Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
Wangempotezea.Huyu Slaa anataka majibizano wakati watu wapo katika kampeni.
Ni kweli mkuu,anataka kutupotezea muda ili tuconcetrate kwenye majibizano huku CCM wakipiga tu kampeni.
Wangempotezea.Huyu Slaa anataka majibizano wakati watu wapo katika kampeni.
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
Kama kweli ishu ni kashfa hata huyo magufuli mwnyewe sio msafi mbona vyama viko vingi tu na vinawaadilifu wazuri tu!! Bora hao kuliko ccm
Kama Lowassa ana utetezi madhubuti basi tambua CCM ndio iliyo kwenye wakati mgumu kuliko Slaa au CDM...
Madude yote ya Richmond, EPA etc kwa vyovyote vile yana msururu wa watu wanene waliohusika...
Haya madude yatazama na wengi kama wakiyatibua sasa...
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
Mzee slaa amejivunjia heshima mwenyewe, alitakiwa kusoma alama kwanza siokukurupuka tu, angetulia tu asubiri mabadiliko kama anadhani chadema itayumba ajiulize zito alivyo timuliwa chadema ilikuwaje na sasa ikoje.
CCM imemtapika sababu alifanya madudu ndani ya ccm! Barua za uthibitisho zilizokua akizisoma slaa ulizisikiliza au ni ushabiki tu unao endelea nao! Maamuzi mengine aliyachukua yeye kama yeye na kudiriki kuandika barua ya serikali lugha za majiizi yenzie! Mabadiliko gani unayo yataka!?
it is already too late, we have decided to vote for ukawa.
Chadema ila anza kuboronga kwa zitto na iliweza kujimudu kiaina aina sababu ya misimamo ya slaa! Kaa pembeni check sinema linapo elekea na Mbowe anapo hojiwa asubuhi mumuulize " nn hatima ya chadema baada ya oct " kiukweli ni kwamba litabaki jina na habari ya ukawa itakuwa fundisho milele! Ww ukusanye mijiizi ya mali za watanzania uyakumbatie na kuyatukuza mengine mnaya sujudu' haya mabadiliko mnayo tafuta wengine ni ushabiki usio na kichwa wala miguu
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!
it is already too late, we have decided to vote for ukawa.
Dokta na form six, hapo jibu unalo
It is very true.
Lengo kuu la Dr Slaa na 'wafadhili' wake wa Sisiem ni kutaka kudivert attention ya Umma wa watanzania kutoka kwenye azma yao ya kuleta mabadiliko ya kuing'oa CCM madarakani ifikapo Oktoba 25 mwaka huu kupitia sanduku la kura na badala yake wanataka yageuke ni malumbano ya baina ya Ukawa vs Dr Slaa.