine naomba mfanye hivyo msituangushe,tusitishike na tusonge mbele
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Ahaahhaha ananyepesi...!
 
Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.

Weka ushahidi wacha kubwabwaja hapa na kwa nini hamkumchukulia hatua?hamna aliye msafi zaidi ya MOLA.
 
Wangempotezea.Huyu Slaa anataka majibizano wakati watu wapo katika kampeni.
It is very true.

Lengo kuu la Dr Slaa na 'wafadhili' wake wa Sisiem ni kutaka kudivert attention ya Umma wa watanzania kutoka kwenye azma yao ya kuleta mabadiliko ya kuing'oa CCM madarakani ifikapo Oktoba 25 mwaka huu kupitia sanduku la kura na badala yake wanataka yageuke ni malumbano ya baina ya Ukawa vs Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom