Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Magufuli ndio mtu msafi na mwenye kuthubutu tuliebaki naye kumchagua.

Fisadi nyangumi tunamjua....hatumchagui.

Watanzania tunayo imani na CCM.

Naona unajitekenya na kucheka. Isemee nafsi yako hao waTanzania walikutuma? Hao kina Lowassa, chenge, tibaijuka mramba magufuli na wenzao ni nani aliwatengeneza?
 
Magufuli ndio mtu msafi na mwenye kuthubutu tuliebaki naye kumchagua.

Fisadi nyangumi tunamjua....hatumchagui.

Watanzania tunayo imani na CCM.

Na mimi nipokeeni huko CCM watanzania wenzangu. Leo nimechoma moto kadi ya Chadema. Wamenikera sana. Kumbe walaghai wakubwa. Nimeona na ile picha ya yule muhindi wa St. Gasper akiwa na huyo Lowassa ndio nimechafukwa kabisa. Halafu sio huyo muhindi tu, kuna na Daudi Kanyau nae huwa ana ambatana na fisadi Lowassa. Huyu mamvi kwa kweli akafie huko kwao hatumtaki kabisa. Tapeli mkubwa.
 
Macho yako yanafanya kazi kweli ww wenzako wamepost wameifuta
 
Attachments

  • 1441213392623.jpg
    1441213392623.jpg
    41.3 KB · Views: 347
Na mimi nipokeeni huko CCM watanzania wenzangu. Leo nimechoma moto kadi ya Chadema. Wamenikera sana. Kumbe walaghai wakubwa. Nimeona na ile picha ya yule muhindi wa St. Gasper akiwa na huyo Lowassa ndio nimechafukwa kabisa. Halafu sio huyo muhindi tu, kuna na Daudi Kanyau nae huwa ana ambatana na fisadi Lowassa. Huyu mamvi kwa kweli akafie huko kwao hatumtaki kabisa. Tapeli mkubwa.

Wewe ni mpumbavu na mlofa. Na huko unakoenda wewe ni mzigo. Nenda mwana wa kwenda. Mtu mwenye hila Ka LA kwapa kunuka bila kidonda. Huyo muhindi pembeni ya lowasa ni mgombea ubunge wa ilala chadema
 
jimama26 na wenzako karibu sana CCM. Dr. Magufuli kiboko ya mafisadi.

Yani wezi leo ndio wako front kuingia madarakani kwa kupitia CHADEMA!!! ni matusi.

Kura zote kwa CCM.
 
Last edited by a moderator:
UKAWA mpuuzeni huyo wa bei cheee, sisi tumeshaamua Lowassa ndiye Rais wa awamu ya tano
 
Wewe ni mpumbavu na mlofa. Na huko unakoenda wewe ni mzigo. Nenda mwana wa kwenda. Mtu mwenye hila Ka LA kwapa kunuka bila kidonda. Huyo muhindi pembeni ya lowasa ni mgombea ubunge wa ilala chadema

Na badooo!!! Mbaka kufikia october 25 watahama wengi!
 
. Umenena vyema mkuu tukitaka jua umuhimu wa kampeini safi tujikumbushie kupiti libya-binadamu hatosheki leo wako wap?....imekuwa nchi ya vita kali hakuna tena mikate wala umeme wa bure....Lowas anatumika.... nimeanza kumbuka maneneno ya steve nyerere kwamba kabla hatujaanza maamuzi ya kipi cha kufanya juu ya taifa letu tujitafakali.Vijana waliomgoa gadhafi leo ndo wanagolewa na jeshi.....hacheni ujinga vija tusiwe mtaji wa vita na machafuko kwa taifa letu.Mtakosa hata pahala pa kuendeshea hizo boda zenu.Mafisadi hawafai na tuwakatae.

Kamwambie aliyekutuma kuwa hii nchi siyo mali ya wachache, hata huyo Lowassa ni Mtanzania kama ulivyo wewe na anahaki zote! Kwanini nyie CCM mtuchagulie kiongozi!?
 
Huyu mzee slaa amezaliwa kuwa mpinzani kwayo anajiandaa kuwa mpinzani wa CDM watakapo chukua nchi.
 
Kama kawaida kamanda Mbowe akiongea ujue ndo anafunga mjadala kama Maalim Seif alivyofunga mjadala wa Lipumba.
 
Na wakithubutu kujibizana na Dr. Slaa ataweka mambo yote hadhalani na issue itaingia mchanga huku ccm ikipeta ki ulaini kabisa.

Hana lolote, aliyoyasema jana ndio aliyokuwa nayo
 
Magufuli ndio mtu msafi na mwenye kuthubutu tuliebaki naye kumchagua.

Fisadi nyangumi tunamjua....hatumchagui.

Watanzania tunayo imani na CCM.

Msafi yupo mmoja tu, Mungu muumba mbingu na nchi...
 
wewe kama ni mchafu..shauri yako na fisadi wako.
 
Back
Top Bottom